Search results

  1. Ukilewalala

    JamiiForums Usiku wa manane

    Asee kitambo pande hii Sent from my TECNO KC8 using JamiiForums mobile app
  2. Ukilewalala

    Sabaya amekuwa mfano mzuri wa wanaojifanya kutumwa na mamlaka za juu. Wengine kaeni mguu sawa

    Hapa umeongea mkuu... Kuna namna naiona hii kesi ni mipango tu ya watu fulani, kama unavyosema ni kisasi tu japo hatuelewi ni cha haki ama dhuluma
  3. Ukilewalala

    JamiiForums Usiku wa manane

    Muda wa kuongea na mizimu unaelekea mwisho
  4. Ukilewalala

    JamiiForums Usiku wa manane

    Shoo bado inaendelea eeeh safi sana
  5. Ukilewalala

    Msaada: Nimepewa siku 30 niondoke nyumbani kwa Baba mkubwa

    Vp kuhusu Ma mkubwa,maelewano yapo au ndo bora liende tu?
  6. Ukilewalala

    Wataalamu, hii tunaitaje?

    Potelea mbali 😅
  7. Ukilewalala

    Onyo kwa Wadada: Usifikiri kumpa mpenzi wako kinyume na maumbile ndio atazidi kukupenda au kuzidisha upendo

    Pasua spika hiyo mkuu... Ukiendelea kukataa ataenda kujaribu kwa wengine..... Sokomeza mtinyama shimoni upate joto la ulimwengu
  8. Ukilewalala

    Kesho (30-03-2021) ninaenda kufanya "Oral Interview" kwenye N.G.O huku Dar. Niombeeni kwa Mungu ndugu zangu, mtaani maisha ni magumu sana

    Mshukuru Mola kwa kupata hata nafasi ya interview... Sie wengine hata interview za kufua mashuka kwenye guest houses hatupati
  9. Ukilewalala

    Rais Samia Suluhu Hassan wakumbuke walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Hilo nalo tatizo mkuu.. Ila kiuhalisia hili bomu wanalotengeneza serikali, likilipuka itakua kizaazaa kikubwa mno
  10. Ukilewalala

    Rais Samia Suluhu Hassan wakumbuke walimu wa masomo ya sanaa (arts)

    Hivi hatuwezi kuanzisha kajeshi ketu majobless tufanye mapindizi (ndu). :::kwenye mabano ione vizuri
  11. Ukilewalala

    Swali kwa wanaume: Mnaposema mwanamke huyu mtamu, mnamaanisha nini?

    Tunamaanisha kapishana kidogo sana na asali
  12. Ukilewalala

    Tulio wapweke Pasaka hii tujuane

    Unakuwaje mpweke na pombe zipo buddah
  13. Ukilewalala

    Hadithi ya kweli ya maisha yangu

    Hatari bro 😂😂
  14. Ukilewalala

    Hadithi ya kweli ya maisha yangu

    Ila lips zipo jamani...
  15. Ukilewalala

    Ni pombe gani hutakuja kuisahau maishani mwako?

    Dah! pombe hizi jamani ni noma, juzi nimekula tungi kinoma... Nakuja kushtuka asubuhi nimelala kwenye pool table halafu hata sikumbuki nimefikaje 😂😂
  16. Ukilewalala

    Ulishawahi kupendwa na rafiki wa Mpenzi wako?

    Kale kademu sikakumbuki jina ila kalipagawa na mie... Nilikagonga maji kakaita mma,sijui kama kamekufa au kako hai... Juma alikapenda ila mbinu zangu zikawa srtonger than all of them ... Nakukumbuka jenny
  17. Ukilewalala

    Jinsi ya kuondoa au kupunguza mafuta tumboni kwa wanawake (Vitambi vya kike)

    Gongo, pombe kali zinakausha vitambi na minyoo..... Niamini anko, nilikuwa na vinyama vya kishkaji ila now vimepotea kiajabu kabisa.... .... Kula vibe.. Okoa kitambi
Back
Top Bottom