Search results

  1. M

    Hii tabia ya trafiki kubambika makosa ya barabarani inaumiza

    Moja kwa moja kwenye kero yangu. Kumekuwa na mtindo wa askari wa usalama barabarani kusimamisha gari hata kama huna kosa halafu wanainakiri namba ya gari na kuiandikia fine. Binafsi nimekumbana na hali hii mara mbili sasa. Mara ya Kwanza nilisimamishwa na askari kama kawaida akaomba leseni...
  2. M

    Tangu msimu wa 2015/2016 Simba na Yanga Mechi huisha kwa sare Mechi za round ya Kwanza.

    Huu ni msimu wa nane Simba na Yanga hakuna anayeibuka na ushindi duru ya Kwanza tangu msimu tajwa. Pengine Msimu huu mwiko huo unaweza kuvunjwa wacha tusubiri hiyo Jumapili ya Novemba 5 kama kuna timu itaibuka na ushindi. Mara zote mechi hiyo huisha kwa sare ama suluhu hata kama timu mojawapo...
  3. M

    Kwanini kunakuwa na utofauti wa muda katika kipindi fulani cha mwaka?

    Nimeileta hili ili nisaidiwe kupata ufafanuzi zaidi maana najua hapa kuna wajuzi wa mambo kwa nyanja mbalimbali. Suala langu ni kuhusiana na utofauti wa saa kati ya eneo moja na lingine. Naomba nitumie kati ya muda wa Afrika mashariki ambao upo katika longtudo nyuzi 45 mashariki mwa Greenwich...
  4. M

    Msaada yafadhali: Namna ya kurejeshewa fedha zilizozidi HESLB

    Naomba mwenye ulewa anisaidie namna ya kujaza maombi ya kuresha fedha iliyozidi Toka bodi mikopo Kwa njia ya online. Natanguliza shukrani.
  5. M

    Ukaguzi wa magari Mbeya umeanza kuleta kero

    Kufuatia agizo la IGP la ukaguzi wa magari nchi nzima ambayo ni nia njema tu limegeuka kero kwa wasafiri mbalimbali hapa mkoani Mbeya. Sijajua mikoa mingine lakini hili zoezi ni kama halikuandaliwa mazingira mazuri ya kukagua ili kutoathili usafiri. Mfano, abiria wameshapanda ndani ya gari...
  6. M

    Kitu gani kimefanya Vodacom wadharau agizo la Serikali kuhusu bei za bando?

    Ni siku ya kumi sasa tangu vodacom wapandishe bei za vifurushi vya matumizi ya simu. Baada ya malalamiko ya wateja, serikali kupitia TCRA walitoa tamko la kutaka makampuni yote yarudishe bei za zamani wakati suala hilo likishughulikiwa. Pia na rais Samia S Hassan naye akakazia kwa kutaka suala...
  7. M

    Hizi ziara za rais nani anapanga? Au ndio ile dhana ya sipangiwi?

    Leo rais wetu yupo mkoani singida baada ya jana kuzindua barabara kule shinyanga akitokea Geita ambako alikuwa kwa mapumnziko. Akiwa huko kkwao alizindua benki ya CRDB tawi la Chato na pia jana akiwa wilayani kahama amesikika akisema wananchi waliovamia eneo la wizara ya elimu wasiondolewe...
  8. M

    Aliyeshtakiwa kwa kosa la kutoa lugha ya matusi dhidi ya polisi, Kashinda kesi Mtwara

    Mtuhumiwa Adolph Msafiri aliyekuwa akishtakiwa kwa kosa la kutoa lugha ya kuudhi dhidi ya Jeshi la Polisi ameachiwa huru na mahakama ya Mwanzo huko mkoani Mtwara baada ya kuonekana hana kesi ya kujibu. Mtuhumiwa huyo alikamatwa kwa kuweka ktk ukurasa wake wa Facebook, picha ya Askari Polisi...
  9. M

    Rais wetu kama umeamua kutumia Kiswahili basi tumia Kiswahili na sio Kiswanglish

    Ni kawaida kwa Rais wetu anapokuwa kwenye mikutano ya kimataifa aliyohudhuria hadi sasa anapenda sana kutumia Kiswahili. Ni jambo zuri maana anasaidia kukitangaza zaidi hasa kwa kuwa ni mtu mwenye wadhifa mkubwa kitaifa na kimataifa. Kinachonisikitisha ni pale anapochomekeachomekea vimaneno...
Back
Top Bottom