Search results

  1. Jesse Royal

    Kwani wanawake mnataka nini?

    "You will lose money chasing women, But you will never lose women chasing money"
  2. Jesse Royal

    Wenzangu mkiwa na hasira au kuvurugwa kichwa mnafanyaje ili mkae sawa?

    Mi nikiwa na hasira nasokota msokoto mmoja wa ndumu, kisha naangalia series ya Snowfall Season 1 mpaka 5 nikimaliza hapo hasira zote zimeisha
  3. Jesse Royal

    Wenzangu mkiwa na hasira au kuvurugwa kichwa mnafanyaje ili mkae sawa?

    Mi nikiwa na hasira nasokota msokoto mmoja wa ndumu, kisha naangalia series ya Snowfall Season 1 mpaka 5 nikimaliza hapo hasira zote zimeisha
  4. Jesse Royal

    Naweza kuchemshia chai ya maziwa kwenye heater?

    Inaitwa Kettle sio Heater, Unaweza kuchemshia maziwa kibishi kibishi, sema kuwa makini sababu Kettle alijatengenezwa kwa kuchemshia maziwa..
  5. Jesse Royal

    Niko ukweni kwa mapumziko ya Xmas, ninachokishuhudia hakielezeki

    Plate number ya iyo gari ya kwanza hapo juu number zake za Cape Town South Africa, kumbe unaishi South Africa mzee?
  6. Jesse Royal

    Polisi wa Tanzania wanasa Malawi wakifuatilia wahalifu

    Bahati yao hawaja kutana na kaka Hamza
  7. Jesse Royal

    Ama kweli, siku hazigandi. Leo nimekutana nae after 21 good years

    Hahah JF raha sana Usisahau kuleta marejesho mkikutana
  8. Jesse Royal

    Spika Ndugai, suala la akina Halima Mdee bado unavunja Katiba

    Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Jesse Royal

    Mateso ya Mdude Nyagali ndani ya kuta za Gereza la Ruanda

    Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Jesse Royal

    Tuangalie maana ya neno Dikteta

    Jiwe ni DIKTETA wa karne ya 21
  11. Jesse Royal

    Maoni, Ushauri, Mapendekezo na Pongezi kwa Rais Samia Suluhu Hassan

    Mama naye ndo yale yale makufuli ya China
  12. Jesse Royal

    Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

    Alafu kwanini kila anaye kosoa serikali anaonekana CHADEMA?
  13. Jesse Royal

    Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

    Asante ndugu yangu acha nikatafute ugali Nakutakia siku njema kaka
  14. Jesse Royal

    Uongo kuhusu ATCL ni tone tu kwenye bahari, Tumedanganywa mengi tu!

    Hapa naogea na wewe nipo mbali sana wala sipo Tz, We endelea kukaa kwa shemeji mpaka wajomba zako waanze kukuita aunty
Back
Top Bottom