Naomba ushauri juu hili la viboko mashuleni. Kumekuwepo na kasumba imejitokeza katika shule za sekondari wilaya ya kyela. Walimu wanapiga wanafunzi kama vile sio binadamu.
Mwanafunzi kupigwa fimbo hadi hamsini kwa wakati mmoja, tena maeneo tofauti tofauti. Kama mikononi, mgogoni, miguuni...
Round ya kwanza ya makundi Simba waliingiza mchezaji mmoja kwenye kikosi cha wiki cha CAF champion league hatua ya makundi. Round hiyo alikua Tadeo Lwaga.
Round ya pili imeingiza Wachezaji wawili Joash Onyango (the poison) na Luis Miquissone (the conde boy). Hii ni hatua nzuri sana kwa...
Tangu, nchi hii ya Tanzania ipate Uhuru imepita katika vipindi mbali mbali vya uongozi. Katika vipindi hivyo tumeshuhudia viongozi wenye sifa tofauti. Lakini walikua na moja ya sifa ambayo ilikua inafanana ya kua na maono ya mbele juu ya Taifa la Tanzania. Japokua hayo maono yao hayakuweza...
Naomba nisaidieni hii kisheria za mpira inakuaje, Dirisha dogo la usajili Ligi kuu Tanzania bara liliisha tarehe 15 Jan 2020, lakini Morrison aliingia nchini 17 Jan 2020.
Kwa tarh hiyo inamaana kua Morison alisajiliwa nje ya muda wa Dirisha la usajili, maana kabla ya mchezaji kusajili kuna...
Yanga imemchezesha mchezaji ambaye hakuwepo hata Kwenye jukwaa la wachezaji wa akiba walioorodheshwa.
Je wanaweza kupokonywa point
Sent using Jamii Forums mobile app
SVEN Vandenbroeck, Kocha Mkuu wa Simba ameweka rekodi ya kuongoza kikosi hicho kufunga mabao mengi ndani ya Ligi Kuu Bara msimu huu 2019/20 akiwa ameongoza kwenye jumla ya mechi 11, alishinda 9, sare moja na kupoteza mchezo mmoja.
Katika mechi hizo 11 Sven ameshuhudia kikosi chake kikifungwa...
Mechi ya watani wa jadi ni mechi ambayo ndo mechi kubwa katika soka la Tanzania.
Rai yangu kwa viongozi hii ndo mechi ambayo club mwenyeji unaweza ukafanya biashara.
Hii mechi ni kubwa kibiashara kuliko hata mechi dhidi ya Tp mazembe.
Naomba viongozi wa simba ka mtapitia jamii forum hii ndo...
Juzi kati hapa kocha Zahera alisema timu ya Yanga haikusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa, hii kauli inaungwa mkono na baadhi ya mashabiki na viongozi wa Yanga.
Je, Yanga nyie kwa nini hamkusajili kwa ajili ya mashindano ya kimataifa wakati mlipewa taarifa mapema na CAF kupitia TFF kwa...
Klabu ya Simba imepanda kwa viwango vya vya ubora barani Afrika kutoka nafasi ya 20 mpaka ya 16 mwaka huu. 2019 ( hii imekaaje nimeikuta Kwenye blog ya saleh jembe)
Kama kawaida yangu kwanzia saa sita kamili siku za jumatatu hadi ijumaa uwa nasikiliza east Africa radio kipindi cha kipinga extra. Pale unakutana na mashabiki mbali mbali wa timu zetu hasa pendwa Simba na Yanga. Jana kulikua na mashabiki wa Yanga wakiongozwa na Jimy kindoki.
Sasa kulikua na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.