Search results

  1. runtown

    Twaha Mwaipaya: Marais watano walikopa Trilioni 60, Rais Samia pekee amekopa Trilioni 30

    Mwaipaya amesema kwamba, sasa hivi tunamsifia Rais, ila Marais watano waliomtangulia peke yao walikopa kiasi cha Tsh Trilioni 60 kwa awamu zote miaka 60 kwa wastani wa Trilioni 1 kila mwaka, lakini Rais Samia kwa miaka mitatu aliyokaa madarakani amekopa Tsh trilioni 30, sawa na trilioni 10 kila...
  2. runtown

    Uonevu wa Jeshi la Polisi kitengo cha Usalama Barabarani wilayani Rombo

    Askari polisi kitengo cha usalama barabarani mkoani Kilimanjaro wilayani Rombo wanaonea madereva wa daladala kwa kuwaandikia faini wakiwakuta wakiwa wanapakia sehemu zenye parking na kibao kinaruhusu kupakia na kushusha. Mimi ni mhanga wa hili tukio nitashusha screenshot ya faini.
  3. runtown

    Naomba kujuzwa gharama za kusajili michezo ya bahati nasibu

    Nimekaa nimefanya tathimi biashara ya kufanya kwa mtaji kidogo nikapata wazo ninunue bonanza machine izi za kuchezesha mia mbili mbili naomba kujuzwa garama za usajili GBT,halmashauri,pamoja na tra kwa mashine moja
  4. runtown

    Madereva wa Mighty Logistic wanaobeba makaa ya mawe watakwisha kwa uzembe

    Kona ya kwa Mwanaharusi huyu ni watatu kalala hapo kwa kipindi cha miezi mitatu
  5. runtown

    Hongereni TARURA kwa kutuletea uharibifu wa magari

    Hizi rasta mmeweka barabara ya Makerere na Mwika sokoni ni kubwa na ni uharibifu wa magari bora mngeweka bams moja kubwa kuliko hizi rasta.
  6. runtown

    Nimeibiwa vitu vyote vya ndani

    Habari wana jamvi, Naandika nikiwa na jazba na hawa watu wanaoitwa wezi. Nimepanga geto langu nikajibana nikaeka vitu vyote vya ndani sasa hawa jamaa wamenilia time nimetoka wamenisafisha hadi kijiko ila kwenye vitu walivoiba wamebeba hadi king'amuzi. Ila kuna mdau aliyeniambia king'amuzi...
  7. runtown

    Selection form five

    Naomba mwenye link au pdf ya selection ya form five 2019/2020 anitumie
  8. runtown

    Gia namba mbili inapiga kelele

    Habari wana jf nimekuja apa na tatizo kiaina...kuna gari aina ya fuso 17 ikiwa inarudi gia kutoka namba 3 kurudi mbili inapiga kelele kama ukiwa kwenye motion kubwa inapiga kelele kiasi kwamba inawezq isiingie kabisa na hili tatizo limeanza baada ya kubadilisha cable ya gia msaada jaman...
  9. runtown

    Mrejesho; hatimae yule demu aliyekuwa akinikimbia leo nimemgegeda bila huruma yeye na mwenzie (collabo)

    Habarini wana jamvi... Yule dem aliyekuwa akiniona anakimbia leo nimemgegeda akiwa na rafiki yake yani picha lilikuwa hivi... Baada ya kuwa ananikimbia sana nikawa najenga nae urafiki taratibu leo nikamuita geto mida ya saa kumi akaja na best yake walahi nimewapigisha tungi wakalewa...
  10. runtown

    Ama kweli koro show ilipofikia watu walie tu

    Hi mbinu tulisema tokea mkulu alivosema wale jamaa watabangua kwa meno
  11. runtown

    Tafsiri ya hi picha

    Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo. Sasa naona tena wamefunga hamna tena kutuma maombi sa sijui dishi lao limeyumba au ni vp
  12. runtown

    Tafsiri ya hi picha

    Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo. Sasa naona tena wamefunga hamna tena kutuma maombi sa sijui dishi lao limeyumba au ni vp
  13. runtown

    Tafsiri ya hi picha

    Habarini wadau naomba tafsiri ya hi picha hapa najua kuna wajuvi na waju...zi wa hizi. Mambo niliplani wakifungua aplication on spot ni aply na nikafanya hivo. Sasa naona tena wamefunga hamna tena kutuma maombi sa sijui dishi lao limeyumba au ni vp
  14. runtown

    Vyuo vya afya mbona ni vichache sana mwaka huu

    Habari za humu wana jf.... Mbona mwaka huu vyuo vinavoruhusu kufanya udahil kada ya afyya ni vichache sana alafu pia ni government pekee au kuna sehem nakwama
  15. runtown

    Moods msaada au ufafanuzi kidogo

    Kwenye sehemu ya signature nimedisiable mimi au ni nyie mmefanya hio kazi maana kama ni mimi sioni sehem ya ku enable
  16. runtown

    Hi mechi vipi wadau

    Hu mpira unacheza siku ngapi mbona kama unachana mikeka
  17. runtown

    Uzi maalumu kwaajili ya magem tu.

    Habarin wana jf Nimeanzisha hi threed kwa lengo la kusaidiana kupata magem makali pamoja na trick mbalimbali za magem ikiwa ni pamoja na kuhack coin na vingine vingi.... Naombeni tuchangie jamani
  18. runtown

    Resident evil 6

    Naombeni msaada kwa mwenye registration code ya resident evil 6 naomba
Back
Top Bottom