Search results

  1. G-Mdadisi

    Kamwe Mfugaji hawezi kuishi pamoja na Mkulima. Maisha hayawaruhusu

    ✍#GMdadisi Sijui ni lini WAFUGAJI na WAKULIMA watakuja kuelewana na waishi pamoja bila kuwa na migogoro wala chuki. Nadhani hii yaweza kuwa ni ndoto nzuri ambayo haitakuja kushudiwa katika kizazi hiki. Bahati mbaya sana ukimsikiliza mfugaji analalamika kuonewa na mkulima. Vivo hivyo mkulima...
  2. G-Mdadisi

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar yaongeza kasi ufuatiliaji marekebisho sheria za habari

    Kamati ya wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO) imekuwa mstari wa mbele katika jitihada za kufuatilia mchakato wa marekebisho ya sheria za habari ikiwemo sheria ya Utangazaji No. 7 ya 1997, ambayo ilifanyiwa marekebisho na sheria No. 1 ya 2010. Katika vikao mbalimbali ZAMECO ilitoa...
  3. G-Mdadisi

    Pengo la Upatikanaji huduma za kifedha na bidhaa lapungua 2023

    PENGO la kijinsia kati ya wanaume na wanawake katika kupata huduma rasmi za kifedha na bidhaa limepungua kwa kiasi kikubwa, kutoka asilimia 10 mwaka 2017 hadi asilimia 3.6 mwaka 2023. Mwenyekiti wa Kamati ya Masuala ya Wanawake ya Ujumuisho wa Kifedha (WACFI), Bi. Beng’I Issa amesema hayo...
  4. G-Mdadisi

    Baraza la Habari Tanzania lahimiza Weledi, umahiri kwa vyombo vya habari kulinda heshima kada hiyo

    WAANDISHI wa habari wametakiwa kufuata kwa kina maadili ya waandishi wa habari ili kukuza weledi na umahiri wa kada ya habari na kuzifanya taasisi za kihabari ziweze kuaminika na kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Akizungumza na wadau wa habari katika ziara yake iliyofanyika Zanzibar tarehe...
  5. G-Mdadisi

    Mkurugenzi TAMWA Zanzibar avitaka Vyombo vya Habari kuripoti kwa kina Mapungufu Sheria za Habari ili zifanyiwe marekebisho

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amehimiza vyombo vya habari kuripoti kwa kina mapungufu ya sheria za habari za Zanzibar ili zifanyiwe marekebisho na kutoa fursa kwa wananchi kupata habari bila vikwazo. Akizungumza na...
  6. G-Mdadisi

    Wadau wa habari wahimiza kukamilika sheria mpya ya habari Zanzibar

    KAMATI ya Wadau wa Habari Zanzibar (ZAMECO) imekutana kujadili masuala mbalimbali yanayohusiana na maendeleo ya sekta ya habari, changamoto na hatua zilizofikiwa katika kuendeleza sekta hiyo muhimu katika ujenzi wa jamii inayozingatia usawa, maendeleo, haki za binadamu na inayojali misingi ya...
  7. G-Mdadisi

    TAMWA ZNZ yatoa wito kufanyike utafiti kuhusu ongezeko la vitendo vyaudhalilishaji Zanzibar

    CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kinashauri Serikali kufanya utafiti ili kubaini sababu zinazopelekea kuongezeka kwa vitendo vya udhalilishaji Zanzibar na kwa nini bado kesi nyengine hazipati hatia, ili Serikali na wadau kwa pamoja waweze kuchukua hatua...
  8. G-Mdadisi

    Wiki ya Haki za Binadamu: TAMWA-ZNZ watoa Wito wa Upatikanaji wa Habari na taarifa

    Ikiwa dunia inahitimisha siku 16 za kupinga ukatili wa kijinsia kwa kumalizia na maadhimisho ya haki za binadamu, Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA ZNZ) kinaiomba Serikali, asasi za kiraia na wadau wote kuimarisha uhuru wa habari na kufikiwa kwa taarifa. Siku ya...
  9. G-Mdadisi

    Balozi wa Norway ahimiza serikali, wadau kuongeza mbinu zaidi kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa Wanawake

    BALOZI wa Norway Tanzania, Balozi Tone Tinnes amewataka wadau wa kutetea masuala ya wanawake na uongozi pamoja na ushiriki katika demokraisia kuwekeza katika mbinu za kukabiliana na vitendo vya ukatili kwa wanawake vinavyowakwamisha kufikia malengo ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi...
  10. G-Mdadisi

    Wadau wa Haki za Binadamu wazungumzia Umuhimu wa Utawala Bora wa Sheria

    WADAU wa Haki za Binadamu Zanzibar wameshauri kuimarisha mifumo ya utawala bora wa sheria ili kuhakikisha uwajibikaji na upatikanaji wa haki kwa wote unafikiwa katika kupambana na vitendo vya udhalilishaji wa kijinsia. Wametoa maoni hayo katika mdahalo ulioandaliwa na Chama cha Waandishi wa...
  11. G-Mdadisi

    TAMWA Zanzibar Calls for a halt of Abuse of Children through Social Media

    Tanzania Media Women’s Association, Zanzibar (TAMWA - ZNZ) urges the community to refrain from recording children and posting on the social media networks after they have been subjected to humiliating acts. By doing so, is to aggravate the problem and is humiliating them even more. Following...
  12. G-Mdadisi

    Utafiti wa tamwa Zanzibar wabaini kasoro, ufanisi mahakama maalum ya udhalilishaji zanzibar

    ZANZIBAR SERIKALI imeshauriwa kukarabati na kuboresha miundombinu ya Mahakama maalum ya udhalilishaji Zanzibar ikiwa ni pamoja na kuwezesha matumizi ya ushahidi wa kielektroniki hasa kwa kesi zinazohusu watoto ili kuwa rafiki kwa wanaotumia mahakama hizo na kuwezesha upatikanaji wa haki katika...
  13. G-Mdadisi

    TAMWA-ZNZ calls for a national strategy to change the behavior of youth

    TANZANIA Media Women’s Association, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), recommends the preparation of a national strategy to change the behavior of young people, aiming to prevent them from engaging in acts of humiliation. According to the Office of the Chief Government Statistician (OCGS) in Zanzibar, from...
  14. G-Mdadisi

    Wadau wa habari wakutana na Tume ya Kurekebisha Sheria Zanzibar

    Mkurugenzi wa Chama cha Waandishi wa Habari Tanzania (TAMWA ZNZ) Dkt. Mzuri Issa amesema kuwa ni muhimu kuwa na sheria nzuri za habari ambazo zinapelekea kuwepo kwa uhuru wa habari na uhuru wa kujieleza kwa jamii. Amesema hayo wakati wa mkutano wa kutoa mapendekezo ya marekebisho ya sheria ya...
  15. G-Mdadisi

    Media stakeholders meet with Members of the Zanzibar Law Reform Commission

    Director of the Tanzania Media Association (TAMWA ZNZ), Dr. Mzuri Issa said it is important to adopt friendly media laws in Zanzibar that lead to the existence of freedom of expression and access to information in the society. She said that in meeting is during a meeting held at Takwimu House...
  16. G-Mdadisi

    Uzinduzi wa waraka wa mapendekezo ya sheria ili wanawake wengi washike nafasi za uongozi

    Asasi za kiraia zinazotetea haki za wanawake Zanzibar kwa pamoja zitazindua waraka wa mapendekezo ya sheria ambao una lengo la kuwawezesha wanawake wengi kupata haki ya kushika nafasi za uongozi katika ngazi za maamuzi. Uzindizi huo utafanyika siku ya Alhamis tarehe 05 Oktoba, 2023 katika...
  17. G-Mdadisi

    Mkurugenzi TAMWA ZNZ ataka Vijana, Wanawake kujiamini kugombea nafasi za uongozi

    MKURUGENZI wa Chama cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania, Zanzibar (TAMWA-ZNZ), Dkt. Mzuri Issa, amewashauri wanawake kujiamini na kuondosha woga wakati wa kugombea nafasi za Uongozi ili kuleta mabadiliko chanya katika jamii. Dkt. Mzuri ameyasema hayo akifungua mafunzo ya siku mbili ya...
  18. G-Mdadisi

    Kamati za Kupinga Ukatili Zanzibar zashauri Elimu ya Ndoa Ianze kutolewa kwenye taasisi za Elimu kupunguza Talaka

    ZANZIBAR KAMATI za kupinga vitendo vya Udhalilishaji Zanzibar zimeshauri kuundwa kwa mfumo utakaotoa fursa elimu ya ndoa kuanza kufundishwa katika ngazi mbalimbali kwenye taasisi za elimu ili kutoa nafasi kwa vijana kujifunza misingi ya ndoa na kuielewa kabla ya kuingia kwenye ndoa. Wameeleza...
  19. G-Mdadisi

    TAMWA ZNZ, MCT urge political parties in the country to allow their privileged female members to use their fundamental right to express themselves

    PRESS RELEASE 05th September, 2023. In a joint press statement issued by Tanzania Media Women’s Association (TAMWA Zanzibar), Media Council of Tanzania (MCT) Zanzibar, Union for Journalists who write Development Stories Zanzibar (WAHAMAZA), and Zanzibar Press Club (ZPC) in collaboration with...
  20. G-Mdadisi

    TAMWA ZNZ, MCT, wadau wa Habari watoa tamko Mjumbe Tume ya Uchaguzi Zanzibar kuzuiwa kuzungumza baada ya Kuapishwa na Rais Mwinyi

    CHAMA cha Waandishi wa Habari Wanawake Tanzania (TAMWA Zanzibar), Baraza la Habari Tanzania (MCT), Jumuiya ya Waandishi wa Habari za Maendeleo Zanzibar (WAHAMAZA), pamoja na Klabu ya Waandishi wa Habari Zanzibar (ZPC), zikishirikiana na Kamati ya Wataalamu wa masuala ya habari Zanzibar (ZAMECO)...
Back
Top Bottom