Search results

  1. Bwana Mkubwa9

    Naomba msaada wa soft copy ya kitabu cha "Dunia uwanja wa fujo" by E.Kezilahabi

    Wakuu habarini za majukumu? Naamini mnaendelea kuchukua tahadhari katika kujikinga na janga linalotukabili sasa hivi la COVID-19. Mimi nimebisha hodi humu jukwaani kuwaomba mnisaidie soft copy ya kitabu cha profesa Euphrase Kezilahabi kiitwacho DUNIA UWANJA WA FUJO. Kwa mwenye nacho anaweza...
  2. Bwana Mkubwa9

    Hiroo Onoda: Askari wa Kijapan aliyeendelea kupigana WW2 kwa miaka 29 baada ya vita kuisha

    Wakati mwaka 1944 ukiwa unaelekea tamati, hii ni baada ya miaka zaidi ya saba ya vita, mambo yalikuwa yanaiendea kombo Japan.⁣⁣⁣ Uchumi wake ulikuwa umeharibika vibaya, jeshi lake lilikuwa limetapakaa karibia kila kona ya Asia bila kuwa na mfumo thabiti wa kimawasiliano na mipaka iliyokuwa...
Back
Top Bottom