Search results

  1. R

    Abdulrahman Kinana amempongeza Rais Samia kwa kuvunja rekodi za Mapato

    Wale tembo aliwowaua na mikataba waliofanya kuuza Ngorongoro enzi zake na utawala huu wa sasa unawaumiza watu hasa Wamasai. Ila wao binafsi vipato vyao vimeongezeka.
  2. R

    Rais Samia ni mponya nchi muungeni mkono tusonge mbele

    Inaonekana ameshafanya makosa ya kiufundi. Inaonekana wana file lake, namba yake na video zake. Akiwazingua wanampigia.
  3. R

    Rais Samia ni mponya nchi muungeni mkono tusonge mbele

    Bi tozo amekataa kuwa remote mbona amechelewa. Kafukuza wote wenye uwezo mkubwa wa kumsaidia, akakubali kuweka vilaza na kumnyamazisha PM. It makes sense hizi siri huyu binti anapewa na walioshikilia remote, ili SSH asigombee tena 2025. Ila ni uzembe wake umemfikisha hapa. Inaonekana alishtuka...
  4. R

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Kuna walakini. Namuona Kikwete, Mpango, Majaliwa na wenza wao kwenye shughuli mbalimbali za kitaifa, ila sio yeye. Ngoja tuangalie. Elimu yake haileweki, amesoma wapi, level gani. Familia yake hatuijui. Yeye ni mke wa ngapi? Wako wake wangapi kwenye ndoa yao? Wake wenza wengine ni kina nani...
  5. R

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Uwezo huu mkubwa wa wapinzani kufikiri, uwezo huu wa kuja na hizi sera nzuri za kimkakati zitasaidia kutatua matatizo ya wananchi! Akili zao zinatawaliwa na chuki, bila hata commonsense, bila shaka zitawafanya Watanzania wawape nchi. CCM ya sasa na upinzani hakuna tofauti. Wote wanataka...
  6. R

    Mbeya: Mlima Kawetele wameguka, nyumba zaidi ya 20 zadaiwa kufunikwa

    Athari yake ndio landslide ikatokea huko Mbeya labda na Hanang siyo?
  7. R

    Nimepoteza Kaka Yangu Niliyekuwa Namfuatia

    Pole, Binadamu ni vigumu sana kubadilika wakipata addiction kama hiyo. Ukimshauri sana mtagombana. Ni mpaka aamue mwenyewe au apate janga kubwa litalomwamsha.
  8. R

    Israel yalalamika kuwa shambulio la Iran limeigharimu mno Israel na kuitia hasara kubwa

    Ndio maana Ukraine anaishiwa na pesa kila wakati. Urusi huwa anamtumia drones kama hizi kila wiki. Hakukuwa na ulazima Israel kushambulia ubalozi wa Iran pale Syria.
  9. R

    Wanaharakati wa haki za binadamu na ukimya wa matusi dhidi ya viongozi

    Labda wote wanajua anayoyasema huyu binti ni ya kweli. Ukichunguza huyu mama haeleweki kwenye hafla kubwa viongozi wengine wanaenda na wenza wao. Yeye ni nadra sana kumuona na mwenza wake.
  10. R

    Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

    Huyo binti nafikiri walikuwa na dili, maelewano flani hivi na SSH labda mpunga mrefu au labda ubalozi Marekani kwa kumpigania Samia na kudhalilisha JPM. Alikosa vyote, akaambuliwa kurudishiwa passport yake na kupiga picha mshikaji wake Samia.
  11. R

    Mnaomshambulia RC wa Arusha, mnafurahia kiongozi wetu kutukanwa?

    Hivi ni kina nani walikuwa wanatoa siri za ikulu na kumpa huyo binti wa Marekani na upinzani wakati wa JPM, kuna taarifa ni Samia na hao vijana wake ndio walikuwa wahusika wakuu. Kwahiyo nafikiri ni sahihi kusema wanajuana. Samia alipoingia tu kwenye kiti waliacha kuvujisha taarifa za ikulu.
  12. R

    Moshi: Taa za barabarani zinazotumia 'solar' zaibwa

    Mkurugenzi labda ndio dili lake.
  13. R

    Kurithi Kiti Cha Urais sio Ticket ya Kuendelea na Urais. Heshimu miaka 10 Ondoka

    Akiendelea hadi 2030, Tanzania inaweza kuwa kama Yemen au Somalia, makundi, udini, ukabila, tofauti kuongezeka kati ya bara na visiwani, vita kati ya matajiri na maskini, wanawake na wanaume, umaskini wa kutisha kwa wengi, ufisadi rushwa, wizi, ujambazi, utapeli wa ardhi, nyumba, mashamba...
  14. R

    Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Unajuaje kama wao ndio labda wanamlinda huyo mwanamke kwa maslahi yao ya USA?
  15. R

    Nape anatakiwa ajiuzulu nafasi ya uwaziri wa mawasiliano kwa kushindwa kumlinda Rais dhidi ya matusi

    Haha, yeye na washikaji zake ndio mabingwa wa kuwatukana Watanzania, wapinzani wengi wanatumia lugha hizo hizo za matusi, ukitumia matusi unaonekana wewe ni mtoto wa mjini, msela hata hapa JF matusi ndio kama lugha rasmi ya kuwasiliana.
  16. R

    Madhara ya "uchawa" sasa yameanza kudhalilisha na kuumiza

    Vipi kama yeye ndio kamtuma aseme hivyo? Sikubaliani na lugha ya matusi anayoitumia huyu mwanamke wa Marekani lakini point zake zote ni za ukweli. Nchi imemshinda, teuzi, hovyo, huduma hovyo, mfumuko wa bei, kodi, tozo, huduma serikalini hovyo. Ndio kwanza wanajiongezea marupurupu kwa wenza...
  17. R

    Madhara ya "uchawa" sasa yameanza kudhalilisha na kuumiza

    Alipiga naye picha Marekani.Naona Samia Chickens are coming home to roost. Huyo mwanamke alikuwa chawa wake. Mtangulizi wake ametukanwa sana na huyo mwanamke, mitandaoni, wapinzani na alitukanwa na wengi ndani ya baraza lake la mawaziri, hajawahi kutoa tamko kukemea chochote. Ndio kwanza...
  18. R

    Paul Makonda atishia kuwataja wanaolipa watu 'Kumtukana Rais Samia mitandaoni', wamo Mawaziri

    Alipiga naye picha Marekani.Naona Samia hajampa alichokitaka. Chickens are coming home to roost. Mtangulizi wake ametukanwa sana huyo mwanamke, mitandaoni, wapinzani na wengi ndani ya baraza lake la mawaziri hajawahi kutoa tamko kukemea chochote. Ndio kwanza alikuwa anachochea moto kwa kauli...
  19. R

    Ni ama Makonda aingie kwenye mfumo wa Wana-Arusha au kinyume chake

    Lowassa alikuwa waziri mkuu. Nafikiri Sokoine alitoka kule. Muhimu elimu. Una ngombe 1000. Unaweza vipi kusaidia vizazi vyako vijavyo?
  20. R

    Makonda: Watalii hawaji Arusha kulala wanakuja kula starehe, ni lazima Arusha iwe salama saa 24. Hao wadudu nitaongea nao

    Ngoja tuone, ila naona ni mtu pekee anayeweza kuinyoosha Arusha, kaskazini kwa vijana wa leo, familia zao, kuweka misingi kwa vijana. Kwamba halali ni muhimu, maadili muhimu, tusitumie madawa ulevi, wizi, ujambazi, noti feki, pombe feki, kila kitu feki kuishi. Tunaweza kuishi kihalali na...
Back
Top Bottom