Search results

  1. Katashekadm

    Tetesi: Katibu Mkuu mstaafu wa CCM, Bashiru Ali kutimkia ACT Wazalendo

    Hizi ni dalili za kukosa kazi, unapuyanga tu kwenye simu kwa kuwa una bando
  2. Katashekadm

    Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

    Aseme nini wakati Mbowe alimuuzia Lowasa Chama! Hii chadema hujajua imefikaje hapa, kuna jasho la Dr Slaa
  3. Katashekadm

    Wilibrod Slaa na CHADEMA waache dharau kwa umma wa Watanzania

    Kwani Lowasa bado yupo chadema? Na unakasirika Dr Slaa kuwa miongoni mwa watu wanaotetea maslahi ya nchi? Kesi ya ugaidi ilikuwa ni serikali ya JPM au Samia? Mwacheni Dr Slaa afanye kazi zake za kutusemea watanzania, kama ulivyomuona kwenye sakata la bandari Na isitoshe chadema na viongozi wake...
  4. Katashekadm

    Lissu: Jeshi la Polisi fanyeni kazi ya kutusaidia kwenye maandamano kama mnavyofanya kwa Makonda

    Mwambieni Lisu aache kudeka. Yaani analinganisha mikutano ya Makonda na matembezi ya chadema? Nitayaita maandamano siku waandamaji wakijiongoza wenyewe bila Lisu au Mbowe
  5. Katashekadm

    Mwaka 2017 niliandika wote walioshiriki kumpiga Lissu risasi watakufa na Lissu atashuhudia vifo vya adui zake. Hilo linaendelea kutimia

    Ile ilikuwa move iliyobuma Dereva wake yupo wapi mbona mmemficha hadi leo? Hakuna cha risasi 40, 38, 30 au 16
  6. Katashekadm

    Safari za Rais Samia nje ya nchi

    Huo ni uzululaji tu, katika Dunia ya kisasa siyo lazima utembee, kuna namna nyingi za kufanya mawasiliano, na isitoshe hizo nchi zina balozi wetu Huyu ni mzululaji kama kakake
  7. Katashekadm

    Ndoa ya serikali ya Samia, CHADEMA na wanaharakati dhidi ya Magufuli sasa imevunjika rasmi

    Sasa tunawona kila siku wanaenda Chato kuomba msamaha kwenye kaburi
  8. Katashekadm

    Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

    Mikataba ilisainiwa mchana kweupe, siyo hii ya kwenu isaiiwa na waarabu kwao
  9. Katashekadm

    Hivi Rais Samia amewahi kuandika Makala au Paper ya utatuzi wa changamoto za jamii?

    Kiongozi wa nchi aliyeshindwa kusoma mkataba wa bandari na kuulewa anapewa heshima ya PhD ni ujinga Aliipokea nchi ikiwa uchumi wa kati leo tupo ziro! Alafu unampa PhD?
  10. Katashekadm

    Rais Samia hapaswi kuitwa Daktari

    Dr wa kurem ua macho na kupaka ripstick
  11. Katashekadm

    Dr Slaa: RC Chalamila anaropoka hovyo kama na kujipendekeza kwa Rais Samia

    Magufuri alikuwa mchapakazi, siyo huyu mpaka ripstiki
  12. Katashekadm

    Ushauri kwa Baraza La Maaskofu TEC

    Roman Catholic Church haifanyi kazi kwa taharifa za vijiweni Msimamo wa Kanisa na Papa uko wazi Kazi ya Kanisa ni kuwaombea mashoga wabadilike hiyo habari ya kubariki ndoa za mazhoga waachie BBC na Anglican Church huko Uingereza
  13. Katashekadm

    Taifa liache unafiki. Hivi uovu wa Gekul unafikia hata robo ya ule wa Makonda?

    Kupambanaa na wauza ngada ndiyo uovu? Au ulikuwa unafurahia kuona watoto wetu wanasinzia vituo vya usafiri?
  14. Katashekadm

    Bodi ya Mikopo Kuwapa Mikopo Wanafunzi Waliotemwa Samia Scholarship

    Tulijua mapema kwamba zilikuwa mbio za sakafuni....
  15. Katashekadm

    Rais Samia, Nyerere wa pili

    Pumbavu zako
  16. Katashekadm

    Tanzania huenda ikatuchukua karne nzima kumpata Rais Samia mwingine

    Umesahau, ameaongezea mishahara minono watumishi wa umma, Sasa hakuna mtumishi anayalalamika! Na tutazidi kumkumbuka huyo Samia kwa kuwasupoti watoto wetu wadogo wazaezae hovyo hovyo ili shule zetu zisomeshe wazazi badala ya watoto! Na tutamkumbuka sana Samia kwa uongozi mbovu kuliko wote tangu...
Back
Top Bottom