Search results

  1. Septem

    HAFLA KUBWA YA MUZIKI WA DANSI

    Muziki wa dansi ni muziki ambao umekuwepo nchini kwa muda wa miaka mingi.. Kwa takribani miaka mitatu sas muziki wetu huu umeyumba. Wadau tunafanya juhudi za kuurudisha muziki huu kwenye heshima yake. Wafia muziki huu tunataraji kuwa na hafla kubwa ya muziki wa dansi. Hafla hii itawakutanisha...
  2. Septem

    Thomas Sankara: Hauwezi kuleta mageuzi ya msingi bila kuwa na kiasi fulani cha ukichaa

    I would like to leave behind me the conviction that if we maintain a certain amount of caution and organization we deserve victory. ... You cannot carry out fundamental change without a certain amount of madness. In this case, it comes from nonconformity, the courage to turn your back on the old...
  3. Septem

    Tecno 78 . Bei 100,000 Mkoa, Shinyanga

    .
  4. Septem

    Mfungo na adha zake

    Kwanza natanguliza wazi mimi ni Muislam wa kuzaliwa na kuamini. Pia sina lengo la kukashifu dini yoyote au imani ya mtu. Bali najaribu kuelezea mambo yanayojili katika mwezi huu wa Ramadhani ambayo , kisheria na kiustaarab hayako sawa kabisa. Nitaelezea jambo moja. Wenyewe tumezoea kuliita...
  5. Septem

    Exim Bank jipangeni

    Binafsi nilishakua mteja wa NMB nikaachana nao, nikaja CRDB niliposettle hadi leo,nikaionja Stanbic sikukaa, baadae nikaja bank ya posta nikaona hovyo. About 3 months ago nikaingia rasmi Exim Bank. Hii bank inashida sana, inahita uwe na kiwango cha juu sana cha uvumilivu ili uwe mteja. 1...
  6. Septem

    KILA MTU ANA BEI

    Pole bwana Chahali. Jana nilipata ujumbe kutoka kwa mheshimiwa mmoja akinieleza masikitiko yake kuwa licha ya jitihada zake kubwa kunisaidia kupata malipo kutoka kwa aliyekuwa Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana, yaliyotokana na ushiriki wangu kwenye kampeni za chama hicho kwenye uchaguzi...
  7. Septem

    So funny

    *nacheka sana naposkia wanaume wanalalamika kua wanawake hawawasikilizi hivi kama mwanamke alishindwa kumskiliza mung aliyemuumba na akala tunda lililokatazwa ww kumpa kifurushi cha jero tu ndo akusikilize kweli hebu tuweni serious*[emoji16][emoji16] ~Bravo~
  8. Septem

    1.5 Trilion na Mjadala wa budget

    Sijawahi 'muamini' ZZK. Ni muasis wa hoja nyeti sana katika nyakati ambazo anahitaji kutengeneza trust ya wananchi na Upinzani. Jamaa ni msomi, na 'intelligent'. Anajua kusoma mazingira, anajua kusoma madhaifu ya 'upinzani mkuu'. Leo hii kuna bunge la budget linaendelea, mara zote nyakati za...
  9. Septem

    Viongozi mwaka 32 katika karne ya 21

    Siku huyu bwana akiburutwa mahakamani kwa ukiukwaji wa haki za binadamu na udhalilishaji na akalipishwa fidia ya kama bilion 1 ndio 'ushenzi' huu utakoma katika serikali hii. naona ni tabia inashamiri, jana DC wa Sengerema nae anaagiza mtu awekwe ndani hata akafie huko.
  10. Septem

    WAPENZI WA AFRO TZ TUKUTANE HAPA

    Kwa wapenzi wa muziki wa dansi, uwe wa kitanzania(kama vile 'zilipendwa' au za sasa kama vile zao wanatwanga, stono musica, au 'timu ya taifa'), kikongo(rhumba na soukous) tuna uhaba mkubwa wa vipindi vya TV na radio vinavyopiga nyimbo hizi. Zipo radio chache zimeweka vipindi maalum kwa ajili ya...
  11. Septem

    Hatimaye Peugot 505 nimeiuza

    [emoji23] [emoji23] [emoji23] hii gari 'ilinunuliwa' kimaajabu sana. 2012 muda nainunua Plan ilikua ni kuifanya gari ya abiria, lakini nilikuja gundua nimefanya 'panic purchase'.. But hatimaye leo nimeiuza sh laki 8. Ilikua inaziba tu uwanja. Gari ndefu kama 'limousine'.
  12. Septem

    UTEJA WA VITABU

    Nairudia tena hii yake mwijage, bado natamani kupata insight ya kilichomsibu yeye na 'Mwalimu',. Nakisoma tena. Tujatibu kubadilishana mawazo, wale wanaoshangazwa na 'haya ya awamu ya 5', tujikumbushe since 1960s sio mageni kwa 'wengine'.
  13. Septem

    Tumkumbushe Kadinali Pengo juu ya hili

    Maaskofu mwezi machi walitoa waraka ukielezea mambo kadhaa juu ya nchi yetu katika awamu ya 5 ya Uongozi/Utawala. Waraka wenyewe umeonya mambo kadhaa juu haki za kiraia na kisiasa, unaweza usoma hapa (WARAKA: Maaskofu Katoliki waonya uminywaji wa demokrasia na uhuru wa vyombo vya habari nchini)...
  14. Septem

    Msaada wa job description za DT

    Habarini za jioni wakuu? kama tujuavyo Mkurugenzi wa halmashauri ndie afisa masuuli-ACCOUNTING OFFICER. Lakini idara ya fedha iko chini ya Mtunza hazina (DT). Hivyo ninahitaji kujua majukumu na wajibu wa mkuu wa idara ya uhasibu katika halmashauri hususani katika uidhinishaji malipo. Nikipata...
  15. Septem

    Mitego yetu wanaume

    Wanaume ni viumbe ambao kiasili na kimaumbile ni wenye nguv(masculine). Bahati mbaya wale ambao wasio na misuli sana ndio udhaifu wetu. Kwa udhoefu wangu wa maisha, hii ni mitego yetu wanaume. 1. WANAWAKE. Hawana nguvu za kimwili, lakiini kisaikolojia wananguvu kubwa mno(unakumbuka ya samson v...
  16. Septem

    Mazao yameanza kuiva: Kumbukizi 'sitoi chakula cha msaada'

    Kwanza ninadeclare mimi ni Agrobusinessman kwa takribani 5 yrs, hivyo sekta hii ya biashara ya mazao ninaifahamu kwa kiasi fulani. Mwaka jana mwezi machi kulikua na kelele kubwa za upungufu wa chakula nchini. Kelele hizi ziliongezewa nguvu na wanasiasa na kupata uthibitisho wa kisayansi katika...
  17. Septem

    Wiki nzima yake ngiama.

    Mwezi juni mwaka jana, mfalme wa msituni, alitangaza mtandaoni kuachia album yake aliyoiita 7 jours de la semaine (siku saba za wiki au wiki nzima),. Jina. Jina la album hii likimaanisha wiki nzima ya kula 'bata'. Ukisikiliza nyimbo ya diemba ndio imebeba maana ya album hii. Nyimbo hii ni...
  18. Septem

    Wiki nzima yake ngiama.

    Mwezi juni mwaka jana, mfalme wa msituni, alitangaza mtandaoni kuachia album yake aliyoiita 7 jours de la semaine (siku saba za wiki au wiki nzima),. Jina. Jina la album hii likimaanisha wiki nzima ya kula 'bata'. Ukisikiliza nyimbo ya diemba ndio imebeba maana ya album hii. Nyimbo hii ni...
  19. Septem

    Tujadili: Muundo wa bendi za muziki wa dansi

    Wadau wa muziki pendwa wa dansi(rhumba na soukous) kutoka tanzania na kongo nina waarika tujadili juu ya Muundo, uongozi na umiliki wa band mbalimbali. Hapa nitatoa ufahamu wangu juu ya Muundo wa band kadhaa hasa za kongo. Kongo kwa sasa kuna band kadhaa kubwa lakini vinara hasa bado...
  20. Septem

    Makala za kisheria: Jinsi ya kujikinga dhidi ya jinai katika maisha ya kila siku

    'Ni wajibu wa asili wa wale waliobahatika kupata elimu kutumia elimu zao kuwaelimisha wale wasiokua na elimu'-Mwalimu. Mimi ni muumini wa mtazamo huu Mwalimu juu ya elimu. elimu hii maanaishi 'kutokwenda shule' bali ni msingi kuwa watu tuna maeneo tofauti ya utaalamu na ujuzi. hivyo ni muhimu...
Back
Top Bottom