Search results

  1. K

    Kitengo Cha uhakiki (Malipo) wakandarasi Wizara ya fedha kuweni na huruma!

    Kitengo hiki kimekuwa kinatutesa Sana wakandarasi(Sector binafsi), kwani wakipelekewa madai ya wakandarasi na waajiri (Clients) wao wamekuwa wanazingua Sana kulipa! Kwa mfano kwa Sasa hivi wamekaa na invoice za Malipo ya wakandarasi zaidi ya miezi 3 Sasa!! Fikiria mkandarasi huyo huyo...
  2. K

    Uchaguzi 2020 Kuna utaratibu gani wa kufuata kwa ajili ya kupiga kura kumchagua Rais katika kituo ambacho hujajiandikisha kwa huku Bara?

    Maboresho ya daftari la mpiga kura yakishakamilika huwa hakuna namna nyingine tena
  3. K

    CCM mumeona nchi jirani wasemavyo kuhusu Rais Magufuli?

    Hili nalo neno, watu wanataka kuambiwa na Magu wajifungie ndani mwao!! Wakati wanaougua ni wao siyo Magu..
  4. K

    Nimependa huduma hospitali ya macho ya Agarwal's Morocco

    Hata mimi macho yangu niliambiwa yana Alergy, nimezunguka hospiali kibao bila mafanikio, ngoja niwatafute hao mkuu.
  5. K

    Inadaiwa Kisena alikuwa akiiibia UDART namna hii...

    Amewatolea mfano tu wakuu......
  6. K

    Hatma ya Rais mprotestanti Tanzania

    Viashiria vya..........
  7. K

    Tablet ya samsung galaxy 10.1 inauzwa

    Specification nyingine kama, RAM, MEMORY na sifa nyinginezo
  8. K

    Manispaa ya Iringa inayoongozwa na CHADEMA yaongoza tena kwa usafi nchini

    Itikadi zenu hizo zitawaumiza!! Kwa hiyo watendaji wa Serikali pale ni CHADEMA!!
  9. K

    Rose Mhando: Meneja wangu anataka kuniua

    Inaonekana kama ndiye vile, na kwa mujibu wa mazungumzo inaonekana meneja wake kampiga misumali...!!
  10. K

    Mahakama ya Kisutu yaamuru kukamatwa kwa Wabunge Mbowe na Esther Matiko

    Analeta masihara na taaluma za watu huyu!!
Back
Top Bottom