Search results

  1. ASHA NGEDELE

    Kwani Suzuki Escudo ina shida gani wakuu?!

    Mkuu, kuna jamaa yangu ana J24 (Auto) lakini inampa 5km/l shida itakua nini. Plug kaweka OG, O2 sensors kabadili na kafanya full service including kubadili Gearbox oil Una jamaa mtaalam wa hizi gari anaweza mchekia na kumwambia nini cha kubadili? Nlimwekeza kwa fundi ambae kashindwa tatua tatizo
  2. ASHA NGEDELE

    Power tiller special thread

    Kwahio ushauri ni kununua Siam Kubota ya 14HP mikono mirefu. Ni bei kubwa lakini worth it sababu ina'last kwa muda mrefu. Je, hizo Kubota wauzaji wote wanauza ORIGINAL/GENUINE versions ama zishaftyatuliwa za kichina? Vitu gani vya kuzingatia wakati nanunua Kubota ili nisiingizwe mjini?
  3. ASHA NGEDELE

    Naona Yanga wameamua kufanya siku ya mkutano wa wananchi kuhusu DP world iwe ni siku ya YANGA DAY 22 /7 /2023

    Tanga? Kwahio watu waache kufanya shughuli zao sababu ya huo upotoshaji wenu?
  4. ASHA NGEDELE

    Dkt. Slaa na wenzie kuitisha mkutano wa wananchi Julai 22

    Mnajisumbua tu, wakifika hata watu 5,000 ntaona kweli dalili za kufanikiwa na hizo harakati zenu zipo. Shida yenu mnafikiri mawazo yenu na Maria Sarungi ni mawazo ya Wananchi wote. Mlivo wajinga hizo harakati zenu tayari mshazitia doa na hoja zenu za UDINI na UBAGUZI. Tayari kuna kundi kubwa...
  5. ASHA NGEDELE

    Mdude Nyagali kuongoza maandamano ya Vijana kupinga Mkataba wa Bandari

    TATIZO LENU MKIONA WATU WAMEJAA KWENYE HIZO CLUBHOUSE NA #MARIASPACE ZENU MNAFIKIRI WOTE WATAINGIA BARABARANI. HUMO KUNA KILA AINA YA WATU WANASKILIZA NA ZAIDI YA 90% WANAISHIAGA HUKO HUKO MTANDAONI. YAKITOKEA HAYO MAANDAMANO YA HUU MKATABA TANZANIA HII, NAFUTA HII AKAUNTI YA JF
  6. ASHA NGEDELE

    TRA wameanza kutisha wafanyabiashara hata kuwafungulia kesi na kuwafunga

    Lazima kuna sababu, hawawezi tu kumpeleka mfanyabiashara Mahakamani
  7. ASHA NGEDELE

    Ushauri: Kilimo gani nifanye kwa mtaji wa Shilingi milioni 20?

    Unaweza tushirikisha ikawa faida kwa wote
  8. ASHA NGEDELE

    Je, niwekeze kupitia JATU Company PLC?

    Wanasumbua kulipa hawa JATU. Usipoteze muda wako.
  9. ASHA NGEDELE

    Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

    Asante kwa hio feedback Mkuu. Hopefully pesa ilionekana
  10. ASHA NGEDELE

    Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

    Mkuu tunaomba update baada ya kuvuna. Pia kama ulikutana na changamoto zozote tokea umelima mpaka mauzo
  11. ASHA NGEDELE

    Ushauri: Mahindi ya Kuchoma

    Tunaomba update
  12. ASHA NGEDELE

    Ushauri: Kilimo gani nifanye kwa mtaji wa Shilingi milioni 20?

    Habari wadau, Ninatarajia kupata 20m na nahitaji inizalishie minimum 10m ndani ya mwaka mmoja kupitia kilimo. Je, nilime au nijihusishe na nini ili nifikie lengo langu kupitia kilimo au ufugaji? Shamba ninalo Kigamboni Mwasonga zaidi ya ekari 10. Nisingependa ushauri wa kulima tikiti sababu...
  13. ASHA NGEDELE

    Tuhuma za Askofu Josephat Mwingira zimehanikiza umuhimu wa kuundwa haraka kwa Tume ya Ukweli na Maridhiano ya Taifa...

    Maneno meeengi hamna hoja nzito hata moja. Mwingira mhuni tu. Mali za Billioni 10 atoe wapi? Ana tofauti gani na Gwajima aliedai kununua treni? Wote wahuni tu
  14. ASHA NGEDELE

    Rais Samia fanyia kazi Orodha ya wauza Madawa ya Kulevya, Mungu akubariki

    Acha kujitoa fahamu. Rudi ukamsikilize.
  15. ASHA NGEDELE

    Dkt. Dotto Biteko asimamisha wafanyakazi saba ofisi ya madini kanda ya ziwa

    Kuna mahala pamesemwa mtu kafukuzwa kazi? Sijui nani kachukua akili zenu Chadema
Back
Top Bottom