Search results

  1. Mwl Mweusi

    Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

    Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo; Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo; Civics D, History C, Kiswahili D, English C, Geography D, Biology D, na Math's F...
  2. Mwl Mweusi

    hodi humu jf

    jamani hodi i am a new member of jf naombeni ushirikiano
Back
Top Bottom