Search results

  1. Mwl Mweusi

    Msaada: Nimehitimu form four na nimepata alama hizi je, kuna uwezekano wa kuchaguliwa form five ya kiaerikali,private ama chuo?

    Awali ya yote Nikiwa kama member Wa jf nawasalimu nyote, na nawasilisha mjadala kama ifuatavyo; Mimi ni muhitimu Wa form four na nimepata wastani Wa Division four ya 27 (4:27) ikiwa na alama zifuatazo za masomo; Civics D, History C, Kiswahili D, English C, Geography D, Biology D, na Math's F...
  2. Mwl Mweusi

    Nimekuta SMS za mapenzi kwenye simu ya mpenzi wangu; nifanyeje?

    Screenshot hizo SMS halafu utuonyeshe ili tujue cha kukushauri
  3. Mwl Mweusi

    Ni kweli ninaokota dodo?

    Mhh ! Pigana mkuu wakati wewe unaota kufanikisha ndoti Fulani wenzako asubuhi wanaamka na kuifanyia Nazi ndotoyako , hivyo anza kutengeneza naye urafiki na uwe MTU wake Wa karibu ndio approach yako ianze kila LA heri .ila utuketee mrejesho.
  4. Mwl Mweusi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Mpira Wa man u sio Wa kumpa shabiki furaha hasa tukikutana na timu kubwa Njia bora ya kudifensi ni kushambulia tu. na si kupaki basi kama falsafa za makocha Wa zamani ,sikuhizi mambo yanebadilika makocha wamekuja na mbinu ya kukabia juu ili kujilinda na wakipata moira mashambulizi huanzia...
  5. Mwl Mweusi

    Kipi kinauma kati ya kuumizwa katika mapenzi na kugongesha goti katika kiti ama meza?

    Hapo kinacho mata ni maumivu yanavyo uma na si yanavyo tokea
  6. Mwl Mweusi

    IPI SAHIHI NJANO AU DHAHABU KATIKA BENDERA YA TAIFA

    Kwa kutumia akili utagundua kuwa njano ni sahihi kwa sababu inawakilisha madini yote lakini ya gold ni kwa dhahabu pekee hamuoni udhaifu hapo? Kwa hiyo acha njano ibaki kuwa sahihi na so gold !!!
  7. Mwl Mweusi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    ila smalling sijawahi muelewa hata siku moja ila naombea majembe yetu yarudi ROJO&BAILY
  8. Mwl Mweusi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    hawa watu tunawahitaji sana katika wakati huu mgumu ROJO&BAILY
  9. Mwl Mweusi

    Leo channel ipi ya king'amuzi cha azam tv nitaona Uefa leo

    hii sasa hatari!!!!!@
  10. Mwl Mweusi

    hodi humu jf

    Nimekaribia ahsanteni sana!
  11. Mwl Mweusi

    hodi humu jf

    Kazi ninayo na hii tanzania yetu ya viwanda watu wamepagawa kweli[emoji28] [emoji29] [emoji27] [emoji28] [emoji29] [emoji29] [emoji29]
  12. Mwl Mweusi

    Gamers only: FIFA vs PES ipi unaikubali?

    Fifa is the best ukianzia graphics,majina ya wachezaji
  13. Mwl Mweusi

    Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

    Naona kumekucha bwana na chelsea yenu mbovu!!
  14. Mwl Mweusi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    Dah hili si goli kabisa!!!![emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] [emoji27] dah
  15. Mwl Mweusi

    Manchester United (Red Devils) | Special Thread

    mchezaji hatari sana ambaye hajapata viungo wa kumlisha pale man utd chukulia picha angekuwa yupo city viungo kama debluine na sane [emoji27] [emoji28] [emoji29] jamaa angeng'ara sana!!!!
  16. Mwl Mweusi

    hodi humu jf

    Fresh broo usiku mwema
Back
Top Bottom