Search results

  1. RED BULL

    Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    Mkuu kifupi ni kuwa wanalilia huo usawa lakini hata ukiwauliza ni usawa Gani hawawezi kujibu. Maana unaweza kumkubalia anachotaka halafu badae anabadilika anakua hataki tena. Yani basi tu we can't understand women at all. Ndo mana Mara nyingi ukiona huelewi unanyuti kimya ..
  2. RED BULL

    Hivi, wanaume mnaposema kuwa wanawake wa siku hizi tunapenda usawa huwa mnamaanisha nini?

    Nitajibu kifupi tu.. Kwamba, mwanamke unapoolewa huwa unatoka mikononi mwa wazazi na kuingia mikononi mwa mume. Hivyo yote ulokua unawaskiza wazazi yanahamia kwa mume isipokua kwa mume kuna nyongeza. Heshima, usikivu, uvumilivu nk vyote vinahamia kwa mume. Hivyo hupaswi kushindana na mume kama...
  3. RED BULL

    Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    Nilichogundua pia ni wanandoa kupoteza mvuto kila mmoja kwa mwenzie. Mume kupoteza kwa Mke ama Mke kupoteza kwa mume. Chanzo ni yoyote tu kati yao ..
  4. RED BULL

    Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    Mwanaume yyte anaesema hawez kushika wala kufatilia simu ya mke wake huyo ni bwege Mimi mmojawapo aisee. Kuishika na kuipekeua ndo kutojiamini kwenyewe. Mara nyingi mpekua sim ya mwenzie huwa kuna kitu tu bila shaka anakitafuta. Na Mara nyingi kile kitu hujienga na hutokea kweli na kukuta maana...
  5. RED BULL

    Nimekoma kukagua simu ya mume wangu

    Atarudi tu usiogope. Kaa tulia Lea familia ... Sent from my TECNO-J5 using JamiiForums mobile app
  6. RED BULL

    Wiki hii inasimamiwa na shetani wa mchepuko

    Dah wanaume mlooa acheni ukauzu Kwa wake zenu ndo mana wanakua wepesi sana kuchepuka. Hamuwashughulikii kabisa ipasavyo..
  7. RED BULL

    Dah! wanawake mtatuua kwa mateso sana

    Usilie bro maana ulikua buzi. Hayo Fanya akiwa Mke na si mpenzi. Mjini hapa. Hata akikubali umuoe basi mwangalie vizuri maana wengine saivi wapo so strategic .. Unamuoa unampa kila kitu anakuacha solemba. Kifupi kupata Mke saivi ni ishu sana. Wanawake ni matapeli hatari na hata wanaume pia. Pole...
  8. RED BULL

    Mapenzi yanaua

    Sasa mbona hatukuelewi!? Ndivyo wapenzi wanavyoishi hivyo? Unamwacha tu huko kijijini we upo mjini unaenda baada ya miaka miwili? Ni mzazi au Mdogo wako huyo? Unafikiri si anaona unamtumia tu maana hujamuoa? Hapo sio wa kwako peke yako hivyo huwezi kumcontrol ..
  9. RED BULL

    Nahitaji mume mwema!

    Du
  10. RED BULL

    Mwenzenu nina changamoto moja ambayo sijajua kipi cha kufanya

    Ni kawaida hizo fitina ndo mana ndoa zinatakiwa ziharakishwe. Mshavunja misingi .. Endeleeni na ndoa ILA DUA nyingi
  11. RED BULL

    Hakuna maisha baada ya kifo(no life after death)

    We ngoja tu kikikufika ndo uje utuambie. Au mwenzetu kuna MTU alikufa akarudi akakupa habari hizi au ni mawazo yako ? Vizuri usiongee jambo bila ushahidi au yakini..
  12. RED BULL

    Wanaume hebu mkae vizuri

    Pole Cajojo
  13. RED BULL

    Kwanini Wanaomkana Mungu husisitiza ya kuwa Mwenyezi Mungu ni matokeo ya fikra za Mwanadamu?

    Mwanadam ana asili ya kibri akiwa na uzima, afya na Mali. Vitaisha tu siku wakikutana na Mola aliyewaumba.
  14. RED BULL

    Mke wangu akichoshwa na kazi hasira anazimalizia kwangu

    Ni kawaida kuchoka Hawa watu. Ndio mana tukaruhusiwa kuongeza mke wapili watatu na wanne. Upo. Acha kulalamika usimchoshe huyo we ongeza mke.
  15. RED BULL

    Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba

    Mtegemee Mungu halafu muoe. Maisha yatakua mzuri ghafla
  16. RED BULL

    Msaada: Naombeni mbinu za kukataa mimba

    Acha uoga dogo. Lea mimba na mtoto.
Back
Top Bottom