Search results

  1. M

    Sintofahamu kwa wabunge wa chadema

    Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje? nawasilisha!
  2. M

    Takukuru...

    Wana jf, nauliza kama kuna mtu mwenye info zozote za takukuru, mchakato wa kurecruit huwa wanatangaza, mwaka huu wanaanza kurecruit lini? naomba kuwasilisha.
  3. M

    Nafazi za kufundisha Dar es salaam

    Wana jf niaje...napenda kuwatangazia wale wenye uwezo wa hali ya juu kufundisha masomo ya history, english and mathematics...nina center yangu pale banana ukonga ina madarasa 6 mnaweza kuja pale...karibuni xana wakuu 2we wajasiliamali. naomba kutoa hoja..
  4. M

    Hivi ni kweli watanzania wamechoka na ccm?

    Mimi sina majibu lakini watanzania wana majibu...kule igunga kuna baadhi ya watanzania...uchaguzi mdogo wa igunga utanipa baadhi ya asilimia fulani kupata majibu...vyama vikubwa vyote vitakuwepo kuhakikisha hakuna kuchakachuliwa na kama utachakachuliwa basi ww haupo makini...nahisi chadema...
  5. M

    CHADEMA tumechoka maneno matupu......

    mimi nahic cdm bado hawajakomaa kisiasa...kw nn msilete maendeleo pale ambapo sisiem imeshndwa ili cc watanzania tuwaamini kama mnaweza kuongoza si kulalamika tu, wananch tulie na nyie mlie nani amnyamazishe mwingine...kama mnaweza kununua mitambo ya umeme nunueni na matatizo mengne muyasolve...
  6. M

    Tindu lisu katikati ya dimbwi asilolijua....

    Naomba nianze kwa kusema hivi...chama cha democrasia na maendeleo kina wenyewe ambao ni wachaga...Tindu lisu aendelee kupiga kelele ivo ivo cku akitaka uongozi wa juu ndani ya cdm ndo atawajua machalii wa kichaga, awaulize akina marehemu chacha wangwe, kafulila, zito kabwe na wengne...
Back
Top Bottom