Search results

  1. M

    Sintofahamu kwa wabunge wa chadema

    Wana jamvi nimekuwa nikijiuliza swali bila kupata jibu....kesho Mh jakaya mrisho kikwete atahutubia bunge...swali langu, je, wabunge wa chadema watatoka bungeni kama kawaida yao au itakuwaje? nawasilisha!
  2. M

    Maswali kwa Mhe. Mnyika na CHADEMA

    wewe cjui 2takuzika wapi vile...sasa hivi nguvu ya umma hatudanganyiki..cdm mnakurupuka...mkitangaza maandamano mtapasuka...ole wenu...
  3. M

    CHADEMA Yajitoa mchakato wa Katiba; Yadai Rais kawauza!

    Hellow wanajanvini, Nachelea kusema kuwa chama cha democrasia na maendeleo kilifanya maamuzi ya cc bila kushirikisha wafuasi wao ambao wanajiita umma wa watanzania, usaliti huo waliufanya baada ya kwenda kumuona rais bila kuwauliza ili wawashauri kitu ambacho kimesababisha mh mnyika na...
  4. M

    CUF wazidi kuiandama CHADEMA

    Chatema wamekwisha...wamezikurupukia thiatha dha tanzania thatha zinawatokea puani...tena wanaenda ikulu kujimalidha dhaidi, waulidheni nccr ilikuwa na vichwa zaidi hivi vya chadema wa leo, miaka ya 90 leo wako wapi, walikuw wakiongozwa na kilaza mrema kama kilaza mbowe, poleni vijana wenzangu...
  5. M

    Tahadhari kwa Timu ya CHADEMA?

    kuongea ni haki yako mdogo wangu na matumizi mabaya ya ulimi wako...hao wachaga unaowashabikia ndio wameomba kuonana na rais wao na yy rais amekubali na wao kama wana mawazo mufilisi ya kuwekewa sumu wasiende...
  6. M

    Kikwete akubali kukutana na CHADEMA

    aliye andika hii thrd jamani...inabid jf muwe waangalifu, eti huyu nae ni great thnker! hivi jk amesalimu amri kwa lipi? wale ni wananchi wake wamemuomba kuonana nae, hili ni ombi lakn kwa kuwa ni rais mwenye busara kw wananchi wake amekubali...ishu ni je, atakubali hayo wanayokwenda kumueleza...
  7. M

    Hatimaye BAVICHA yapata Katibu Mkuu, ni Deo Munishi

    wewe Regia pole sana mama...hicho ni kiini macho hao wachaga wachache akina mbowe wamemuweka huyo Mushi kw malengo yao hao wengne hakuna kitu pale...wachaga kweli noma ndio mana mwl aliwakataa. yule Heche aliye wekwa pale ni ziro kabisa, kwanza hana elimu anapelekeshwa tu...toa upupu wako hapa...
  8. M

    Maandamano nchi nzima yatangazwa baada ya bunge kukubali muswada wa sheria wa marekebisho ya katiba

    jamani tusidanganywe na huyo deus katambala, eti maandamano nchi nzima...kila kukicha maandamano.mawayo ya wanachadema si ya watz wote. watz tusipotoshwe na watu wenye mawazo finyu kama huyu deus...cdm wanajifanya mawazo yao ndio ya watz, si kweli tuungane kuwapinda vikali kwan wanataka kuingiza...
  9. M

    Takukuru...

    Wana jf, nauliza kama kuna mtu mwenye info zozote za takukuru, mchakato wa kurecruit huwa wanatangaza, mwaka huu wanaanza kurecruit lini? naomba kuwasilisha.
  10. M

    Nafazi za kufundisha Dar es salaam

    contact nimetoa ndugu yangu, watu wengi wamekuja na wengine bado wanapiga. so can join them.0714025882
  11. M

    Nafazi za kufundisha Dar es salaam

    mwaweza 2mia no hii kunipigia..0714025882
  12. M

    Nafazi za kufundisha Dar es salaam

    i wil cal u...wafundisha wch subjects?
  13. M

    Nafazi za kufundisha Dar es salaam

    uwe na uwezo wa kufundisha advace na o'level....changamkieni nafasi hyo wakuu...eneo liko poa xana...nahitaji watu ambao wanaji2ma...
  14. M

    Nafazi za kufundisha Dar es salaam

    Wana jf niaje...napenda kuwatangazia wale wenye uwezo wa hali ya juu kufundisha masomo ya history, english and mathematics...nina center yangu pale banana ukonga ina madarasa 6 mnaweza kuja pale...karibuni xana wakuu 2we wajasiliamali. naomba kutoa hoja..
  15. M

    UDSM: Rais Kikwete atunukiwa PhD ya heshima katika sheria

    Acha uvivu wa kufikiri ww dogo, ukitukana mlimani unatugusa wengi au kw kuw hukupata nafasi ya kusoma pale? phd ya kikwete inakuhusu nn anak
  16. M

    Matokeo ya Igunga toka kwa NAPE: CCM Yaibuka Kidedea...

    Pamoja na tambo, kelele, uongo mwingi wa wilbroad slaa na baadhi ya wanachama wa kampuni ya chadema leo wameangukia pua huko igunga baada ya wana igunga zaid ya elfu 26 dhidi ya 22 mapipo'z kukishindisho ccm kw ushndi wa kimbunga...chakushangaza ni kwamba wale wachaga wacheche wanaojifanya cdm...
Back
Top Bottom