Search results

  1. Pyaar

    Kiswahili fasaha kinatoweka

    Nafikiri alitaka kufupisha, badala yake angetakiwa kuandika hivi: Mjombayo = Mjomba yako Mjomba -ye= Mjomba yake Mama - ye=Mama yake
  2. Pyaar

    Nimetumiwa mzigo kutoka Uingereza kuja Afrika Mashariki

    Kuna dogo nimemkuta jana kainamia desk top anachat na hao matapeli, uzuri akaongea kabla hajaulizwa kwamba kuna rafiki yake anachat nae kamtumia mzigo, wamekosa ndege ya moja kwa moja Dsm hivyo wameushushia Jomo Kenyatta Airport😁😁 Nikamuuliza kama anafahamiana nae kwa sura, akadai ni rafiki...
  3. Pyaar

    Ushauri wakuu kozi ya kusoma mtoto ambaye hakufaulu kidato cha nne

    Hiyo fani ni nzuri, inampatia fursa ya kujiajiri mwenyewe pasipo mtaji mkubwa ( Mtaji wake ni ofisi na vitendea kazi baadhi). Akiwa fundi mzuri na akajulikana ni biashara nzuri sana kwa maeneo yote, mjini na vijijini, ushuani na uswahilini.
  4. Pyaar

    Hukumu ya kesi ya ndoa inakaribia kusomwa, anataka tugawane mali wakati alinikuta nimesimama. Sitaki hilo litokee, nachanganyikiwa

    Pole sana mkuu. Vitu vinatafutwa, kubaliana na hali. Ruhusu apate haki yake nawe upate haki yako. Using’ang’ane sana mkuu, huwezi kujua aliwazalo mwenzio. Kuanza upya ni kazi lakini ni kheri kuliko kuingia kwenye migogoro ambayo inaweza kupelekea kutangulizana Akhera. Mwenyezi Mungu...
  5. Pyaar

    Askari mstaafu Polisi Saba Sita baada ya kuchimba kaburi sasa anunua jeneza

    Anajichagulia mapema kinachomfaa, anachoona kinamstahili.
  6. Pyaar

    HR, Waajiri walalamika wahitimu ni weupe vichwani

    Mazingira ya kazi yamemdumaza, amecope kwa aliowakuta. Naye amekuwa wa bora liende.
  7. Pyaar

    DOKEZO Mahakama yavunja ndoa ya Davis Mosha na mkewe aliyeishi naye miaka 28, anyimwa mali. Mosha adai kuibiwa $ milioni 1.4 na jaribio la kupewa sumu

    😁😁😁 Mwandishi anasema miaka 28 ya ndoa lakini bandiko lake linaonesha ni miaka 25 ya ndoa. Nimeishia tu hapo kwenye “Sio ving’aavyo vyote ni dhahabu” (Kwamba Shetani akaingilia kati, kuna muda Shetani tunampa lawama tu).
  8. Pyaar

    Mungu ni mwema kaniokoa na Kifo japo nipo kitandani hospitalini muda huu

    Pole sana mkuu, Mwenyezi Mungu akuponye[emoji1431].
  9. Pyaar

    Kitambi, kiribatumbo na kunenepeana mashavu ni magonjwa ya kisasa?

    Mkuu, kwani stroke inasababishwa na nini?
  10. Pyaar

    Nimekuta taulo ya hedhi ya mke wangu iliyotumika imehifadhiwa kabatini, ina maana gani

    Wala hakuna cha kutilia shaka, mambo ya usafi tu yamempita kando. Nunueni dustbin awe anatupia humo kabla ya kuzichoma. Ama la alizihifadhi akiwa nje ya nyumbani kasahau kutoa. Ongea nae.
  11. Pyaar

    Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Hujaelewa swali langu. Mkuu, mimi sio mtaalamu wa aquaculture ndio maana nimeleta hapa kupata uelewa, lakini hata hivyo swali langu ni, je, hicho chakula chenye mlengo wa kubadili jinsi ya samaki hakiwezi kuwaathiri samaki wa asili? Jike [emoji3591]dume, na kupunguza mazalia asilia ya samaki...
  12. Pyaar

    Chanika panahitaji watu mashuhuri uswahili upungue

    Anapoishi Mpango hakuna hekaheka, Anapoishi Ajibu heka heka zipo za kutosha, sema kwa maeneo kama hayo jali ustaarabu wako. Unakuwa wa kuingia na kutoka.
  13. Pyaar

    Kansa ya matiti inammaliza mke wangu nikiwa nashuhudia, sina la kufanya. Sijui kama naweza kusahau hili

    Pole sana mkuu[emoji24][emoji22] Mwenyezi Mungu akawe mfariji kwako na kwa familia katika kipindi hiki kigumu mnachokipitia. [emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431][emoji1431]
  14. Pyaar

    Je, teknolojia katika ufugaji wa samaki inaweza kuleta athari?

    Asante mkuu, lakini maana yangu ya kuiterm kama uvuvi haramu, ni pale mazingira ya samaki asilia pamoja na mazalia yake namna yanavyoathiriwa.
Back
Top Bottom