Search results

  1. Lyetu

    Je tamaduni za wamasai na wahadzabe ziko juu ya sheria?

    Mama wa watoto kadhaa anahukumiwa zaidi ya miaka 20 kwa kukutwa na nyamapori kilomoja, ila kuna kundi la watu linafanya uwindaji haramu kwa kuua mamia ya wanyamapori kwa kisingizio cha tamaduni. Ufugaji wa ng'ombe wa kienyeji umekuwa kama uharifu nchini kwa asilimia kubwa ya wafugaji, mifugo...
  2. Lyetu

    Customer Care Tanzania na saa 24

    Habari za usiku wapendwa katika Bwana. Nijikite moja kwa moja kwenye mjadala hususan ni kwa kampuni zinazotoa huduma za kifedha. Tunashukuru tunapata huduma za kifedha masaa24, unaweza kutuma fedha, kutoa, kufanya manunuzi n.k ILA 1. Licha ya huduma hii muhimu kupatikana masaa24 ila msaada...
  3. Lyetu

    Kwahii kauli ya Rais Samia, Je Hayati Magufuli ndiye aliamua kufuta mikutano ya kisiasa kwa utashi wake au ni CCM?

    "Wakati nasema tufungue mikutano ya hadhara kwenye chama changu kulikuwa kugumu kidogo, mjadala ulikuwa mkubwa kama mnavyofanya nyie, najua juzi Mbowe alikuwa na mjadala mkubwa kwanini mmemuita Rais kwenye hili jukwaa, kwa hiyo mwenyekiti wale wahafidhina wapo kwangu wapo kwako,” ameeleza Rais...
  4. Lyetu

    Tujadiri kuhusu wakazi wa Mwanza wanaoishi milimani kuhamishwa

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Nimeona ni vyema hili suala tukalijadili ili tuone kama linamanufaa au hapana. Mimi nimekulia Igogo ambapo ni moja ya sehemu iliyotajwa wakazi wake watapaswa kupisha uwekezaji, hadi hivi sasa wazazi wangu wanaishi Igogo, Igogo napajua vyema. 98% ya...
  5. Lyetu

    Ni zipi faida za kutoa mahari?

    Habari za jioni wapendwa katika bwana. Jamii nyingi za Kiafrika wanao utaratibu wa mwanaume kutoa mahari ili aweze kumuoa binti. Baadhi ya watu husema mahari ni kama shukurani kwa wazazi wa mke, je hawa wazazi wamume ambao wamezaa kichwa cha familia mbona hawapewi shukurani? Naomba...
  6. Lyetu

    Kama umewahi kutumia simu aina ya LG Velvet 5G G900UM maoni yako yanahitajika tafadhali

    Habari za mchana wapendwa katika bwana. Kwakuwa hii ni sehemu ambayo inatukutanisha watu wenye uzoefu wa vitu na mambo mbali mbali, basi namimi nakuja kwenu leo kuomba maoni kuhusu hii simu LG Velvet 5G G900UM. Kama umewahi kuitumia vipi kuhusu ubora wake haswa Speed, Kutunza Charge kwenye...
  7. Lyetu

    Kampeni dhidi ya Diamond Platnumz: Wanaharakati kuweni serious kidogo

    Habari za wakati huu wakuu. Naomba kuzungumza nanyi mnaojiita wanaharakati pamoja na wafuasi wenu. Hiki kinachoondelea huko mitandaoni sio tamko rasmi la Chama kuwa sasa wameamua kufanya vile, ila ukimya wa viongozi juu ya hili jambo unanambia kuwa chama kimebariki. Mi naomba mnifafanulie...
  8. Lyetu

    Msaada namna ya kufikisha malalamiko JWTZ

    Habari za usiku wapendwa katika bwana. Leo nimepatwa na ajali iliyosababishwa na dereva wa JW aliyekuwa akiendesha gari aina ya hiace ndogo ivi yenye namba 1834 maeneo ya Ofisi za jiji Mwanza. Nikiwa natokea maeneo ya maji haouse nikiendesha ki TVS changu, nilipofika yalipomataa pale maeneo ya...
  9. Lyetu

    Elimu haina mwisho

    Habari za weekend wapendwa katika bwana. Naomba nianze na historia yangu kiufupi ili uweze kunisaidia ushauri. Nina umli wa takribani miaka 24 kwa sasa. Miaka kadhaa iliyopita nilipohitimu darasa la saba na kupata ufaulu mzuri tu ila sikubahatika kuendelea na masomo ya sekondari kutokana na...
  10. Lyetu

    Natafuta Chumba Mwanza

    Habari zenu wakuu. Nijikite moja kwa moja kwenye mada. Ninatafuta chumba Mkoa wa mwanza wilaya Ilemela, gharama isizidi 50,000/=. Kwa yeyote ambaye anaweza kua na namba za dalali au kunisaidia kufanikisha jambo hili, karibu kwa msaada. Asanteni.
  11. Lyetu

    Tumekua wepesi kusahau

    Habari wana JF Naomba nielekee kwenye mada Watanzania tulivyo watu wa ajabu kesho ikitoka kiki ya Diamond kurudiana na Zari au Ziara ya kushtukiza kule kwa siku zote au jambo lolote lenye msisimko, basi tunasahau kabisa yaliyotokea kwenye hizi chaguzi. Bahati mbaya hata viongozi wetu...
Back
Top Bottom