Search results

  1. Profesa wa Maliasili

    Naomba kujua NMB Branch inayofanya kazi siku ya Jumapili kwa Dar es Salaam

    Wasalaam Wakuu, Nahitaji Jumapili hii nikabadilishe ATM Card yangu imezingua na nafasi niliyonayo ni Jumapili tu. Je, kuna tawi lolote la NMB inayofunguliwa Jumapili ninayoweza kupatia huduma hii? Natanguliza shukrani.
  2. Profesa wa Maliasili

    MSAADA: Kuhamishwa kituo cha kazi bila kulipwa stahiki zako za Uhamisho,natumia kifungu gani cha sheria kudai stahiki zangu?

    Nina miaka Tisa kazini toka nimeajiriwa serikalini,mwezi huu nimepata barua ya uhamisho kutoka Dodoma kuja Mwanza lakini barua yangu inasema uhamisho wangu hautagharamiwa na ofisi. Naomba kama yupo anayejua taratibu za namna ya kuandika barua ya aina hii ya madai au malalamiko kwa muajiri wangu...
  3. Profesa wa Maliasili

    Msaada: Nawezaje update iphone 7plus iweze support iOS 16 au 17

    Natumia iphone 7plus Kuna baadhi ya Apps kwenye simu yangu zimeanza kugoma kufanya kazi zikinihitaji ni update kwenda ios 16/17 version nimeingia sehemu ya ku update hamna option ya ios 16 wala iyo 17 Msaada wenu jf techs
  4. Profesa wa Maliasili

    Natafuta Mwalimu wa Compyuta kwa muda wa wiki moja kwa ajili ya matumizi ya Ofisi

    Kama somo inavyosomeka hapo juu wakuu, anahitajika mwalimu wa compyuta kufundisha namna ya kuandaa na kutuma taarifa za ofisi.
  5. Profesa wa Maliasili

    MSAADA: Natafuta Sehemu ya Mazoezi (Gym) Kinyerezi na Makumbusho

    Kichwa cha habari chahusika wakuu Nahitaji kufanya mazoezi ya Gym location iwe ni Kinyerezi na Makumbusho maana kwa siku tatu nakaa Makumbusho na Siku nne nakaa kingerezi Bajeti isizidi 100k kwa mwezi
  6. Profesa wa Maliasili

    MSAADA: Nimemtongoza Lecturer wangu amenikasirikia, namalizaje huu mchezo?

    Salaam wakuu, Niko mwaka wa pili chuo "X", huyu Lecturer ni mwanamke na pia ni Profesa. Amekuwa rafiki yangu kwa muda wa mwaka moja sasa, huwa nachat nae sana hadi zile sms za kimapenzi lakini sikuwahi kumuonesha hisia kuwa namtaka kimapenzi na mara nyingi huwa tunapeana hadi zawadi ndogondogo...
  7. Profesa wa Maliasili

    Natafuta Mafuta ya Belavista extreme oil ya kupaka kichwani kwa ajili ya kuotesha nywele kichwani.

    Niko Moshi nimejaribu kuzunguka maduka yote ya cosmetitcs mjini moshi lakini nimeyakosa...Naomba msaada tafadhali kwa mwenye uelewa yanapatikana wapi nipo tayari kufanyiwa delivery
  8. Profesa wa Maliasili

    Wapi Nitapata Nguo za aina hii?

    Nimejaribu kuzunguka maduka mengi nimekosa naombeni location wakuu...Nipo mwanza kwa sasa ila next week nitakuwa Dar
  9. Profesa wa Maliasili

    Msaada: Naomba msaada wa kupata Organization Structure ya Uganda Wildlife Authority

    Kama mada tajwa hapo juu inavojieleza, Ndugu zangu wa uganda naomba mwenye uelewa na Organization structure/chart ya Uganda Wildlife Authority anisaidie,Nimejaribu kuisearch google and other sites lakini sijaipata, Nitashukuru sana kama nitapata na strength na weakness za hiyo organization...
  10. Profesa wa Maliasili

    Biashara ya kununua korosho mwaka huu mnaionaje soko lake wadau.

    Baada ya mama kutuongezea chajuu kidogo kwenye salary nimeamua kujilipua benki nimevuta mkopo wa mulioni ishirini, milioni kumi nimefanyia finishing ya nyumba yangu ya kuishi na kumi zilizobaki nataka nifanye biashara ya kununua na kuuza korosho almaarufu kangomba. Naomba mwenye uelewa...
  11. Profesa wa Maliasili

    Mashine za kisasa kutoka Dubai za kutengeneza Furnitures zinahitajika

    Salaam wakuu, nahitaji kufungua kiwanda cha kutengeneza furnitures kama vile vitanda, milango, madawati, makabati n.k nimesikia Dubai zinapatikana kwa bei rahisi sana, mwenye connection anisaidie.
  12. Profesa wa Maliasili

    Dr.Mwinyi na Mke wa Seif

    Ubinadamu wa hali ya juu sana
  13. Profesa wa Maliasili

    Dr.Mwinyi na Mke wa Seif

    Ubinadamu wa hali ya juu sana
  14. Profesa wa Maliasili

    Msaada wa picha ya The Law of Karma

    Luna picha naitafuta wadau Maandishi yake inaanza na neno The law of karma baadae inafatia maneno ya This universal law state that every action has reaction baadae yanafuatia maneno flani nimeyasahau....Kwa mwenye Mayo hiyo picha naiomba tafadhali
  15. Profesa wa Maliasili

    Msaada kwa anayejua ilipo shule ya Msingi Mahundi, Wilayani Kibaha-Pwani

    Salaam kwenu wanajamvi...kuna mdogo wangu amepangiwa wilaya kibaha shule ya msingi MAHUNDI..napenda kujua umbali wake kutoka kibaha mjini na mazingira yake kiujumla.
  16. Profesa wa Maliasili

    Natafuta kazi kwa taaluma ya Uhifadhi wa wanyamapori

    Natafuta kazi yoyote itakayoendana na taaluma yangu au taaluma nyingine yoyote. Shukrani. Sent using Jamii Forums mobile app
  17. Profesa wa Maliasili

    Nipo Mwanza Nahitaji TV kampuni ya Sumsung au Lg Nchi 32".

    Wanajamvi nipo mwanza Nina bajeti ya laki nne nahitaji TV Kati ya hayo makampuni mawili kwa mwenye nayo anijulishe tafadhali tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  18. Profesa wa Maliasili

    Nahitaji TV Sumsung au Lg inch 32 iwe mpya bajeti yangu ni 350,000/=.

    Kama yupo mtu mwenye product hiyo wakuu aje tufanye biashara. Sent using Jamii Forums mobile app
  19. Profesa wa Maliasili

    HIACE SUPER ROOF INAHITAJIKA.

    Bajeti yangu ni million saba na nusu kwa mwenye nayo au aliye na taarifa kama ipo sehem unijulishe. Sent using Jamii Forums mobile app
  20. Profesa wa Maliasili

    SUMSUNG GRAND PRIME PLUS INAUZWA TSH.200,000 MWANZA.

    Nauza simu aina ya Sumsung Grand prime plus bei ni laki mbili (200,000/=), simu ipo katika hali nzuri na haina tatizo lolote nimeitumia kwa mda wa miezi saba, Naiuza baada ya kupewa simu nyingine kama zawadi na ofisi yangu. Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom