Search results

  1. S

    #COVID19 Mtazamo, Maoni, Ushauri na Mapendekezo kwa Serikali na Wananchi kuhusu Ugonjwa wa Corona - COVID-19

    Kwanza nitoe pongezi kwa serikali ya JMT kwa juhudi na hatua wanazochukua kwenye kukabiliana na ugonjwa huu wa Covid-19. Mchango wangu kwa leo utaangazia sekta ya elimu. Kutokana na kuwa wanafunzi walirudishwa nyumbani ikiwa ni hatua ya kuzuia au kupunguza maambukiki ya ugonjwa huu. Na...
  2. S

    Karibuni Open university of Tanzania

    je kuna degree ambazo hazijaorodheshwa kwenye website lakini unaweza kusoma?
  3. S

    Karibuni Open university of Tanzania

    mkuu nimeangalia kwenye website yao hakuna psychology kwa undergraduate
  4. S

    Naomba laptop moja kama aitumii

    bei gani mkuu?
  5. S

    UTAPELI WA FOREX: Francisco Magnetics adaiwa kuhama nchi, anadaiwa pesa nyingi. Polisi wamsaka!

    Kuna jamaa yangu jana kanunua Noah mpya, pesa kaipata kupitia currency trading.
  6. S

    Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    Ukitaka mgonjwa asipone mapema ni kumwambia kila mara kuwa yeye ni mgonjwa. Ni sawa na kutaka kumkwamua mnyonge kwa kumuita na kumuaminisha kuwa yeye ni mnyonge pale atakaposhindwa kujikwamua ni Dhahiri ataendelea kwa kuwa ataamini unyonge ndio uhalisi wake Ninaposema viongozi hawatakiwi watumie...
  7. S

    Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    kuukataa unyonge ni kutowapa mamlaka wanaotudhalilisha kwa kauli za kitumwa
  8. S

    Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    NB: Kuna msemo husemwa 'mnyonge mnyongeni haki yake mpeni' sasa mnyonge ukishamnyonga haki yake ataipata vipi wakati tayari ushamnyonga?
  9. S

    Kauli ya kuitwa 'wanyonge' ndio silaha hatari wanayoitumia viongozi ili wananchi wasitoke nje ya boksi

    Heri ya pasaka kwa wote waamini na wasioamini. Moja ya kauli ambayo inaendelea kumuweka mwananchi katika box la ujinga, utumwa, utegemezi na umasikini ni kauli ya kuitwa wanyonge. Mara nyingi tunawasikia viongozi wakijinasibu kuwa wao ni viongozi wa wanyonge, kiukweli huwa nashindwa kuelewa...
  10. S

    Tufungulie 'Baraba' lakini mwondoshe 'huyu'

    watu wanaposema pesa ni mbaya, ni wazi hawajui wanachokiongea
  11. S

    Tufungulie 'Baraba' lakini mwondoshe 'huyu'

    Sentensi hii huonesha asili ya mwanadamu ilivyo. Wengi tunang'ang'ania vitu vibaya, viovu na vyenye kuleta shida maishani mwetu huku tukivipotezea Vitu vyema, vizuri na vyenye kuleta ukombozi kwenye utumwa tulionao!
  12. S

    ONYO kwa wanaonunua simu humu

    Kuna 5c 230k
  13. S

    Nandy day

    Wabongo bhana sasa akili zenu zote zimehamia huko kwa Nandy!
  14. S

    Utafanyaje mkeo akikuletea dili la kubeba dawa za kulevya?

    Ningembebesha mimba ili apunguze ushauri wa kijinga
Back
Top Bottom