Search results

  1. WILLY GAMBA

    Katibu Mkuu Wizara ya Fedha, Dotto James: Hatukurupuki, miradi na fedha/mikopo Bunge linahusika kisheria

    Acheni bla bla bla, Ndege mlizo nunua ni Mali ya uma, toeni mahesabu yake myaweke wazi mana ni mali zetu watanzania sio zako na mjomba wako. Kwanini mna act as if you own us? Nyie ni watu mna tuona Sisi wajinga sana. Cheo ni dhamana- wekeni Mambo wazi msituchezee akili zetu
  2. WILLY GAMBA

    RC Makonda agoma kuzungumzia kughushi vyeti

    Vita ya madawa ya kulevya ipo kwa kamishana na pia ahusiki katika kuongoza kikosi Bashite hii ni sawa na kujamba mfululizo utanuka tu
  3. WILLY GAMBA

    Uchochezi: Wabunge wa Upinzani Wakijiuzulu Wote na Kuunganisha Nguvu...

    Kaka salaam Wewe Unachanganya sana mambo - kila siku ni sarakasi tu . Husimami sehemu moja tena inaonesha una mihemuko. Isinifikirie vibaya lakini kila siku new strategies daaa
  4. WILLY GAMBA

    Kwa Wanasiasa: Fursa ya Msamaha & Upendo

    Deo kuna dawa zinaitwa Clozaril au Clozapine tumia zitakusaidia sana, ila kama unasikia voices tumia Diazapen uta calm down eventually na kukiongoza chama chako. Trust me brother.
  5. WILLY GAMBA

    Chama cha Mapinduzi(CCM) wamtoa machozi Eric Shigongo, wamwambia kunywa maji

    What is your self awareness? motivations? You are motivated buy getting more money for your children regardless.. crying baby
  6. WILLY GAMBA

    Kuna nini kati ya Magufuli na Wasoviet?

    Ni habari njema sana kwa nchi, wa Rusi kwa sasa wapo juu katika vifaa vya kusaga vya kijeshi. Mfano wana defense system Inaitwa S- 400 ina uwezo wa kushambulia kitu chochote kuanzia size ya mpira wa miguu katika km 400, ndio mana mfano Turkey alivyo angusha ndege yao kesho yake walishusha pale...
  7. WILLY GAMBA

    Ukweli kuhusu vita ya Uganda 1979

    Hii vita Nimegundua ilikuwa ya matakwa ya wachache waliokuwa na self interest. Hata mimi nimeshangaa sana kuwa waganda wa makabila mengi ukiacha wa Acholi wale wapo kama wa Sudan wanamsifia sana General Amin kuwa kipindi chake kilikuwa na amani nchini kwao ambayo haijawahi kufikiwa na pia...
  8. WILLY GAMBA

    Hili la kutoa watumishi raia kwenye majeshi naona halijakaa poa!

    Nadhani JPM ana point, ni vizuri raia walipwe kwa consulation tu tena kama kampuni. Na ikifika hapo basi tulipe hata big security companies za duniani ku structure haya madudu. Mzani wangu ime elemea kwa jembe JPM
  9. WILLY GAMBA

    Loan Sharks ( Mikopo ya mitaani ya riba kubwa) Ni jipu kubwa sana

    Nimekuwa nikitafakari jinsi mikopo hii ya riba kubwa ilivyo shamiri katika jamii. watu wengi wamejikuta wanaingia katika mtego huu ambao kutoka sio rahisi. Licha ya kwamba mikopo hiyo halipiki sababu ya ujanja wa wakopeshaji (kuzima simu n.k) pia huikosesha serikali mapato in form of taxes...
  10. WILLY GAMBA

    Serikali: Kila Jumamosi ya Mwisho wa Mwezi itakuwa Siku ya kufanya Usafi nchini!

    Hahahaaaaa hii serikali sasa inatuona wote ni mabwira. Watanzania tunalipishwa kodi nyingi sana,haki ya nani mimi wanangu watasafisha maeneo ya nyumba yangu tu! kama wameshindwa ku provide essential services (Merits) tools na equipments kwenye serikali za mitaa na kuhakikishajMajiji yanapewa...
  11. WILLY GAMBA

    Wale Watumishi wa TRA Walioamriwa Kuhamishwa Mikoani Wamesimamishwa kazi LEO!

    Mkapa mwaka 1995 alisafisha customs akawaweka wakwake na TRA..alifukuza wafanyakazi wengi tu Ni lazima awapange wakwao atakao waamrisha
  12. WILLY GAMBA

    Wapi Seleman Msindi (Afande Sele)?

    Alikuwa makini sana huyu jamaa ukiacha tabia zake za kusasambua.Nini kilimfanya afuate plans za MM atajaza mwenyewe
  13. WILLY GAMBA

    Rais Kikwete anategemea kusafari kwenda New York

    Hivi ndege anayosafiria mkuu wa nchi ikapotea kama ile ndege MH370 sasa sisi kama taifa uchaguzi tutaendelea au inakuaje.
  14. WILLY GAMBA

    Magufuli kuwabana vigogo wa CCM

    Hahahaaa Piiiiipooooooz!
  15. WILLY GAMBA

    Nimepata picha, kwanini CCM ilimtosa Sumaye kwa miaka 10

    hippocratessocrates;13808045]Mkapa hakutajwa? Ukiangalia style aliyo itumia kwa mpeperusha bendera wa magamba ni tofauti ya Mzee Mkapa ambae taarifa ya matibabu yake yalijulikana kwa taifa lote. pia afya ya Mheshimiwa Jakaya inajulikana wazi alishawahi kuanguaka mbele ya kadamnasi na pia issue...
  16. WILLY GAMBA

    Nimepata picha, kwanini CCM ilimtosa Sumaye kwa miaka 10

    Nimetafakari sana sentensi ya Sumaye jana alipouliza Iwapo J Magufuli haumwi na kwamba wanafuata nini ulaya? Haya wenye busara naomba mnifungulie hiyo hekima iweje amtaje yeye tu?
  17. WILLY GAMBA

    Kitabu Kipya cha Mbunge Maarufu Aliyefukuzwa CHADEMA Hiki Hapa Live!!

    Mzee wa ma bebezz unge fanya seriealise kidogo kabla ya kuamua kununua mana buku kumi na tano ni ndefu
  18. WILLY GAMBA

    Asili ya Wasomali kuwadharau waafrika wenye asili ya kibantu

    Asilimia 90% ya vita duniani zinaletwa na tofauti kati ya madhehebu ya kiislamu yaani shia,Shiite ,sunni na nakadhalika.Kunabtifauti ya jinsi kitabu kinavyo tafsriwa na hao wanaofikiri wanajua. Angalia mauaji ya Iraq na Syria ni sababu ya waxhache wanaofikiri wao ndio waislamu zaidi.
  19. WILLY GAMBA

    CCM na Kinana

    Inatakiwa waelewe kwamba Kinana anatuhuma za ujangili wa tembo, imethibitishwa na vyombo vya kimataifa kuhusu kuhusika kwake, sasa iweje naye atatue migogoro ya ardhi? Wonder shall never end!
Back
Top Bottom