Search results

  1. MAMESHO

    Huduma Mbaya, Uarasimu na kupotea hovyo mtandao wa NHIF

    Nimekaa hosptali kuanzia asubuhi mpaka sasa hivi saa sita hapa. Dar Group. NHIF mtandao hausomi. Nimesikitika sana. Naumwa jino nina maumivu makali. Nimeshindwa kupatiwa huduma. Inaathiri muda wa kazi maana nimeomba ruhusa. Tafadhalini fanyeni maboresho hali hii sii njema Naambiwa...
  2. MAMESHO

    SoC03 Kutenganisha taka kutarahisisha urejelezaji na ushughulikiaji salama wa taka ili kuokoa mazingira

    Kutenganisha taka kutarahisisha urejelezaji na ushughulikiaji salama wa taka ili kuokoa mazingira Taka ni tatizo kubwa. kila mwaka kuna kiwango kikubwa cha taka kinaingia katika mazingira. Hali hii inaleta athari kubwa kwa viumbe pamoja na mimea duniani. Kwa mfano karatasi za nailoni...
  3. MAMESHO

    SoC03 Hukumu ya kifo ikifanyiwa mabadiliko na kutumika vizuri inaweza kuleta mabadiliko makubwa nchini

    Hukumu ya kifo kwa makosa makubwa yaweza kuleta mabadiliko makubwa nchini Najua umevutiwa na kichwa cha habari cha andiko hili. Najua Makala hii itapokelewa kwa hisia tofauti kutokana na maudhui itakayokuwa imeyabeba. Nikutahadharishe kabla huajendelea kuwa msingi wa Makala hii ni mawazo...
  4. MAMESHO

    Mambo muhimu ya kuzingatia wakati wa kupanga kiwango cha kodi

    MAMBO MUHIMU YA KUZINGATIA WAKATI WA KUPANGA KIWANGO CHA KODI Ndugu msomaji, karibu tujifunze kwa pamoja mambo ambayo ni muhimu kutazamwa wakati wa kupanga kodi kwa maana huwa zinaathiri maisha yetu ya kila siku. Ni dhahiri kuwa jambo la kodi linazungumzwa kwa namna nyingi, kugusa hisia...
  5. MAMESHO

    INAUZWA Subwoofer ya Gari. Steelmate. SW826

    Nauza subwoofer ya Gari. Imekuja na Gari. gari ina mziki mkubwa sana naiondoa. inakuja pamoja na waya wake wa kufungia Ina mziki mzuri sana. ukiwa na hii Huhitaji kujaza buti zima mamitungi kupata mziki mzuri. Bei ni sh 200,000/= Tuwasiliane piga/whatsapp 0713683422.
  6. MAMESHO

    Usalama wa michezo ya watoto

    Habari za leo wana Jf. Hakika ni ijumaa njema yenye baraka. Hivi karibuni nimefika eneo moja la michezo ya watoto hapa jijini. Awali lilikuwa limefungwa kwa ajili ya ukarabati kwa sasa wamefungua. Eneo hilo lilikuwa lina maeneo matatu. Eneo la kwanza unalipia kuna farasi magari na midoli...
  7. MAMESHO

    Weka pembeni Usemaji, Manara anajua namna gani ya kupandisha hadhi ya Brand

    Kongole kwa Yanga kuzindua jezi mpya nzuri na bora kabisa. Kongole Makolokolo kwa kuzindua App. Manara ni mtu muhimu sana. Walio muweka pale wana akili sana. Weka pembeni Usemaji, anajua namna gani ya kupandisha hadhi ya Brand. Ni hayo tu. Siku njema sana.
  8. MAMESHO

    Mlo wa tofauti. Hii itakusaidia

    Habari za leo ndugu wapendwa. Ni kwa muda sasa nimekuwa na mazoea ya kula vyakula kama jamii yetu ilivyozoea. Asubuhi chai na maandazi, mikate au chapati, mchana ugali, jioni wali na vitu vingine. Nimepata mtazamo tofauti ambao naona umenisaidia jana baada ya kuandaa mchanganyiko ufuatao...
  9. MAMESHO

    Dalili kuu kuwa "anataka tu pesa zako"

    Habari za leo wakuu. Kumekuwa na mtazamo wa muda mrefu kuwa wanaume wanapomtamani mwanamke wanalenga kupata penzi. Na wanawake wao wanalenga kupata fedha au mali. Hapa naweka dalili za wanawake wenye tabia za kukomba pesa za wanaume. 1. Huwa hawanunui kitu chochote. Mara zote mnapokutana hata...
  10. MAMESHO

    TAHADHARI: wimbi la wizi wa Mtandaoni kutumia simu

    habari za leo. Nawataarifu kuwa kuna wezi wanazunguka kwenye vituo mbalimbali wakidanganya watu kuwa wanawarekebishia vifurushi vilivyotajwa na Mh Raisi. Wana swap simcars kuchykua taarifa za akaunti za benki na za mitandao ya simu na kuiba fedha. na kama huna fedha wanakopa kutumia salary...
  11. MAMESHO

    Car4Sale Inauzwa pick-up double cabin Toyota Hilux JTD5 2.4 Diesel

    Pick-up double cabin White Imported from: great britain Manufactured: 2004 Manual 2kd D4d Current location : moshi Whatsapp /call 0713683422 Owner is a doctor Reason for selling: requires automatic same vehicle due to left leg injury Price: 28 million
  12. MAMESHO

    INAUZWA Vyuma vya turubai futi 20 kwa 20

    Habari za leo. Nina chuma za Turubai. Futi 20 kwa 20. Bei yake halisi ni 1.2M Bei ninayouza ni sh laki nane. Napatikana Pugu kona. -SOLD-
  13. MAMESHO

    Uzi wa vitu feki tulivyonunua. Tunataka wengine wasinunue. Tupia picha

    Habari wanajf. Nimeona nianzishe uzi huu ili kusaidia kuanika vitu feki. Karibu. Hivi karibuni nilinunua kimashine cha kukatia chips. Ni fake na hakifai
  14. MAMESHO

    Kwa nini baadhi ya Viwanda ni vya kufungasha na kusambaza ( repack) na hawazalishi moja kwa moja?

    Habari za leo wanaJf. Nilitaka kuwekeza kwenye moja ya viwanda vya kuzalisha bidhaa lakini nikashauriwa kuagiza bidhaa iliyokamilika kuifungasha na kuuza. Na nikajuzwa kuwa wafanyabiashara wengi ndio kitu wanafanya na inashangaza kwa biashara hata usizotegemea. Kwa mfano MO anaagiza biskuti...
  15. MAMESHO

    INAUZWA Mashine ya kutengeneza toothpick na vijiti vya kuchomea nyama zinauzwa

    Habari za leo. Mashine seti nzima ya kutengeneza vijiti vya meno (toothpick) na vya kuchomea nyama(skewers) inapatikana. Zimetumika kwa miezi michache. Zipo Bagamoyo karibu na shule ya Baobab. Ukinunua ukafunga wafanyakazi wako watapewa mafunzo kwa wiki moja. namna ya kuzitumia. Bei ni mil...
  16. MAMESHO

    Nini cha kufanya unapogundua unatumika kwenye uhusiano?

    Habari za leo. Awali niliwahi kuandika uzi kuelezea dalili zinazojitokeza ili kujua kama unatumika kwenye uhusiano. Baada ya kukaa na kuangalia uhusiano ulionao, na kuona zile dalili unaweza kujua kuwa ni eneo gani umeathirika zaidi. Yapo mahusiano yanaweza kuathiri akili yako, yako yanaweza...
  17. MAMESHO

    Ifahamu maana ya neno neno lofa

    Habari za leo. Lofa sio tusi ni neno la kiswahili ambalo lina maana mbili: = > Maana ya kwanza, ni mtu anayezurura asiye na kazi ya kufanya. = > Maana ya pili ni aina ya viatu ambavyo havina kamba. Watu wamekuwa na tabia ya kuchukulia maneno juujuu pasipo kuelewa maana yake na kuwa na dhana...
  18. MAMESHO

    Usiweke imani yako kwa mtu au kitu

    Habari wakuu. Natumai mu wazima wa afya na bado mnachukua tahadhari za COVID 19. Pengine kichwa cha habari kimekuvuta upite hapa. Karibu sana. Kati ya vitu ambavyo vimenisaidia kukomboa fikra moja wapo ni hiki ninachokueleza leo. Umewahi kuwaamini watu ukawapa dhamana ya jambo fulani na hata...
  19. MAMESHO

    Kukataa hisia za mtu au za kwako mwenyewe

    Kuna wakati ambapo unakataa hisia za mtu kwa sababu hujavaa viatu vyake. Hii inasababisha azidi kuchanganyikiwa zaidi hata kama ana akili njema. Wakati mwingine unaweza kujifanyia jambo hilo mwenyewe. Yaani wewe kukataa hisia zako mwenyewe Jambo hili linachukuliwa kama kawaida lakini sio lenye...
  20. MAMESHO

    Unawezaje kujua kama unatumika kwenye uhusiano? Hizi hapa dalili

    Hapa kutumika namaanisha kuwa kwenye uhusiano kwa sababu fulani ambapo unaona ni kama mtego ambao huwezi kujinasua na unahisi kuna jambo ambalo haliko sawa lakini unaona bora liende na siku zisogee. Hali hii inaweka akili yako kutokuwa sawa na pia unaathirika kisaikolojia. Hizi hapa ni baadhi ya...
Back
Top Bottom