Search results

  1. A teller

    Rasmi: I want to Say Good bye to All JF people

    Najua utakua unatumia Ile ID yako nyingine 😁
  2. A teller

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Thanks mkuu, ngoja nipambanie 🤝
  3. A teller

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Yeah, hata Mimi walinikataa namna hiyo
  4. A teller

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Nafanya matatu B3, B4 na B6
  5. A teller

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    Mkuu ulifanikiwa kuunganishwa
  6. A teller

    Wanaotaka kuanza kusoma CPA, karibuni tushauriane

    B3 auditing 🤔 sijagusa kivile , nimejawa na hofu , na nipo mkoa ambao hakuna center, ni najisomea tu na kazi za ofisini kama zote so mda unakua mdogo
  7. A teller

    Pasaka unailia kiwanja gani?

    Najua utakuja Christmas, utanichek
  8. A teller

    Pasaka unailia kiwanja gani?

    Himo restaurant, pembeni na crystal park
  9. A teller

    Pasaka unailia kiwanja gani?

    Nipo Himo ,songea hapa
  10. A teller

    Najiuliza, sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda?

    Kama NI hivyo asingepewa jiji.. angepewa hata mkoa wa simiyu, katavi au rukwa huko.. Kule yupo kimkakati kazi ikiisha anapandishwa, anaweza kuwa hata katibu kiongozi wa kizimkazi
  11. A teller

    Najiuliza, sijui Samia nae aliiona ile picha ya Lema aliyogoma kumpa mkono Makonda?

    Kama NI kweli uteuzi umefanyika kimkakati either kumkomoa Lema au kudhoofisha chama cha chadema basi mama atakua ametukosea Sana wananchi. Sawa , uzuri wote Wana nguvu, mmoja mdomo ni mwingi mwingine vitendo vingi Wanasema mmoja ni Mwizi WA magari mwingine Mwizi WA nyumba!! Lema usiwe mnyonge!!!
  12. A teller

    Wanawake wanajisababishia wenyewe kutokuolewa

    Bila Shaka imekukuta hii Umeongea Kwa uchungu Sana
  13. A teller

    Nahitaji msaada wa kisheria ndugu zangu

    Hakuna diwani ambaye si mchawi, NI wachawi balaa✅
  14. A teller

    Ulishawahi kujilaumu kwa kufanya starehe ya muda mfupi yenye madhara makubwa kwako?

    😂😂😂😂😂😂😂🤣🤣🤣🤣🤣🤣 Dah, mkuu umetisha sana
  15. A teller

    Gamondi anafanya sana makosa kumtumia Pacome ilihali ni majeruhi

    Wewe ni daktari WA yanga??
  16. A teller

    Kauli ya CDF mstaafu kuhusu waliotaka kupindisha katiba ili Rais Samia asiapishwe inanipa picha halisi ya kwanini Bashiru na wenzake walitenguliwa

    Mkuu naomba karudie interview ya ex mkuu wa majeshi,ina maana hakuna hata mmoja aliyekuwa karibu Naye siku za mwisho za umauti wake??? Hata makamu?? Hata pm majaliwa??? Kwanini magufuli alimtumia mabeyo??? Angali viongozi wake wa juu wapo??? Magu alimuamini Sana mabeyo, alijiona yupo salama...
Back
Top Bottom