Search results

  1. Kwetu Iringa

    Msaada: Activation ya Office 2013

    Nime-download TRIAL Microsoft Office 2013 Professional Plus bit 32, na nime-install successfully. Nataka kui-activate. Nime-install Microsoft Toolkit, lakini bado inasema UNLICENSED PRODUCT. Msaada: Nifanyeje wanaJF??
  2. Kwetu Iringa

    Natafuta mashine za kutengeneza crisps na popcorn

    Hodi wanaJF! Natafuta mashine za kutengeneza CRISPS na POPCORN. Nipo Dar. Najua MABUMBE alitangaza humu kuwa anauza popcorn machines. Nimejaribu kuwasiliana naye lkn amekuwa unresponsive licha ya mm kumpa contacts zangu. Nisaidieni jamani
  3. Kwetu Iringa

    Jihadhari na Airtel Money!!

    Hodi wanaJF!! Pamoja na kujitangaza sana kuwa wanasafirisha pesa bila malipo, system nzima ya airtel money haijatulia. Ukiitumia, it is at your own risk! Kama huamini, ijaribu ikiwa pamoja na kununua umeme. Source: Rafiki yangu anayefanya kazi Airtel Money
  4. Kwetu Iringa

    Polisi waliojeruhiwa wakati wa mauaji ya Mwangosi

    Kuna polisi mmoja alijeruhiwa mguu wakati Mwangosi anauawa. Ni yule aliyemkumbatia Mwangosi kabla hajauawa na bereti nyeusi. Mbona polisi wenzake hawamzungumzii? Na inaelekea aliumia sana, huenda mguu ulivunjika. Anaitwa nani na kalazwa wapi? Inawezekana kapelekwa MOI anonymously. Na...
  5. Kwetu Iringa

    Hivi Mwakyembe ana power kuliko Pinda?

    Wana JF, nimekuwa katika mawazo mazito sana toka Dr. Mwakyembe aanze kushughulikia sakata la ATCL. Hili jambo limejadiliwa sana hapa jamvini. Wengine wakisema Mwakyembe kakosea wakati wengine waki-support. Hoja yangu iko tofauti na hili. Siko upande wowote wa mjadala huu. Mara nyingi sana...
  6. Kwetu Iringa

    NSAIDIENI WANAJF NIIFUNGUE (UNLOCK) SAMSUNG GALAXY Gio ..............

    Dear Friends in JF, I badly need your help!! I know JF is full of great thinkers. Mtu kaniletea simu SAMSUNG GALAXY Gio GT S5660M toka Canada. Ni GSM Kwa bahati mbaya hii simu iko locked ili itumike huko Canada kwenye network ya Bell tu! Sasa naomba msaada wa ku-unlock network...
  7. Kwetu Iringa

    HELP NEEDED URGENTLY!!! Samsung ................

    Dear Friends in JF, I badly need your help!! I know JF is full of great thinkers. Mtu kaniletea simu SAMSUNG GALAXY Gio GT S5660M toka Canada. Kwa bahati mbaya hii simu iko locked ili itumike huko Canada kwenye network ya Bell tu!Sasa naomba msaada wa ku-unlock network. Tafadhali sana...
  8. Kwetu Iringa

    Msaada: Samsung i9010

    WanaJF, nimenunua leo simu hii kwa machinga, brand new. Tatizo hakuwa na Manual. Alikuwa na charger na earphones tu. Sijawahi kutumia smartphones before. Nimeshindwa kupata Manual yake kwenye web. Tafadhali mwenye msaada anipe soft copy ya hii manual. Natanguliza ahsante.
  9. Kwetu Iringa

    JK yu wapi?? Habari za kutatanisha!!

    Wengine wanasema yu bado Brazil. Wengine wanasema yu Malawi. Wengine wanasema ..........................!!!! Nijuze tafadhalini
  10. Kwetu Iringa

    An Australian goat compared to the Somali one!!!

    See attachment
  11. Kwetu Iringa

    Mamby Fweza hayo!!!

    Mtu mmoja alimwomba Padri amfanyie misa ya maziko ya mbwa wake. Padri akasema hawafanyi misa za namna hiyo, jaribu kwingine. Jamaa: Je, wapi wanafanya hizo misa maana nina sh. million 1 ya sadaka. Padri akadakia "wewe hukusema kama mbwa wako alikuwa mkristo! Nitamfanyia tu, hamna shida!!
  12. Kwetu Iringa

    Raza's Letter to Bill Gates

    Microsoft's Bill Gates had decided to invest substantially in Zanzibar Island after Bangalore & Hyderabad, but later decided not to invest in Zanzibar after receiving a letter from Mr Raza. To : Bill Gates, Microsoft From :Raza of Zanzibar Island Date : 1 January 2012 Subject : Problems with...
  13. Kwetu Iringa

    A Prayer to Change Sex!

    Aman was sick and tired of going to work every day while his wife stayed home. He wanted her to see what he went through so he prayed: 'Dear Lord: I go to work every day and put in 8 hours while my wife merely stays at home. I want her to know what I go through. So, please allow her body...
  14. Kwetu Iringa

    Hivi kwa nini wafanyakazi wa afya wanadharauliwa kiasi hiki?

    Ni mgomo gani ambao utaathiri sana wananchi wa kawaida (wale ambao hawawezi kupelekwa India kwa matibabu) baada ya kutotimiziwa stahili zao kama haawa wafuatao? Marubani Wabunge mawaziri wafanyabiashara madereva wafanyakazi wa afya mashushushu (walinzi wa ccm na watawala) polisi wanajeshi n.k...
  15. Kwetu Iringa

    Msaada tafadhalini

    Tafadhali naomba mnijuze jinsi ya ku-upload video/picha ili iambatane na post/thread!! Natanguliza shukrani zangu wanaJF
  16. Kwetu Iringa

    Ati wahadhiri wa UDOM wanapanga kugoma tena??

    Leo asubuhi wakati wa kupitia magezeti ya leo na RFA nimesikia kwenye gazeti la Mtanzania kuwa wahadhiri wa UDOM wanapanga kugoma tena baada ya kikao chao cha jana. Watangazaji hawakuongea zaidi. Je ni kweli?? Na sababu ni ipi?? Tafadhali tujuzeni tulio mbali
  17. Kwetu Iringa

    Natafuta rafiki wa kike

    Niko Dodoma. Niko serious. Awe anaishi Dodoma pia. Ni-PM
  18. Kwetu Iringa

    Kweli serkali ya CCM imekosa mafanikio ya kujivunia?

    :frown:Jamani leo saa 8.55 nimesikia tangazo kwenye radio ya TBC likisema kuenea kwa mobile phones ni moja ya mafanikio ya serkali ya ccm ktk miaka 50 ya uhuru!! Je hii ni kweli??? Naomba tulijadili. Mimi nasema si kweli kwa sababu haya ni maendeleo ya technolojia duniani kote. Serkali ya ccm...
  19. Kwetu Iringa

    Msaada toka kwa wenzetu mlio majuu

    Hamjambo wenzangu waTZ mlio majuu?? Naomba msaada wenu, tafadhali. Kama ume-subscribe kwenye Filesonic, Fileserve, etc naomba password tafadhali. Ku-subscribe ukiwa TZ ni ngumu kwa sababu ya ugumu wa kupata dollar. Fast downloading ni muhimu sana huku kwetu, hasa kama una-download kitabu...
  20. Kwetu Iringa

    Msaada wa Digital Camera

    Hodi wana JF!! Nimenunua digital camera aina ya Sony Cybershot. Kwa bahati mbaya nilianza kuitumia kabla sija-set date. Sasa nashindwa kuseti date. Kumbe nilitakiwa kuseti date kabla sijaanza kuitumia. Kwa hiyo picha zinakuwa na wrong date. Naomba msaada: Nifanyeje ili niweze kuseti date...
Back
Top Bottom