Search results

  1. wakatanta

    Kwanini January Makamba unakataa kutambua nguvu na juhudi za hayati Magufuli kwenye JNPP?

    Pia kuna muda wao kusaga meno, believe in me,muhimu wapewe maisha marefu
  2. wakatanta

    NHIF wanataka kutuua na dawa za bei chee

    Nchi ya vilaza, wanasiasa ni nuksi sana
  3. wakatanta

    Miaka 16 imepita haijajulikana nani alimmwagia tindikali Saed Kubenea

    Marekani pamoja na ubora wao kwenye issues za kiuchunguzi kupitia CIA na FBI mpaka leo hawajatoka hadharani kutuambia nani alimuua rais JF Kenerd, Endelea kujifunza
  4. wakatanta

    Waraka wa wazi kwako Mkuu wa mkoa wa Geita ndugu Martin Shighela na wasaidizi wako

    Geita inaingiza mapato mengi sana ila mji huo hasa kata ya kalangalala ni dampo tu,nilifika nikapigwa bumbuwazi
  5. wakatanta

    Je, ni kweli kuwa Rostam aligoma kumpa mkono wa Salamu Jakaya Kikwete?

    He made JAKAYA KIKWETE the fourth president (kingmaker)
  6. wakatanta

    Familia ya Lowassa kutomtaja Kikwete rafiki kipenzi wa Baba, je ni kukosa shukran?

    Familia imesema ukweli mtupu, KIKWETE ni mnafiki,hakuwa karibu na hayati Edward Lowassa,kama angekuwa karibu na hiyo familia wasingeacha kumtaja
  7. wakatanta

    Huu ukaaji kwenye msiba wa Lowassa umepangwa kwa kuzingatia nini?

    Msiba ni wa kiserikali chini ya jeshi,maziko ya Lowassa yapo chini ya JWTZ,hivyo hiyo protocol ya ukaaji iko sawa kabisa
  8. wakatanta

    Jamii yetu imegoma kustaarabika, mfano mzuri ni msiba wa Lowassa

    Wewe mleta uzi ni pipooozi pawa?
  9. wakatanta

    Mungu wa Mbinguni mrehemu Shujaa Magufuli, Mtambo namba 9 Bwawa la Nyerere umewashwa jana na namba 8 utawashwa March!

    Baada ya kufukuzwa kazi kwa vyeti vyako fake?,mkun.....du wako
  10. wakatanta

    Rostam Aziz: Lowassa hakuwa rafiki bali ni ndugu yangu tumeishi Nyumba moja kwa miaka 15, anapenda Maendeleo!

    Hakuonekana wakati ndugu yake anaagwa hapa daresalaam,imani yangu tutakuwa nae kesho hapa Monduli kumuhifadhi ndugu yake katika makazi yake ya milele.
  11. wakatanta

    Hayati Magufuli alitaka kukata "Chain" ya JK akaondoka Mama 2025 Ataweza?

    Mizizi ya wizi hapa ndio tunayozungumzia, wizi wa mali ya umma haukabaliki kwa tafsiri yoyote ile, ni wa kukemewa kwa nguvu zote
Back
Top Bottom