Search results

  1. ALAIMU

    Sipendi kuitwa wa "Mkoani".

    karibuni mkoani bagamoyo! manake huwa mnasema hakukaliki wachawi wengi. si wenyewe tushazoea hivo!
  2. ALAIMU

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    sikonge japo hapa udini hauna nafasi,lakini bado huyu jamaa ni mkatoliki kama kwa mtazamo wako wakatoliki ndio best scholars. na kwa historia yake ambition yake ilikuwa kuwa padri lkn pia tusimjadili mtu,hapa tunajadili ukilaza wake na namna alivyochemka
  3. ALAIMU

    Waziri Mulugo: Tanzania ilitokana na muungano wa visiwa vya Pemba na Zimbabwe

    Lukolo! nimeiona mkuu! yaani dah!nashindwa ninune au nikasirike. nimeishia kucheka sana yaani. nafahamu sana kwamba huyu jamaa ni kilaza sana. hata wakati wa uteuzi wake mwaka juzi,tunafaomfahamu tulishangaa sana . lakini kwenye yu tube hii ukilaza wake umepitiliza. sijataka kuendelea tena...
  4. ALAIMU

    Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    mkuu muktadha uliopo hapa ni vurugu za waislamu zinazoendelea nchini hivi sasa. Hakuna cdm,mec,ccm,epa wala kagoda hapa. Hayo yana mjadala wake. Hapa tunaangalia na kumkumbuka mkapa kwa namna alivyodili na kuwashughulikia waislamu uchwala wanaofanya vurugu hivi sasa hata kama hayo mengine...
  5. ALAIMU

    Benjamin Mkapa: Watanzania mtanikumbuka

    mkuu safi sana ,hoja nzuri sana tatizo la hawa waislamu,wengi wao badala ya kujenga hoja wanaishia tu kutukana kwa mfano,badala ya huyo jamaa kukaunta agyu hoja zako nzuri anaishia tu kutukana sasa hapo kuna elimu kweli. Viongozi waislamu tukianzia na marehemu omari juma hadi sasa shein ,vuai...
  6. ALAIMU

    Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

    marahaba sana!
  7. ALAIMU

    Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

    asante mdau mayenga. nimeelewa
  8. ALAIMU

    Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

    naomba msaada waungwana ,nikitaka kutuma new thread mimi binafsi nafanyeje? manake nina thread za kutosha ili sifahamu nianzie wapi. nimeishia kukoment za wengine
  9. ALAIMU

    Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

    dah! Ebana eeh. Umenikumbusha mbali kidogo mkuu. Mi sijasoma mpwapwa sek. Ispokuwa nimefundisha mpwapwa ttc na mpwapwa sek nimefundisha kama nusu mwaka hivi. Nilikuwa pale kama part time teacher nikifundisha jografia one,alipokuja mwalimu full mwajiliwa nikasimama. Ni bonge la chama lile,wakati...
  10. ALAIMU

    Kwa waliosoma Mpwapwa Sekondari tu

    dah! Ebana eeh. Umenikumbusha mbali kidogo mkuu. Mi sijasoma mpwapwa sek. Ispokuwa nimefundisha mpwapwa ttc na mpwapwa sek nimefundisha kama nusu mwaka hivi. Nilikuwa pale kama part time teacher nikifundisha jografia one,alipokuja mwalimu full mwajiliwa nikasimama. Ni bonge la chama lile,wakati...
  11. ALAIMU

    Kama Hukutumia Hii Kitu Wewe sio mjanja bado!

    katikati ya miaka ya 80 suruali za mchelemchele , mawingumawingu, na za michael jackson(zilikuwa na picha ya michael ya album ya BEAT IT). Pia viatu vya skuna. Tuliozaliwa bara wakati huo kuja dar ni kama kwenda mamton au south. tumetoka mbali aisee!
  12. ALAIMU

    Picture of today

    mi pia siioni,naona kama mnajifariji tu kusema mnaiona ilihali hakuna kitu. sioni picha yyte,ila nilikimbilia kweli kumuona huyo cute
Back
Top Bottom