Search results

  1. harakat

    Vijana wa taifa letu mnasikitisha. Saa 12:30 asubuhi Jumatatu nakutana na kijana duka la dawa ananunua kondomu

    Bro pole ninakazi za kuchomelea ndio nikaona Usiku nisilale kwa sababu ya mgao Wa umeme sasa asubuhi ndio naenda kulala. VP kwani unaumia sisi vijana tuwe Wa ajabu ninyi miaka 60 yote hamna Maji wala umeme hatujasema mizee ya ajabu tunawavumilia tu hivyo hivyo .tuheshimiane mzee
  2. harakat

    Kombe la dunia tuko live

    Hata wangerusha bure naona TAaaanesco wamekata umeme wao tayari
  3. harakat

    Kombe la dunia tuko live

    Kweli wamekata hapa
  4. harakat

    Maisha ya Somali ndani ya Tanzania

    Maisha ya Somali ndani ya Tanzania siku chache zilizopita tumeshuhudia matukio ambayo hayaeleweki kwamba ni Tanzania au Somalia ila nikapata majibu kwamba hayo ni maisha ya Somalia na tunaomba Mungu aepushe maisha ya namna ile kule Somalia wala sio huku Tanzania. Ni nini kinatokea hapa...
  5. harakat

    WHY MEN ARE CALLED "GROOM”, AND THE WOMAN “THE BRIDE” ON WEDDING DAY?..

    The only challenge to why this smart thread will miss participants is the use of this foreign language. Brother its good ,and l like it that why men takes burden in marriage they have to take control for everything.
  6. harakat

    KENYA: Mahakama yatengua matokeo ya Uchaguzi wa Rais. Kurudiwa upya ndani ya siku Sitini(60)

    Wenzetu wako mbali maana kitendo tuu cha kukubali uchaguzi wa Rais uweze kujadiliwa mahakamani inaonyesha ni jinsi gani utawala wa sheria unafuatwa . "Never stop learning because life never stop teaching"
  7. harakat

    Mfahamu Gen Noriega na operesheni Nifty Package ya wamarekani

    kiongozi shusha mzigo maana huyu mtu natamani kumjua sana nasikia nae alikua katili ila aliweza kuwa rafiki na hapo hapo adui wa marekani
  8. harakat

    Mfahamu Gen Noriega na operesheni Nifty Package ya wamarekani

    kiongozi endelea kutushushia vitu vya huyu jamaa maana nilikua namsikia tu kwamba ni katili . ingawaje I am the first to reply
  9. harakat

    Tajiri wa Mererani ahukumiwa vifungo viwili vya maisha kwa ubakaji, ulawiti

    Hatari sana kushindwa kuishi kwa kufuata Sheria za Nchi
  10. harakat

    Alcatraz: Gereza la kihistoria la 'watukufu' wa uhalifu

    Asante Mkuu duh niliona Gereza la namba hii kwenye Movie moja ya Jason Statham sijui inaitwaje ile
  11. harakat

    Zitto Kabwe anena haya kuhusu ESCROW

    Hili suala walilitendea haki Kafulila ,Zitto ,Deo na wengine nakumbuka hii ripoti ililindwa usiku kucha .
  12. harakat

    Feki 9932 ni kufeli kwa taasisi zetu za ajira?

    Mtaani ni kilio na Kusaga meno wengine wamechanganyikiwa. Hoja yako ni ya muhimu sana maana haya mazuri yanayofanyika bila taasisi imara yatakosa muendelezo
  13. harakat

    Kama uhakiki Wa wafanyakazi hewa na vyeti feki umeisha wafanyakazi wapewe stahiki zao

    Yaani kwa kweli mambo kama uhakiki unachukua muda mrefu kiasi hiki ni hatari maana kupanda madaraja ni haki ya mfanyakazi na pia stahiki nyingine zinazowahusu ni vizuri wakapewa kwa muda muafaka. Kuwacheleweshea ndio kunaleta mambo ya Arreas na madai yasiyolopika kwa serikali. Hii ni tatizo...
  14. harakat

    BBC yazungumzia silaha za Korea ya Kaskazini

    Tatizo la US ni kutengeneza masoko tu hapo na kuendeleza biashara zake. Ikimbukwe kwamba hiyo NK ni soko la silaha za Urrusi sasa ikichapwa tu na US kitskachofuata ni kubadili uongozi na mfumo . Hapo tunawaletea silaha za US ili waje kuwa Wateja wetu. Hii ndio inamfanya Russia anakataa maana...
  15. harakat

    MOSHI: Diwani wa CCM afikishwa mahakamani kwa tuhuma za kughushi vyeti

    Hii ni hatari yaani inahatarisha Usalama Wa hii Nchi kama kweli bashite ana vyeti vya kubumba na yupo anakula bata . Acha Muda utuhukumu kwa hili .
  16. harakat

    Tanzania's cheap railway may be of poor quality

    What our neighbor has said is just a precaution ,l don't see any way that Kenyans became jealous for what is happening in Tanzania. We have a very big trust for our President for what he is doing ,especially when its come to these party of infrastructure. If Kenyans have seen any problem...
  17. harakat

    Utapeli unaohusishwa na askari wa upelelezi..

    Pole sana duh huyu Jamaa yako ameibiwa kirahisi sana na naona hata hao Jamaa hawakupata shida kujichukulia fedha. Pole zake
  18. harakat

    Usalama wetu na Mali zetu kwanza

    Hatari ni pale ambapo mtu anatekwa anapotea kabisa halafu ukiangalia shughuli zake hazina maslahi wala hasara kwa taifa.
  19. harakat

    Jipatie nyumba ya million 19.5 Arusha field force

    Kama inavyojieleza hapo jipatie nyumba ya vyumba vitano IPO Arusha ,field force . Kiwanja chake ni 20 kwa 20 unaweza pitia Ngusero au Field force . Serious buyer PM
  20. harakat

    Wasomi, Msako Wa vyeti feki umeishia kolomije?

    Duh kweli inasikitisha sana hii yaani ingekua ni RAIA mwingine hii ishu ya vyeti ingemletea shida sana hapa sijui ni nini kinaendelea.
Back
Top Bottom