Search results

  1. Rohombaya

    Asali inatunzwa vipi

    Dah....chovya tango...utakuja kunishukuru hapa 🤣 🤣 🤣
  2. Rohombaya

    Asali inatunzwa vipi

    Dah....asali inaenda na tango..nimesikia tu...🤣 🤣🤣
  3. Rohombaya

    Asali inatunzwa vipi

    Dah....asali haijawahi kumuacha mtu salama....
  4. Rohombaya

    Asali inatunzwa vipi

    Dah....nyie mnalambaje kwani? Mnatumia kidole? Kijiko? Uma? Msijekuwa mnajichanganya...kuuliza si ujinga 🤣 🤣🤣
  5. Rohombaya

    Mjomba tutaua wangapi ndio turidhike?

    Dah...ndiyo huyohuyo...mjomba ni mama 🤣
  6. Rohombaya

    Gharama kiasi gani mtu ataingia akitaka kutumia umeme wa solar tu nyumbani kwake?

    Dah... kwa sera ya nchi yetu ukitaka kutumia umeme jua kwa kutaka kupunguza gharama utakuwa umefeli kwani gharama ya unit moja ya umeme ni kubwa kuliko ya Tanesco.... Tumia umeme jua kama tu unataka umeme wa kuaminika ...usiokatikakatika....au ukusaidie wakati Tanesco wamefanya yao..umeelewa au...
  7. Rohombaya

    Maisha yamenichapa haswa

    Dah.... tenga moja la nyanya ni elfu 60 pale mabibo.... na lina nyanya 600.... akigawa mafungu ya nyanya 4 atapata mafungu 150...akauza buku kila fungu atatengeneza laki na nusu...yaani faida ya elfu 90 kila tenga.....na kama akifanikiwa kuuza matenga yote 5 kwa siku hapo unaongelea faida ya...
  8. Rohombaya

    Maisha yamenichapa haswa

    Dah..... hiyo ndiyo changamoto ....na maisha bila changamoto hayana ladha...hutajifunza kitu .....
  9. Rohombaya

    Natafuta life partner wa kike

    Dah...hii inaweza kuwa sababu ya kuachana 🤣 🤣 🤣 🤣
  10. Rohombaya

    Natafuta life partner wa kike

    Dah....uliingia kifungoni ukiwa na 25yrs? ... shenzi zako 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
  11. Rohombaya

    Kuona Dada wa Kazi (house girl) mwenye degree ya Accounting pamoja na CPA inafundisha Uwekezaji wa kusomesha mtoto haupaswi kutumia gharama kubwa

    Dah.....bado nasisitiza ajira zipo nyingi sana....cha msingi soma fani unayoipenda hutokosa cha kufanya... full stop
  12. Rohombaya

    Happy Birthday to mie

    Dah....asante sana mrembo 🥰
  13. Rohombaya

    Happy Birthday to mie

    Mwaka mwingine tena...bado nachanja mbuga....bado mengi sijafanya na muda unaisha...dah.....happy birthday to me...najipenda sana ...
  14. Rohombaya

    Paul Makonda hapigi kazi yoyote. Anafanya usanii tu

    Dah....kifizikia...mara nyingi huwa ni zao la kani na umbali 🤣 🤣🤣
  15. Rohombaya

    Uteuzi wa Biteko ni Kumlinda January Makamba

    Dah.....yaani hata mgao wa umeme hadi utangaziwe? Mbona mnavimbiwa hadi mnakufuru?
  16. Rohombaya

    Huyu Mwafrika mwenzetu "anatisha", anaongea maneno mazito sana kuhusu ujinga wa Waafrika

    Dah.....mtamlaumu sana ....lakini msichokijua ni kwamba...hayuko huru....hawezi kujitegemea....mikono imefungwa.... :cool:
  17. Rohombaya

    Rais Samia unao muda wa kujisahihisha; Pokea maoni ya kuboresha mkataba au futa mkataba wa DP WORLD

    Dah......wakuu....twende mbele turudi nyuma....tumpe muda mama.....bado mapema sana 🤣 🤣 🤣 🤣 🤣
Back
Top Bottom