Search results

  1. 2

    Zitto vs Spika bungeni leo

    tuambie basi ulichosikiliza ma kauli iliyotolewa na makinda
  2. 2

    Hili nalo neno...!

    "nani aliyewambia mteue wagombea urais wenye sura mbaya" by mkapa......reply ya mrema sasa "wewe mkapa ingekuwa watu wanachagua sura basi usingekuwa rais 1995 coz mimi nini sura nzuri kukuzidi"
  3. 2

    Hili nalo neno...!

    "mtakula hata nyasi lakini ndege ya rais lazima inunuliwe"
  4. 2

    JK awashangaa viongozi CCM kupenda anasa

    na yeye ni miongoni mwao sasa anashangaa nini? aanze kujishangaa kwanza yeye
  5. 2

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    ukawa tofauti na uliopo? kwa hiyo ushahidi upo then chikawe anasema hakuna ushahidi..... jamani mbona tunatukanwa live kuwa sisi ni wajinga, mambumbu na
  6. 2

    Sumaye: Mafisadi lazima watoswe

    na lile la kilosa alilolitelekeza hadi wankijiji wakalichukua then akaenda kuwatoa vp ataliendeleza lini au ndio land grabing and holding technique? na je hiyo haimfanyi na yeye kuwa fisadi? au nyani haoni k......nd...le
  7. 2

    Diwani wa Chadema Tangazo la Fiesta

    kupingana na msimamo wa mtu au mbunge ni jambo la kawaida na haina shida kosa ni kwenda kinyume na msimamo wa chama au maamuzi ya chama.....kwani hata wewe hujawahi kikiuka msimamo wa baba yako au kamaa yako yoyote?
  8. 2

    Mh. Zitto vs Mh. Mbilinyi mmmh!

    yaani wewe na akili yako unakubali hearsay???????? nani kaanzisha upuuzi huu wa kijinga
  9. 2

    Mh. Zitto vs Mh. Mbilinyi mmmh!

    acha majungu wewe umeshakuwa mtu mzima....... tupe source ya taairfa yako... yaaani sugu aache bunge kisa kwenda kucheza mechi sokoine eti kuzuia fiesta??????
  10. 2

    Mbowe ndiye tatizo CHADEMA

    1. alitaka kuuzia wewe na nani? 2. vp alikutupa na wewe kama condom? 3. vp na wewe unataka kugombea huo urais? 4. hiyo ya kumeza wembe sound like mipasho, vp unimbia bend gani ya tarab? kakae na wambea wako mmeze nyembe vizuri
  11. 2

    Lissu Vs. Chikawe: Prosecute or Not to Prosecute Chenge in BAE Scandal

    bunge limekosa mvuto na limekuwa genge la wahuni na wavuta bangi
  12. 2

    Nape: Sikuwahi sema kuwa Mafisadi wataondolewa CCM baada ya siku 90

    lowasa ameshasema kuwa serikali ya awamu ya nne haiwezi kufanya maamuzi magumu so ni usanii tu
  13. 2

    CHADEMA kuchukua nchi ni baadae sana

    kumbe ni mfanoooooooooooooooo......tena rahisi...sasa we umeshindwa nini hapo kama ni mfano rahisi
  14. 2

    Linapotokea hili ufanye nini?

    labda zile phd za kupewa... tena na chuo ambacho tokea kianzishwe hakijawahi ktoa hata masters....
  15. 2

    Msaada kwenye tuta

    itabidi waanzishe na umoja wa waume wa maraisi just incase raisi ni mwanamke kama liberia
  16. 2

    Tatizo la umeme na hatma ya CCM

    we mwenye mpyaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa tunaomba utupatie tafadhari..
  17. 2

    Umeme, CCM....kipi ni janga la taifa?

    haya umepata so topic closed.
Back
Top Bottom