Search results

  1. kingazi

    Nahitaji mchumba wa kike

    mimi ni kijana mwenye umri wa miaka 28,ni mwenyeji wa Tanga ninafanya kazi ya kuajiriwa ninahitaji mchumba ambaye atakuja kuwa mke, sifa zake:_ i) umri miaka 20-30 ii)rangi yoyote isiwe artificial. iii)elimu isiwe chini ya f4 iv)awe hajazaa. v)anaeamini kama kama mungu yupo...
  2. kingazi

    umemsikia huyu chizi

    chizi mmoja alikuwa amekaa ufukukweni mwa bahari akiwaza ,jamaa mmoja akamuuliza unawaza nini?chizi akamjibu nawaza kama haya maji ya bahari yangekuwa supu sijui ningeinywa na chapati ngapi?
  3. kingazi

    Kiswanglish dictionary

    usivute mto wangu=don't smoke my river
  4. kingazi

    ameniomba nimsamehe

    mchunguze kwanza kama uhandsome wako ndiyo sababu yake kwani inawezekana kunajamaa alimdanganya mwishoe akamwaga sasa anataka umsamehe.
  5. kingazi

    kweli kifo noma

    kuna familia moja ilivamiwa na majambazi,kabla ya kuiba hayo majambazi yakapanga kuwaua wote, ila kabla ya kuwaua majambazi hayo yaliamua kuwauliza majina yao kwanza. Jambazi:we mwanamke unaitwa nani? Mwanamke:mimi naitwa elizabeth Jambazi:wewe umesalimika maana jina lako ni kama la mama...
  6. kingazi

    ¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤¤99%

    mume:hivi unauhakika mimi ndio mwanaume wa kwanza kulala na wewe.mke:ndio hao wengine waliotangulia ilikuwa ni shughuri tu hakuna kulala hadi asubuh.
  7. kingazi

    man n' wife

    A husband asked his wife, do you know the meaning of WIFE? It means that. W=without I=information F=fighting E=every time. Wife says no, it means W=with I=idiot F=for E=ever Who iz correct
  8. kingazi

    Msemo wa Leo....

    panya huishi kwenye nyumba yenye uhakika wa msosi.
  9. kingazi

    Dadangu anahitaji msaada, anaweza kujiua muda wowote!

    labda tumpeleke kwenye maombezi maana sangoma kachemsha.
  10. kingazi

    hakuna njia mbadala

    jaman kuna msichana m1 ninampenda sana, nilivyokutana nae kwa mara ya kwanza nilijua yeye ndiye atakuwa my wife tatizo siku ya kwanza kwenda kuchakachua niliyoyakuta huko noma unaambiwa kinu kina maji kibao nikitwanga maji yanaruka mpaka usoni, kumpenda nampenda ila mh! nikifikiria uwanjani...
  11. kingazi

    Ninamashaka nae.....

    mgosi achana nae huyo atakuua maana kama afya yake haijali wewe anawezaje kukujali.
  12. kingazi

    Hii nayo imekaa je?

    sasa just imagine ni mkeo kama usipotoka nje si utaishia kwenye masturbation.
  13. kingazi

    Mrembo nafasi iko

    fafanua mkuu unatafuta msichana wa kazi, wa kuoa au kuchakachua.
  14. kingazi

    Sijalielewa jibu lake!!!

    mie napita tu ila hivi kuna saluni za kunyoa nywele hizo.
  15. kingazi

    Methali, methali

    asiyesikia la mkuu ujue ni kiziwh
  16. kingazi

    kweli tunaibiwa

    jaman hawa wanawake wanatuibia kweli, kunajamaa alikua anafanya mpenzi na demu m1 basi yule mwanamke alivyokuwa analalamika ah , ah nakojoa basi yule jamaa akamtest kama kweli au anaibiwa basi jamaa nae akaanza kulalamika ah, ah nakunya basi mwanamke akakurupuka na kumuambia we akamka haraka...
  17. kingazi

    jamani angalieni wenetu

    jamani kuweni makini mnapotaka kufanya mambo nyakati za usiku kwani hawa wenetu wa siku hizi hatari, mimi nimepanga nyumba moja huku uswahili siku moja nikiwa nimejipumzisha ndani kwangu akaingia mtoto wa mpangaji mwezangu nilikaa nae kwa muda kisha nikamuona yule mtoto ananifungua zipi...
  18. kingazi

    kwanini?

    kwanini watani zangu wachaga wakicheza ngoma zao hushikana mikono yote.
  19. kingazi

    Utamu wa public car!!

    hapo lazima mnara wa network uwe full.
  20. kingazi

    Wasichana wenye elimu ya juu,ni matatizo.

    si wote wasumbufu hata hao magolikipa sometimez nao wanakimbiza waume zao mchakamchaka
Back
Top Bottom