Search results

  1. M

    Elections 2010 Nov 2015

    Je kama Mungu akikujalia uzima na afya tele Novemba 2015 atakapo apishwa raisi mpya utajisikiaje? Je uta huzunika JK kuondoka? Je utafurahia yoyote yule kuingia ikulu ilimradi tu JK anaondoka? Au je una matumaini mengine ambayo ungependa kuona yatumie? Binafsi mimi nitafurahi sana serikali mpya...
  2. M

    Taifa kwanza!

    Inauma na kusikitisha pale Watanzania tunapo jitenga katika makundi mbali mbali kwa kusudi la kufaidisha wachache badala ya kuendeleza taifa kwa pamoja. Kuna makundi mbali mbali yanatumia tofauti zetu za kichama, kidini na kikabila kuendeleza ajenda zao za siri. Wito wangu ni kwa Watanzania wote...
Back
Top Bottom