Search results

  1. T

    Msaada miguu inavimba

    Asante ngoja nianze sahivi kukaa
  2. T

    Msaada miguu inavimba

    Asante mpenz, nikae kwa mda gani
  3. T

    Msaada miguu inavimba

    Habari zenu? Naombeni ushauri nilikuwa naumwa na typhoid na vidonda vya tumbo kwa muda wa kama wiki 2 hivi na sasa hivi bado nipo kwenye dozi ila cha kushangaza toka Jana naona miguu inavimba na ninapata maumivu sasa nashindwa kuelewa tatizo ni nini au ni sindano niliyochomwa kipindi naumwa...
  4. T

    Naombeni msaada wenu

    Ndio nmerusiwa ila naona bado naharisha na kutapika
  5. T

    Naombeni msaada wenu

    Una maanisha nikawekewe tena drip
  6. T

    Naombeni msaada wenu

    Typhoid na vidonda vya tumbo
  7. T

    Naombeni msaada wenu

    Nashindwa kula ila najitahidi hvyohvyo nikiona tu chakula au nikiskia harufu natapika
  8. T

    Naombeni msaada wenu

    Habari zenu, mwenzenu na shida tarehe 1 juz niliamka asubui nikawa naskia maumivu ya tumbo ghafla nikaanza kuharisha nakutapika baada ya kwenda hospital wakanipima nikaambiwa na typhoid na vidonda vya tumbo wakanichoma sindano ya kuzuia kutapika na nikawekewa drip 3 za maji ila cha kushangaza...
  9. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Uvimbe uko upande wa kulia wa shingo una size ndogo kama harage Sent using Jamii Forums mobile app
  10. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Asante my ntafanya hvyo Sent using Jamii Forums mobile app
  11. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Nakumbuka mpaka natokewa na huu uvimbe nilikuwa na msongo Mkubwa wa mawazo sasa sijui kama mawazo yaliweza kuwa sababu mkuu Sent using Jamii Forums mobile app
  12. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Ilikuwa mwaka Jana mwezi wa 3 siku hiyo najishika shingoni nakutana na kiuvimbe kidogo sahizi ya harage ila hakiumi Mara moja moja sana hasa wakati wa usiku ndoninasikia kama shingon Nina maumivu ila siyo makali kivile ya kawaida cha kushangaza toka mwaka Jana mpaka Leo hakijaisha tayari kina...
  13. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Wamenipa vidonge 42 doz ya siku 14 wameniambia nimeze 1 mara 3 kwa siku. Kwahyo nikimaliza dozi na huu uvimbe utapotea? Sent using Jamii Forums mobile app
  14. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Asante Sent using Jamii Forums mobile app
  15. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Tatzo langu nina kiuvimbe tu shingoni sina tatzo lingine mbona Sent using Jamii Forums mobile app
  16. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Mm nilienda hospital nina kiuvimbe shingon sijui ndo tezi wakanipa hizi Dawa Sent using Jamii Forums mobile app
  17. T

    Msaada Dawa hii inatumika kutibu nini?

    Habari zenu wapendwa naomba msaada wenu kwa anayejua matumizi ya hii Dawa inatumika kutibu magonjwa gani, PREDNISOLONE Sent using Jamii Forums mobile app
  18. T

    Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

    Asante sana ntajaribu Sent using Jamii Forums mobile app
  19. T

    Kulala kitanda kimoja bila kufanya mapenzi kwa muda mrefu

    Nimembembeleza anaishia kuniambia kachoka kama Jana nmeandaa mazingira freshi nmevua nguo zote nmelala nimemkumbatia nimemfanyia kila utundu hataki ananitoa mkono anasema kachoka nikaendeleza utundu akawa mkali ananiambia we husikii utalia kwa kweli niliumia sana mpaka nikaenda kulala mzungu wa...
Back
Top Bottom