Search results

  1. SMART PASSENGER

    SIMBA vs YANGA watani wa jadi

    Update muhimu Sent using Jamii Forums mobile app
  2. SMART PASSENGER

    Tusisumbuane leo

    Sent using Jamii Forums mobile app Najua simba anapigwa japo inaniuma je zitakuwa ngapi izo
  3. SMART PASSENGER

    Chemsha bongo kidogo hapa

    Mimi ntakuwa refa Sent using Jamii Forums mobile app Finally nitatoa jibu na maelezo . usiigilizie majibu . ************************************ UPDATE Hili swali linapima umakini wa kuangalia vitu na maarifa kidogo ya hisabati tu Tom = 10 hicho kama kingedere Jery = 5 Huyo ka...
  4. SMART PASSENGER

    Tanzania hakuna mpira, tunapoteza muda tu

    Haiwezekani hata kombe dogo tu hili tunakosa Ivi mpira wa Tanzania mbona haubadiliki miaka yote Tunakwama wapi ? Nani ameturoga yaani wachezaji hawana ubunifu kabisa aise ..! Sent using Jamii Forums mobile app
  5. SMART PASSENGER

    Biashara ya kuuza chipsi mjini

    Naomba ushauri wenu wa kinaga ubaga nataka kuanzisha biashara hii ....! Je Biashara hii inalipa ? Zipi faida na hasara zake ? Na nyongeza nyingine nyingi karibuni katika jukwaa tena Nakaribisha
  6. SMART PASSENGER

    Picha fikirishi kuhusu korosho

    Tupia neno
  7. SMART PASSENGER

    Usikubali kuonewa na Askari yeyote yule

    Sababu zenyewe ni hizi hapa zitakazokufanya usionewe Askari akikuomba Rushwa mkamate mpeleke TAKUKURU - Kangi Lugola Waziri wa Mambo ya Ndani. - 1. Askari akikuweka chini ya ulinzi muulize kitambulisho ni haki yako. - 2. Askari akikukamata akuoneshe kitambulisho chenye muhuri wa mahakama...
  8. SMART PASSENGER

    Zijue sifa za hawa majamaa wanaojiita wazee wa mikeka

    1. Mara punde baada ya mkeka kuchanika unatamani uweke mwingine ili urudishe pesa yako 2. Baada ya kuliwa unasema naweka mkeka wa mwisho then nikiliwa naacha baada ya siku mbili tatu ukipata pesa ya ziada unatenga kiasi kidogo cha kubet 3.kudiliki kukopa pesa ilimradi ukabet 4.kufatilia sana...
  9. SMART PASSENGER

    Hii ni kwa ambaye hajawahi kabisa kufanya mapenzi

    Kama wewe ni mwanaume au mwanamke na hukuwahi kushiriki tendo la ndoa katika maisha yako mpaka ulipooa/kuolewa au miaka 25 tupe mbinu uliwezaje ..! Sent using Jamii Forums mobile app
Back
Top Bottom