Search results

  1. bachelor sugu

    Umiliki wa NGO Tanzania

    Habari za usiku watanzania wenzangu.. Naomba kuuliza hili jambo kwa wanaofahamu.. Nimekuwa na mpango muda mrefu wa kuanzisha NGO itakayojihusisha na nyanja fulani ya maisha ila nikawa nasuasua ila kwa sasa nimedhamiria kwa dhati.Ni hv miongoni mwa masharti ya uanzishaji wa Ngo lazima muwe...
  2. bachelor sugu

    Habari njema kwako Bachelor mwenzangu

    Habari za siku nyingi waungwana.. Ewe Bachelor mwenzangu unayehangaika kutafuta mke sehemu mbalimbali hadi huku mitandaoni bila mafanikio hii ni habari njema sana kwako......Fuatilia. Sio jambo la ajabu kwa mtu kukuunganisha na mwanamke ambaye anahisi ni chaguo linaloweza kukufaa kuwa mkeo...
  3. bachelor sugu

    Msaada Tutani wakuu

    Mambo ndugu zangu, Mwanachama mwenzenu ktk jukwaa letu pendwa nimeingia ugenini RUAHA-KILOMBERO nikiwa mgeni na sijawahi kufika hata siku moja sasa leo siku ya pili upweke unataka kunimaliza.Sasa kwa kuwa naamini hapa sio kisiwani nitapata msaada wa kampani Kampani kampani wajameni ila mi sio...
  4. bachelor sugu

    Faida inapatikanaje? Napataje Hela??

    Amani ya Mola iwe juu yenu wote. Wakuu mi naomba kuuliza swali tajwa haoo juu. Katika hii biashara ya kumiliki na kuendesha Website,Bloggu au App tuseme labda yenye maudhui yanayokubalika kwa mujibu sheria maswali yangu ni kama ifiatavyo: ---Napataje hela/faida kwa kuendesha vitu hivyo...
  5. bachelor sugu

    Gharama halisi ya Affidavit.

    Habari za usiku wadau, Jamani samahani naombeni kuuliza kwa wenye taarifa za sasa kuhusu gharama halali na halisi ya Affidavit kwa mtu asiye na cheti cha kuzaliwa maana kuna vijana wangu nimewaelekeza mahali flani waende kufuatilia Affidavit form nikifahamu ni gharama isiyozidi sh.3500 kama...
  6. bachelor sugu

    Kwa wakulima wa mazao ya mbogamboga (Bustani)

    Amani ya mola iwe juu yenu wote, Nimeamua kujikita katika uandaaji na utunzaji wa miche ya mazao mbalimbali ya mboga mboga maarufu kama kilimo cha bustani.Mfano wa mazao hayo ni kama vile; -Vitunguu -Nyanya chungu -Nyanya maji -Pilipili hoho -Pilipili washa(Nyekundu) -Pilipili washa(Za njano)...
  7. bachelor sugu

    Wale wenzangu wanaoota kuhama kambi tujadiliane kuhusu pa kuanzia.Je hapa pamekaaje???

    Countries You Can Travel to Without Visa From Tanzania African Countries 1. Botswana Visa is not required for a Tanzania passport holder for a maximum of 90 days. 2. Burundi This landlocked country in the African Great Lakes region of East Africa bordering Tanzania to its east and south...
  8. bachelor sugu

    Mabishano makali-Tunaomba msaada wa uamuzi

    Habari za usiku wakuu. Naamini mko salama na wale mlioko kwenye magumu Mola awatilie wepesi yapate kuwa mepesi kwenu InshaAllah. Jamani kuna ubishi nimeushikilia tangu jana but hatujaweza kupata jibu, Mm na jamaa yangu mmoja naye yumo humu Jf baada ya kufuturu tulitofautiana ktk michezo hii...
  9. bachelor sugu

    Nukuu(Quote) za oyo na ajabu katika Awamu ya Tano (2015-2020)

    Amani ya Mola iwe juu yenu wote. Kama ilivyo ada weekend ndo ishafika na gurudumu linaendelea kuzunguka. Karibuni ktk uzi huu mtupie Quotes(Nukuu) za hovyo na za ajabu ambazo mmezinukuu kutoka kwa viongozi mbalimbali wa awamu hii ya Tano toka ilipoingia madarakani. Binafsi naanza na hii...
  10. bachelor sugu

    Notes za Geography FORM 1 & 3 Zinahitajika

    Amani ya mola iwe juu yenu wote, Ni matumaini yangu kuwa wote tumeamka salama na kwa wale mnaokabiliwa na mitihani yoyote basi M/Mungu awafanyie wepesi mpate suluhisho la mitihani hiyo inshaAllah. Kama kichwa kinavyojeieleza nahitaji mwenye NOTES ZA GEOGRAPHY za kidato cha KWANZA NA CHA TATU...
  11. bachelor sugu

    Uonevu huu wa Jeshi la Polisi umevuka mipaka

    Habari za mchana Wakuu, Ama kwa kweli nchi yetu tumefilisika kila kitu yaani kuanzia viongozi,skills za uongozi,pesa,hadi roho za huruma nazo tumefilisika zaidi kwa hawa viongoz/watawala wetu. Kuna operation inayoendeshwa na jeshi la polisi hapa wilayani Kilosa ya kukamata pikipiki na pale...
  12. bachelor sugu

    Nawezaje kuficha Pesa katika Benki kwa kutumia majina tofauti?

    Amani iwe juu yenu wakuu. Naombeni kujuzwa kuhusu namna ambavyo ninaweza kuweka pesa zangu bank ambazo ni halali yangu yaani sio za magumashi ila nashindwa kujua nitawezaje kufungua akaunti kwa majina ambayo yataficha kufahamika kwangu. Nimekuwa nikisikia watu wameficha hela nje ya nchi but...
  13. bachelor sugu

    Naombeni msaada wa haraka wa kuelimishwa kuhusu HOMA YA MANJANO(Yellow Fever)

    Jambo Tanzania, Naombeni msaada wa haraka wa kuelimishwa kuhusu HOMA YA MANJANO(Yellow Fever) Wakuu ktk pitapita zangu kwenye taasisi moja ya kutoa elimu(Shule)Nimekutana na mtoto mmoja ambaye ana dalili zifuatazo: =Macho yake ni ya njano =Pia kucha zake nazo zinaelekea kuwa na rangi ya...
  14. bachelor sugu

    MATUSI: Silaha kimbilio ya wavivu wa kufikiri na wasiojiamini

    Habari za siku wakuu. Ni weekend nyingine tena iliyotulivu na yenye nuru. Nikienda kwenye mada,ni kuwa kumekuwa na baadhi ya members ambao kiukweli kila usomapo thread zao huwezi kukosa post yenye matusi ambayo either huwajibu wachangiaji wanaochangia thread yake au ambayo huchangia yeye...
  15. bachelor sugu

    Uzi maalumu wa Mimea na Magonjwa inayotibu.

    Amani ya mola daima iwe juu yenu wakuu. Nikienda moja kwa moja kwenye mada ningewaomba tuelimishane na kupeana ushuhuda juu ya mimea mbalimbali(Ya asili ama ya kupandwa) na magonjwa mbalimbali inayoyatibu. Itapendeza zaidi kama mtu ataleta mimea ambayo ameshaitumia na kutupa ushuhuda namna...
  16. bachelor sugu

    Makete mbabe wa baridi Tanzania nzima

    A,alleykum Wadau katika maeneo yoote nilikwisha kutembelea katika nchi hii,nimejiridhisha kuwa wilaya ya MAKETE iliyoko mkoani Njombe ndio sehemu yenye baridi zaidi nchini Tanzania. Hebu na ww tuambie ni sehemu gani unahisi ina baridi kushinda wilaya hii ya maker. Hebu tazama hii ni hali ya...
  17. bachelor sugu

    Bachelor sugu naomba ushauri wenu wakuu

    Habari za jioni wapendwa wote. Sawa na kichwa cha Uzi hapo juu,naombeni mchangi wenu wa mawazo katika hili. Mimi ni mtoto wa 2 kuzaliwa katika tumbo la mama yangu nikitanguliwa na dada yangu na pia nina wadogo 3 wa kiume wa 2 na kitinda mimba wetu ni wa kike. Nimeelemewa na ujeuri na dharau...
  18. bachelor sugu

    Natarajia kuokoka

    Habari za jioni wapendwa katika bwana, Sawa na mada tajwa hapo juu,imefika muda sasa nafikiria KUOKOKA yaani kuwa mtu wa tofauti na nilivyokuwa hapo awali. Nimejifunza mengi sana kwa kuwemo humu JF tangu nilipokuwa natembelea Forums kama mgeni mpaka nilipojiunga rasmi,kiukweli kuna mengi...
  19. bachelor sugu

    Natafuta mke mwema (Re-Advertised)

    Amani ya Mola iwe juu yenu wote. Naomba kurudia tangazo langu tena la uhitaji wa dhati wa mwanamke wa kumuoa..Pasi na masikhara wala maigizo naomba kuwasilisha tena ombi langu la kumptafuta mwenzangu ambaye yuko tayari kuungana na mume ili kuanzisha familia yenye furaha. Ewe dada ambaye siku...
  20. bachelor sugu

    Ndoto inayonitesa maishani

    Amani iwe juu yenu. Ndugu zangu nimekuwa na ndoto ambayo imekuwa ikinitesa sana katika maisha yangu, Ni ndoto ya kutamani siku moja nimiliki kampuni ya UOKOAJI katika majanga mbalimbali isipokuwa majanga ya moto.Majanga ninayoyakusudia hapa zaidi ni ajali za Barabarani pamoja na zile za Majini...
Back
Top Bottom