Bado mapaka leo tarehe 17/10/2017 wana kitongoji cha kihilira kata ya bujugo bukoba vijijini ambao baadhi yao walichangishwa sh 20,000/=kupata umeme katika mpango wa awamu hii ya tatu jana waliambiwa kwamba zimeletwa nguzo chache kwa baadhi ya watu, na hawamu engine wasubiri away nyingine pindi...
Hii njaa mbaya sana jamaa anaona bora watanzania waumie lkn yeye asifukuzwe kazi yaan we mama hauna hata hofu ya mungu kama kweli unalosema unania nzuri mungu akusimamie lkn kama ni tofauti hata ukoo wako utautesa
Kwa hiyo rais anataka hao vilaza anao wazid elimu yeye ndo na wao watuongoze sisi yaan ana piga auto pilot hii nchi kweli me nashauri hta urais tuwe tunachagua ma handsome na beautifuls tu ndo nchi itasonga
kaka/dada mimi ni mwenyeji wa bunda ninachoandika hapa na kile ulichoandika ni kama vile haujui unasema chama cha chadema ni cha wahuni walioteka fikra za watu,lakin unasahau kwamba kuna chama cha majambazi sasa jambaz na muhun nani mbaya alafu chadema waligundua mbinu chafu za kutaka kuwanunua...
Umajua mimi siwezi walaumu sana hao watu wa tbc maana huwenda na wao wanapewa maelekezo na wakubwa zao ili walinde ugali wao,lkn naomba nitoe ushauri wa bure kwao kwa uelewa wa mtaanzania wa leo nawashauri si kila wanaloambiwa walifanye watumie na akili zao pia siyo za kuambiwa maana siku ukawa...
kaka/dada leo hii tanzania tuna miaka 54 ya uhuru ukilinganisha lasirimali zetu tulizonazo kushangaa kigoma kuwekewa rami na umeme unakuwa kama ni zuzu flan hivi kwan haya mambo yote yalitakiwa kuwepo mda mrefu na siyo kuyaona kama maajabu.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.