Search results

  1. Mzee Saliboko

    Kwa maoni yangu huu ni ubinafsi

    Nazungumzia kumpata mgombea kwenye vyama vyetu vya siasa. Kitendo cha kutuigizia kuwa wanachama wanamkubali mgombea mmoja 100% Ni uongo na unafiki. Tuanze sasa kubadilika na kuruhusu watu wote wenye sifa kuchukua fomu za kugombea urais kila uchaguzi unapofika. Tusiwe wachoyo. Ahsanteni.
  2. Mzee Saliboko

    Mambo gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa?

    Ni vitu gani hupaswi kumfanyia mtu ambaye hujamuoa na vipi vya kumfanyia? Which is the line of demarcation?
  3. Mzee Saliboko

    Ulishawahi kuona kitu kizuri kinauzwa.., ikawaje?

    Ulishawahi kupita maeneo au umekaa sehemu ukaona kitu kizuri kinauzwa ukawaza kumnunulia mtu kama zawadi ukaghairi au ukakosa mtu wa kumnunulia. Mie imewahi nikaamua tu kuacha kwakuwa mtu mwenyewe kuja kwangu mpaka abembelezwe.
  4. Mzee Saliboko

    Vocha za voda zinagoma

    Ndugu wanajamvi sasa hivi kunashida ya vocha cha Vodacom hasa za shilingi elfu moja moja haziingii.....zile za kukwangua . Sijui tatizo ni lipi hata watoa huduma wameshindwa kutupa majibu.
  5. Mzee Saliboko

    Watanzania wengi hawapendi kusafiri

    Ukiangalia kwa jicho la kawaida tu, watanzania wengi hawapendi kusafiri hasa kwenda nje ya nchi. Ndio maana hata fursa nyingi za nje ya nchi zimebebwa na Afrika Magharibi na Kenya. Why this🤔🤔
  6. Mzee Saliboko

    Naomba ushauri kuhusu Chumba cha Kupanga External

    Kwa mtu yoyote anayeielewa mitaa ya makuburi na External aniambie mtaa mzuri ninaoweza kupata nyumba nzuri ya kupanga... average standard, sina familia. Mitaa ambayo nitapata usafiri kirahisi.
  7. Mzee Saliboko

    Nasumbuliwa na vidonda kwenye kende

    Jamani naombeni ushauri jinsi ya kuvitibu haraka vidonda kwenye ngozi ya mapumbu. Vimetokana na wakati naoga nilijisugua kwa nguvu kwa dodoki nikachubuka sasa vina wiki 1. Natumia sabuni ya zoazoa. Ahsante.
  8. Mzee Saliboko

    Hivi kwanini wanawake wengi huonesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao?

    Hivi kwanini wanawake wengi huonyesha care zaidi kwa viongozi wa dini kuliko waume zao? Utakuta anavyomkarimu utafikiri ndo atakayempeleka mbinguni
  9. Mzee Saliboko

    Tujadili: Kuuliza bei kila muda

    Habari zenu, Kuna hili suala nataka tujadili. Kuna hii hali ya wateja wanaokuja kwako mara kwa mara kununua bidhaa lakini kila wakija lazima waulizie bei. Je, hii ni sahihi?
  10. Mzee Saliboko

    Malipo ya ndege kwenye anga la Tanzania

    Kwa ninavyojua ndege ikipita kwenye anga la nchi fulani lazima nchi hiyo ilipwe na muhusika. Je, kwa Tanzania hiyo imekaaje? na kwanini hawasemi ni mapato kiasi gani yanapatikana? Karibuni.
  11. Mzee Saliboko

    Kunyoa upara baada ya kufiwa kuna maana gani?

    Sote au baadhi ya jamii wakifiwa na mtu wao wa karibu huwa wanaambiwa au hunyoa kipara. Sisi tuliambiwa maana yake mzimu wake usije ukawa unakula na sisi. Hadi kuleta uzi huu maana hali ya kunyoa kipara msibani sijajua. Karibuni kwa michango.
  12. Mzee Saliboko

    Airport attendant

    Hellow, bila kupoteza muda Naomba kufahamu mshahara wa airport attendant kama JKNIA. kwa anajua
  13. Mzee Saliboko

    Basi la kwenda Dodoma

    Habari za wakati huu wadau, poleni na majukumu ya kufuatilia mkataba na maandamano. Kwa yeyote anayefahamu kama kuna usafiri wa kutoka Dar es Salaam to Dom siku za Jumamosi alasiri namaanisha kuanzia saa tisa na kuendelea anijuze plus jina la basi.
  14. Mzee Saliboko

    Ukoloni na biashara ya utumwa(waarabu)

    Hebu tuangalie kwa kina, ukoloni uliletwa na wazungu tu. Waarabu na wahindi walikuwa wafanyabishara tu. Hoja, ninani mwenye afadhali kati ya mkoloni na mfanyabishara? Japokuwa mkoloni alikuwa na mabaya yake kama kutesa, kushurutisha, kuaibisha na bogus treaty lakini kuna kitu cha maana aliacha...
  15. Mzee Saliboko

    Horror/scary/ghost/Zombie film

    Taja film za kutisha nzuri kwako plus tamthilia. Zangu the walking dead hasa ilipokuwa inatafsiriwa na dj ommy. Conjuring zote plus Anabelle, the nun, ghost house, the hunted house, the animal, etc
  16. Mzee Saliboko

    Ilikuaje ulipopanga miadi na mwanamke akataka aje na rafiki yake?

    Mara nyingi wanaume tukiweka miahadi na mwanamke tunataka aje peke yake (privacy), sasa ilikuwaje ulipanga appointment na mwanamke, akawa anataka kuja na rafiki yake? Ulimkubalia, nini kilitokea?
  17. Mzee Saliboko

    Yamewahi kukutokea?

    Wakati tupo wadogo tuliambiwa tusipige Mruzi usiku, tusikae kwa muda mrefu kwenye mwanga ambao kivuli kikiwa exposed wala kuimba usiku. Kisa wachawi wachukua. Je, kuna ukweli wowote?⁉️
  18. Mzee Saliboko

    Tunashauriwa kutizamana machoni wakati wa usaili wa kazi

    Mara zote huwa tunashauriwa kutizamana machoni wakati wa usaili wa kazi. Kwangu mambo sio mazuri kama nafanyiwa usaili na mwanamke, huwa siwezi kumwangalia machoni kwa muda mrefu. Je, kuna mtu anachangamoto kama yangu? Njia za kutatua hilo ni zipi⁉️🤗
  19. Mzee Saliboko

    Mambo yanayohusu mapenzi huwa yanaumiza sana. Nifanyeje? 🤔

    Mambo yanayohusu mapenzi huwa yanaumiza sana pengine kuzidi kitu kingine. Nifanyeje ili nisije umia hata nikivunjwa moyo na nitakayempenda? Nifanyeje ili nisimpende mwanamke hata kama nitakuwa nae kwenye uhusiano? Nifanyeje ili nisipende tena?🤔 Nifanyeje
  20. Mzee Saliboko

    Masalia ya vita kuu ya dunia ni haya ya Urusi na Ukraine

    Operation ya Urusi huko Ukraine ni matokeo ya mabaki ya vita vya dunia na sera ya upanuzi wa Irusi ili aweze kufikia pande zote za dunia bila kikwazo. Kitendo cha Ujerumani kuadhibiwa vibaya kipindi kile ndio kilichopelekea rise of dictatorship in Germany hence WW, na sasa ninaiona hii kwa...
Back
Top Bottom