Search results

  1. Papaa Mobimba

    Hashim Rungwe: Hayati Magufuli alikuwa anachukua pesa za umma na kuwapa wapinzani kumuunga mkono

    Rais akishakuteua kafanye kazi hachana na mambo ya kumpenda Rais ni wajibu wake kuteua maana hawezi kufanya kazi mwenyewe, watu wa CCM wao kila wakati wanahangaikia uteuzi tu, Rais Magufuli yeye alikuwa anachukua pesa ya umma anawapa wapinzani wamuunge mkono. Pia soma Hakuna Rais aliyekuwa...
  2. Papaa Mobimba

    Mzee Hashim Rungwe: Makonda anataka awe chawa mkuu wa Rais Samia, analazimisha asikilizwe yeye sana

    Makonda anataka yeye ndiye awe chawa mkuu wa Rais Samia, anamlazimisha Rais amsikilize yeye sana kwamba yeye ndiye msema kweli, Mimi kwenye serikali yangu sitahitaji machawa wala watu wakujipendekeza kwangu” Hashim Rungwe
  3. Papaa Mobimba

    Madhara ya Mvua Bukoba: Zaidi ya Kaya 50 kata ya Kahororo nyumba zao zajaa maji

    Zaidi ya kaya 50 kutoka kata ya Kahororo Manispaa ya Bukoba mkoani Kagera zinaomba msaada kwa serikali baada ya nyumba zao kujaa maji na kusababisha wakose sehemu ya kuishi.
  4. Papaa Mobimba

    Waziri Simbachawene: Huenda Mpina ana ajenda. Uongozi wa Rais Samia uko kwenye viwango kuliko wakati mwingine wowote

    “Lipo jambo moja lilisemwa na Mpina, ni jambo nzito na ukilichukulia kwa wepesiwepesi unaona amezungumza kitu chepesi lakini mpina amezungumza kitu kizito” na ni lazima tukijibu kama Serikali. Waziri Simbachawene ametaja tuhuma za Luhaga Mpina kama ifuatavyo Mpina anasema Ilani na Utekelezaji...
  5. Papaa Mobimba

    Iringa: Gari yenye namba bandia ya Serikali yakamatwa ikisafirisha wahamiaji haramu

    Jeshi la polisi Mkoani Iringa kwa kushirikiana na Jeshi la uhamiaji limekamata Watu 16 Raia wa Ethiopia wakisafirishwa kwa kutumia gari aina ya Toyota Land Cruiser V8 katika eneo la Msitu wa Lunganga kata ya Sao Hill Tarafa ya Ifwagi Halmashauri ya mji wa Mafinga Wilayani Mufindi mkoani Iringa...
  6. Papaa Mobimba

    RC Makonda: Rais Samia ameipendelea Arusha, amemtoa mwanae wa pekee na kumleta Arusha

    Nafahamu Arusha ni mji wa kitalii, Dkt. Samia Suluhu Hassan (Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania) ameamua kwa makusudi kuipendelea Arusha hata akamtoa mwanaye wa pekee (Paul Makonda) ili aje aungane nanyi, angeweza kuniacha nikafanya kazi ya Uenezi na amesema mwenyewe nimeifanya vizuri...
  7. Papaa Mobimba

    Polisi: Watu 15 wafariki dunia kwa kusombwa na maji kuanzia Aprili 1 - 7

    TAARIFA KWA UMMA Kuanzia Aprili 1,2024 hadi Aprili 7,2024 watu 15 wamefariki dunia kutokana na kusombwa na maji ya mvua zinazoendelea kunyesha, wengine wakiwa wanaogelea, wengine wakiwa wanavuka maeneo ambayo maji yanatiririka kwa kasi na wengine kutokana na kutumbukia kwenye mashimo/madimbwi...
  8. Papaa Mobimba

    Minjingu: Gari yenye namba bandia za serikali yakamatwa ikiwa na wahamiaji haramu

    Kaimu Kamanda wa Jeshi la Polisi Mkoa wa Manyara ACP Lukas Mwakatundu amesema kuwa Jana tarehe 7 katika kizuizi cha Minjingu kuna gari lilitupita pale likagoma kusimama likagonga kizuizi ndipo Polisi wakapata wasiwasi kwamba kwanini amegoma kusimama, tukaanza kumfuatulia mpaka eneo la Kiongozi...
  9. Papaa Mobimba

    RC Makonda: Nimekoswa koswa mara 3 kupoteza maisha

    Mkuu wa Mkoa Arusha, Paul Makonda akiwa kwenye hafla ya kukabidhiwa ofisi mkoani humo, pamoja na mengi aliyozungumza, pia amezungumzia suala la kutaka kuuawa mara kadhaa. Hapa nilipo ni matokeo ya maombi, bila maombi Makonda asingekuwepo. Hata kwenye ziara zangu za uenezi, nimekoswa koswa kama...
  10. Papaa Mobimba

    Jaji Warioba: Mawaziri wasitokane na Wabunge

    Jaji Warioba akihojiwa na Mwananchi Digital Aprili 7, 2024. amesema kuwa Mawaziri wasitokane na wabunge, "Bunge liwe ni bunge, serikali isiingiliane na bunge, na vizuri mawaziri wasiwe kwenye bunge, mbunge asiwe waziri. Wakati tulipopata uhuru na hasa tulipobadili katiba tukawa Jamhuri, Rais...
  11. Papaa Mobimba

    Ally Hapi: Rais Samia amefanya super sub, wale jamaa wasitegemee huruma

    Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi CCM Taifa Ali Hapi akizungumza katika hafla ya mapokezi ya wajumbe wa sekretarieti ya CCM amesema kuwa CCM imeingia kwenye mapambano, hivyo upinzani wasitegemee huruma. "Naomba wakati huu ambao tunaingia kwenye mapambano niwaambie wale jamaa wa upande wa pili...
  12. Papaa Mobimba

    SI KWELI Rais Faye: Ni wakati sasa Ufaransa kuondoka na kuachana na Afrika

    Katika mitandao ya kijamii nimeona video inayohusishwa na Rais Mpya wa Senegal, Bassirou Diomaye Faye, akikemea Ufaransa kuwa ni wakati wa kuondoka bara la Afrika. Video hiyo inamuonesha Rais Faye akiimbia Ufaransa kuwa "Inakuwa wakati wa Ufaransa kuinua magoti yake kutoka shingoni mwetu na...
  13. Papaa Mobimba

    Mwanasheria: Kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo ni kosa kisheria

    Ni kosa kisheria kuwa na miamala ya fedha isiyokuwa na maelezo kuwa imetoka kwa nani, na kwa ajili gani imekuja kwako, hakikisha kila hela unayopata unajua vizuri chanzo chake na pia kuweka kumbukumbu sawa umepokea kwa ajili ya nini?, kama ni kazi umefanya au biashara hakikisha kodi stahiki...
  14. Papaa Mobimba

    UZUSHI Rais Museveni amteua mwanaye Natasha Museveni kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda

    Nimeona taarifa hiyo kwenye mitandao mbalimbali ya kijamii kuwa mwanaye huyo ameteuliwa kuwa Gavana wa Benki Kuu ya Uganda. Wengi wamehusisha uteuzi huo kuwa ni kuimarisha familia yake ambapo Mkewe Mama Janet Museveni ni Waziri wa Elimu kwenye Serikali, Mwanaye wa Kwanza Muhoozi ni Mkuu wa...
  15. Papaa Mobimba

    Serikali: Maombi ya Simba yalikuwa makubwa sana, tutawapa Tsh 42M kawa wenzao

    Barua ya Simba ilikuwa na maombi makubwa kidogo ambayo kwa hatua za haraka haraka imekuwa vigumu kuifikia. Lakini tukasema, hata kama hatuwezi kulitekeleza hili, basi kama ambavyo tumefanya kwa timu moja pia tufanye kwa timu nyingine. Gharama za Yanga kwenda Pretoria kwa mashabiki ilikuwa kama...
  16. Papaa Mobimba

    Bunda: Auawa na mkewe kwa kuchomwa kisu, kung'atwa sehemu mbalimbali za mwili ikiwemo sehemu za siri pamoja na ulimi

    Ofisa Kilimo katika kata ya Neruma wilaya ya Bunda mkoani Mara anayefahamika kwa jina la Julius Rubambi ameuawa kwa kuchomwa kisu na kung'atwa ulimi na mkewe kutokana na wivu wa kimapenzi huku mkewe Elizabeth Stephen akijeruhiwa vibaya na kulazwa hospitali ya Kibara. Inasadikika kuwa chanzo...
  17. Papaa Mobimba

    SI KWELI Kakwenza Rukira aweka Makubaliano ya Siri na Umoja wa Ulaya kuhamasisha Ushoga Uganda

    Katika pitapita mitandaoni nimekutana na huyu chawa wa Mtoto wa Rais Museveni, Kainerugaba Muhoozi akimtuhumu Kakwenza Rukira kuingia makubaliano ya siri na umoja wa Ulaya nchini Uganda katika kuhamasisha ushoga nchini humo. Nakumbuka Uganda imezuia mahusiano ya jinsia moja na Rais Museveni...
  18. Papaa Mobimba

    Kuelekea Uchaguzi 2024 na 2025: Umesikia kauli gani kutoka kwa viongozi ukaona zinahatarisha Ustawi wa Demokrasia?

    Wakati wa chaguzi mbalimbali duniani huwa viongozi na wanasiasa wanatoa kauli mbalimbali katika kunadi sera zao na vyama vyao kwa ujumla. Kauli zinazotolewa huweza kuwa nzuri za kujenga au zikawa kauli za chuki zenye lengo la kugawa na kubagua kundi fulani. Hayati Mwalimu Nyerere aliwahi kusema...
  19. Papaa Mobimba

    LATRA imeshindwa kutuletea usafiri wa daladala njia ya Tegeta/Bunju-Kawe Ukwamani kupitia barabara ya Mwai Kibaki?

    Januari 2023 LATRA ilitangaza maombi ya leseni kwa wadau wenye vyombo vya usafiri kwa ajili ya kusogeza huduma ya usafiri kwa wananchi wanaotumia barabara ya Mbezi Chini inayojulikana kama Mwai Kibaki. Route hiyo ilikuwa inaanzia Bunju na Tegeta, inakuja kuingilia Afrikana Mbezi, na kwenda...
  20. Papaa Mobimba

    UZUSHI Afrika Mashariki yazindua noti yake iitwayo SHEAFRA

    Habari wakuu, Nimeona taarifa kwenye mitandao ya kijamii kuwa Jumuiya ya Afrika Mashariki imetambulisha noti yake itakayotumika katika nchi wanachama, iliyopewa jina la SHEAFRA (SHF). Wengi wameinukuu akaunti kutoka mtandao wa X (zamani Twitter) inayojulikana Government of East Africa Moja ya...
Back
Top Bottom