Search results

  1. geniusMe

    Mwamposa inabidi amheshimu sana Mwakasege

    Kama nia ni kupeleka watu kwa Mungu kwanini mgombea watu , hawa wote ni wezi wanagombea mifuko ya pesa kama wanashindwa kwenye jambo dogo kama hili hawawezi kupeleka watu mbinguni.
  2. geniusMe

    Ipi ni 'sexual fantasy' yako?

    Hii ni kwa mabaharia -Golden Shower -Alabama Hot pocket
  3. geniusMe

    Ufafanuzi wa kozi za engineering kwa wanaotarajia kujiunga na Engineering (wanao apply chuo)

    Nakushauri kama unataka kusoma computer bongo soma computer science achana na majina matamu matamu unajisumbua bure utakwenda kusoma kozi nzito utapata GPA ya kijinga , utachukua muda mlefu kusoma utalipa pesa nyingi mwisho wa siku kwenye ajira portal na ofisini unaweza kuta boss wako amesoma IT...
  4. geniusMe

    Umuhimu wa AVN Number kuomba Mkopo HESLB

    Kama Hauna cheti utakwama kwenye usajili wa chuo chuo watakuomba uje na vyeti vyako vyote original kwa ajili ya uhakiki ndipo usajiliwe, AVN ni awards verification number hiki ni kama cheti chenye GPA yake ambayo ni gpa ya mwaka wa mwisho wa diploma NTA Level 6 huwezi tumia AVN mbadala wa cheti...
  5. geniusMe

    Nimepigwa usiku wa jana na kijana wangu wa miaka 8

    Wewe mzee kwanza una laana ulimchungulia dingi nini?
  6. geniusMe

    Usaili nafasi ya msimamizi TEHAMA umenivuruga

    Bro kusoma physics sio kuwa Civil au Mechanical Engineer heshimu fani za watu.
  7. geniusMe

    Kilio chetu kwa Rais Samia: Tunaomba PayPal iruhusiwe nchini Tanzania

    Tatizo ni utakatishaji pesa ndio unasumbua Tanzania ndio maana ukafungwa hawakuchukua uhamuzi hivi hivi tu.
  8. geniusMe

    Demiss amepotelea wapi?

    ameolewa mkuu, sasa hivi sio single mother tena anatunza familia.
  9. geniusMe

    Taifa limesimama kwa muda kupisha ndoa ya taifa baina ya Gilsant Mlaseko na Mfanyabiashara mrembo Lucy

    huo msiba wa mwendazake haukusimamisha taifa watoto waliemdelea na UE
  10. geniusMe

    Dogo kachaguliwa UDOM na Mipango ila hataki hivyo vyuo

    Sio tu chuo mwambie pia mkopo utamsumbua pia kama atakuja kupata atasumbuka sana mwishoni mwa semester huko
  11. geniusMe

    Vijana someeni kazi acheni mambo mengi

    huu uzi ni kwawale waliofeli kufika chuo kikuu mnachuki sana, tuliofika chuo tuwaambie tunapiga pesa ngapi?
  12. geniusMe

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Kwanza natoa pole Tanzania tuna kizazi hovyo sana pili hakuna video nyingine zaidi ya hiyo ya kwanza tumieni mida wenu kifanya kazi mmekazana kutatuta video kama ugali
  13. geniusMe

    Lugha ngumu katika mapenzi hudumisha uhusiano

    Kama vile njoo nikutoto...
  14. geniusMe

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Sikujua unahitaji kiasi hicho sasa kahoma kamepoa ehh.
  15. geniusMe

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Aise siwezi kusambaza ngoja tu nimhifadhi, mama j nimpuuzi ngoja nimfichie aibu yake tu.
  16. geniusMe

    Mama J, shabiki wa Yanga

    Demu kwenye video anasema siku ukivujisha hizi video nitakufa kubwa zima lakini halina akili.
  17. geniusMe

    Tatizo la upungufu wa nguvu za kiume: Chanzo cha tatizo na ushauri wa jinsi ya kukabiliana na tatizo hilo

    Ukisikiliza ushauri wa jamii forum unaweza kupotea, watu wengi wanakimbilia kwenye swala la nguvu za kiume sababu ndio story za mtaani na kijiweni lakini katika mechanism ya kusimamisha uume inategemea blood presha usafirishaji na mzunguko wa damu mwilini kuwa sahihi ili uume kuweza kusimama...
  18. geniusMe

    Wewe Baba Yako Mdogo Angefanyaje?

    Huyo mama ni mzee hana mahari pakwenda ni swala la muda tu, kumbuka wanaume wanaweza kukutamani ukiwa kwenye ndoa yako wanajua wanakutumia tu kwa muda wanaotaka alafu unarudi kwa mume wako, wanaume hao sio waoaji na hata wakitaka kuishi na mwanamke hawawezi kumchagua mwanamke anayechepuka kwa...
Back
Top Bottom