Huwezi ukaipaka nguo mafuta ila wanachofanya huwa wanaziedit picha
Ukiipaka nguo mafuta utaisababishia madoa isitoshe itakuharibia uaminifu wako kwa Wateja'
Karibu dukani kwetu Segerea Sheli Opposite Oil Com Ujipatie Vitu Vikali. Kwa mawasiliano zaidi tupigie 0657576369
T-shirts/Shati/Jeans/Bukta Kali Sana Za Mtumba Grade One
Hizi Ni Nguo Ambazo;
1. Hazichuji rangi
2. Hazipauki haraka
3. Zinadumu kwa muda mrefu
4. Huwezi ukaivaa alafu ukapita mtaani ukakuta kuna mtu mwingine ameivaa hivyo unakuwa umevaa nguo ya kipeke yako 'unique'
Bado Unawaza Utazipata Wapi...
Karibu Boss. Wiki ijayo nafungua mzigo mpya, ni mzigo wa kibabe sana. Nicheki WhatsApp 0657576369 ili nii-save namba yako, ninapoanza kupost uweze kuziona.
Unaweza kutufollow instagram @dj_mitumbagradeone
Karibu sana
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.