Search results

  1. E

    Msaada

    Kwa wale waishio moshi,au yeyote anaejua hili,bei ya pikipiki (bodaboda) mpya mjin moshi pamoja na gharama zingne zote kama tra etc inagharimu kias gan? Na je kipande kwa boss ni kias gan? Naomba mnijuze jaman,
  2. E

    Nokia N8

    Habar za asubuh wanajf,naomba mnijuze,nina cm ya nokia N8,betr yake ni fixed hiv nikitaka kubadilisha inawezekana?
  3. E

    Nahitaj kuunganisha internet ya tigo kwenye simu yangu

    Wana jf anaefahamu namna gan ntaweza kuunganisha internet ya tigo kwenye cm,mana nimejaribu kutuma ujumbe mfupi wa neno WAP na aina ya simu na model kwenda 500 lakin imekataa,msaada tafadhal
  4. E

    Grand malta na kisukari

    Jaman naomba kuuliza wanajf,hivi ukiwa unakunywa grand malta kila siku inaweza kupelekea kupata ugonjwa wa kisukari? Kwasababu naona ina sukari sana,msaada plz!
  5. E

    Kazi jaman,wanajf

    Nina digrii ya nutrition kutoka SUA,na skilss on data collection and data analysis,project monitoring and evaluation,proposal and report writing,natafuta kaz wandugu,naona kila nikiomba nakosa,sina msaada wandugu,mliokuwa kwenye system naomba tusaidiane wanajf,kuna moja imetangazwa humu jf na...
  6. E

  7. E

    Kazi jaman,wana JF

  8. E

    Shortlist mzumbe university

    Wana jf,habarin za wikiend,mwenye taarifa kuhusu zile nafas za kaz za kufundisha (TA,LECTURER) wameshaita interview? Mwenye kujua naomba atupashe habar
  9. E

    Nami naja jamvini jf,mnikaribishe kwa ukarimu

    Hod jf,mm c mgen sana wa kusoma threads za jf hasa mmu na job vacancy forums,nimeamua kujiunga il nami nipate fursa ya kuchangia mada za humu ndan,mnipokee wandugu
Back
Top Bottom