Search results

  1. K

    Please msaada tena

    fanya maamuzi magumu, jipange upya na maisha yako, na huyo jirani ana Tamaha hana upendo wa ukweli, kama kaisalti familia yake jua kabisa na wewe utasaltiwa, kuwa mbali na huyo mume wako kipindi fulani huwe na mda wakutosha kutafakari, akijua umuhumu wako hatakutafuta na atakuwa amebadilika...
  2. K

    nafisi yangu inachoka na maisha yangu!!!!!!!!!!!!!!

    Nashukru mungu kwakila jambo, 1: nilikuwa muaminifu sana kwake na amini ndo maana mungu ameniepusha, 2: katika hiyo misukosuko yoteeeeeeeeeeeeeeeeee sikuwahi kupata sapu, japo naweza sema alichangia katika kushusha GPA yangu, 3: mungu anamakusudi mazuri na me ndugu zangu y? b'coz nilikuwa...
  3. K

    Nampenda lakini basi

    pole sana mpendwa, shukru mungu kwakila jambo!!!
  4. K

    nafisi yangu inachoka na maisha yangu!!!!!!!!!!!!!!

    @all, sio kwamba nalia kwasababu ya yule guy, nalia kwasababu ya makosa niliyoyafanya inshot najuta nilitumwa na nan???? sikujua kabisa, mpaka na naleta hili hapa nahisi ni nguvu za mungu ameona ninapoelekea naweza kusamehe kumbe ndo nazidi kupotea, thanks God, nimefunguka sana akili yangu...
  5. K

  6. K

    nafisi yangu inachoka na maisha yangu!!!!!!!!!!!!!!

    nilimdate m2 nakufall in love nae, baada yakujua kuwa nimeshikamana akadai kuwa ananipenda sana ila alishatangaza ndoa kanisan, iliniuma sana nakumwambia basi, 2liendelea kuwasiliana ila siku zilivyoenda alizidisha upendo kwangu na kuniomba nishi nae as a 2rd wife, nilishikamana nakuwa tayari...
Back
Top Bottom