Search results

  1. Cha Moto

    Idd Simba atetea posho za Wabunge

    "Ninachosema ni hivi, kwa mbunge wa kweli ambaye anasimamia maslahi ya wananchi wake, hizo fedha si nyingi. Kwa sababu mbunge makini anahitaji kutoa misaada, kuona malengo ya wapiga kura wake yametimia na mambo mengi angependa kufanya, Nilipokuwa mbunge niliandamwa sana na wananchi na nilikuwa...
  2. Cha Moto

    Katiba mpya hairuhusiwi kujadiliwa?

    WanaJF, Hivi ni kweli endapo utakutwa unajadili mjadala wa katiba mpya adhabu ya kifungo itakukabili ama faini kuanzia milioni 5. hii ndio sheria iliyopo kwenye mswada wa sasa? Naomba nipatiwe ufafanuzi wa hili, tafadhali.
  3. Cha Moto

    Hivi Tanzania tumerogwa ama?

    Wana JF,Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu sana kuhusu uongozi na siasa za nchi yetu,Sielewi ni nini kinaendelea hadi sasa:1. Majina ya viongozi wengi yametajwa waachie ngazi lakini bado wapo wanadunda Mf: Hosea (TAKUKURU), Ngereja, Malima ( Wizara ya Nishati), Luhanjo, Jairo, Utouh, na...
  4. Cha Moto

    Mabasi ya SUMRY

    WanaJF, Kumbukumbu zangu zinaniambia kuwa mabasi haya yalisimamishwa na SUMATRA kufanya shughuli zake njia ya Dar - Mbeya, sasa na hii ajali ya hili basi jana kugongana na Prado maeneo ya Al Jazeera, Iringa, imekuwaje? Ina maana yameruhusiwa kuendelea na usafirishaji? Mwenye taarifa...
  5. Cha Moto

    Waziri Chami nae kalazwa India

    Wana JF, Nimesikia uvumi kuwa Waziri Chami nae amelazwa na anatibiwa huko India, Je hii ni kweli? Mwenye taarifa atuhabarishe.
  6. Cha Moto

    Wazanzibari Somalia walalamika

    Wakimbizi kutoka visiwa vya Zanzibar wamekwama katika mji mkuu wa Somalia, Mogadishu, wakidai serikali ya Tanzania imeshindwa kutoa kibali kwa shirika la wakimbizi duniani UNHCR ili kuwarejesha makwao. Wakimbizi hao walikimbilia Somalia miaka kumi iliyopita baada ya machafuko ya baada ya...
  7. Cha Moto

    Serikali na CCM: Bei ya Mafuta ya Taa

    Rais Kikwete na serikali yake walipandisha bei ya mafuta ya Taa kwa kisingizio cha kuzuia uchakachuaji. Mwenyekiti Kikwete wa CCM, wamesema bei ya mafuta ishushwe! Jamani mbona sielewi, utendaji wa CHAMA na SERIKALI, nisaidieni, Kuna Tatizo hapa!
Back
Top Bottom