Search results

  1. T

    Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

    Mfano laki moja au milioni fees zikoje mkuu
  2. T

    Idea 3 za Biashara zinazoenda kuniweka kundi la Milionea by 2025

    Ivi kutuma hela toka mpesa kenya kwenda Tz makato ni bei gani?
  3. T

    Swali kuhusu kodi(tax) na sheria kulingana na kuanzisha online shopping website biashara

    Habari Zenu. Nina swali kuhusu biashara. Mfano mtu upo nchi kama China au India n.k alafu unataka uanze kabiashara kadogo cha kuuza vitu kama viatu huku Tanzania kwamba unanunua viatu huko china alafu unasafirisha via express company kama dhl au via ema n.k Njia yako ya kupromote hivi viatu ni...
  4. T

    Chumba au nyumba ya kukodi inatafutwa

    Natafuta chumba self contained au nyumba 2 bedrooms au 3 bedrooms eneo la Survey au Rufungira. Asanteni.
  5. T

    Playstation Service

    Digital out(optical) aux na ya power hizo mbili nimegoogle ni za audio tu chief
  6. T

    Playstation Service

    Niliagiza Playstation 4 kutoka Walmart USA lakini imekuja na shida ya hdmi port coz nimetest na tv nyingi za hd na cable tofaut nimegoogle solution zimegoma, nimeona sony wamesema kwenye article moja kuna baadhi ya units zimekuja na hdmi port mbovu lakin ni rahisi kutengeneza kwa vifaa husika...
  7. T

    WhatsApp inagoma kuinstall katika iPad

    The only way ni via Whatspad tweak from cydia after jailbreaking ndo app ya whatsapp itakubali kuinstall. WhatsApp is designed for smartphones and phablets like galaxy note ii and not tablets kama iPads
  8. T

    Msaada juu ya IPad

    Jailbreaking is basically the process of freeing your device (thus the term jailbreak) from the limitations that are imposed by Apple. Cydia ndo black market/alternative appstore ambayo ndo main reason unajailbreak ur idevice Advantages of Jailbreaking 1.Third-party Jailbreak Apps and Tweaks...
  9. T

    Mwenye fifa 13 pc original dvd naombeni msaada

    MWENYE PC DVD YA FIFA 13 ANIFORWADIE CD KEY (ONLINE PASS) NIPATE UWEZO WA KUCHEZA ONLINE AU DOWNLOAD LINK YA FIFA 13 YENYE UWEZO WA KUINGIA ONLINE pleaseeeeee!!
  10. T

    Mwenye fifa 13 pc original dvd naombeni msaada

    ALiyenunua cd original ya fifa 13 pc naombeni cd-key(online pass) yenu
  11. T

    ipi simu bora kati ya samsung galaxy note II note na sony xperia

    Mimi narecommend Galaxy note II coz its bigger and a few features. But Kuna simu tatu zinatoka karibuni zenye display kubwa ya kutosha 1.Galaxy Note III ambayo itakuwa 6.3"inches 2.Sony Xperia Z 5"inches na 3.Huawei Acend D2 6"inches kwaio kazi kwako
  12. T

    Mwenye cd key ya fifa 13 pc au link ya fifa 13 pc inayocheza online

    Mwenye original pc cd ya fifa 13 anisaidie cd keys au kama umedownload fifa 13 yenye uwezo wa kuingia online naomba unisaidie link ulipo download please
  13. T

    matumizi ya I PAD

    I have an iPAd best alternative ya itunes ni iTools ambayo ni very simple to use but inabidi uinstall itunes for this to work ni 3mb tu ipate hapa for both mac or pc iTools One-stop manager of your iPhone, iPad & iPod Touch na kuhusu kutype documents kama ms word tumia application ya PAGES by...
  14. T

    Ps3 downgrade/jailbreak

    Please mwenye Kifaa cha E3 Flasher, Progskeet au Teensy ++ anisaidie niweze kudowngrade my ps3 because jailbreak available ni ya 3.55 only
  15. T

    Programming

    thanx 4 your advice ppo nitaanza na java na c++ then web development alafu photoshop
  16. T

    Programming

    Nataka nianze kusoma programming but sijui nianze na which language kama python java c obj-c c++ php cobal etc Please i need ur advice nataka nisome tu ili nipate more job opportunities mbele JST FINISGED O-LEVEL bado I FOUND COURSES KWENYE ITUNES U iPAD SIJUI KAMA NI NZURI ZA HARVARD
  17. T

    iPhone 3G Haiwaki wala Kucharge

    Ingia DFU mode alafu try connecting to PC and open itunes alaf restore
Back
Top Bottom