Na Hamza Karama, Kariakoo DSM
Kwa ufupi
Wafanyabiashara wakubwa wakwepa kodi tangu enzi za Awamu ya Nne watajwa kuwa chanzo cha mgomo
Maamuzi ya Rais Samia ya kutuma timu ya mawaziri Kariakoo yazima mgogoro
Kamati ya watu 14 kutoka Serikalini, wafanyabiashara yapewa jukumu la kumaliza mzizi...
UKAGUZI wa Ufanisi wa Mamlaka ya Nishati Vijijini (REA) uliofanywa na CAG umeimulika REA kuanzia mwaka 2015/2016 mpaka 2019/2020.
Ukaguzi umefanyika kwa maombi ya wafadhili; Shirika la Kimataifa la Maendeleo Sweden (Sida).
Kwamba Machi 2016, Tanzania na Sida waliingia mkataba wa ufadhili wa...
Ukiona umechukua yeye kati ya wote 14 ujue tayari umeelewa nguvu yake. Swala la muda tu. JK 2002 alikuwa wa 12 kwenye NEC. Kama hujui historia itakuja kukuadhibu.
Huyu jamaa ni asset. Watajaribu sana kumchafua lakini kama amepangwa kuja kuwa Rais wa Tanzania atakuwa. Mfano hapo huyu jamaa kasema madili, muulize dili lipi? Kajenga uwanja kwao? Kajenga apartments mji mzima huu? Au kama kambale wao alivyomjengea kimada hoteli mwenge.
Ulichoandika hapa ukitaka kujua ni kitu gani basi jitie dole nusa. Hiyo harufu nchi umeandika hapa. Pumba kiasi kwamba hakuna hata mtu anaweza kupoteza muda kukuelewesha ila kwa taarifa yako January ni moja ya wanasiasa tegemeo kubwa sana kuja kuweka mfumo mpya wa kuindoa nchi katika mkwamo...
Kuna tetesi zinaenea kuwa kampuni ya kimataifa ya kuhudumia makontena (TICTS) imeanza operesheni maalumu ya kuichafua serikali ya Tanzania ndani ya nje ya Tanzania kupitia vyombo mbalimbali vya habari. Hatua hii ya TICTS inatokana na serikali kuamua kuvunja mkataba wa TICTS na Serikali kuhudumia...
Lengo namba nne la Malengo ya Maendeleo Endelevu ya mwaka 2030 ni kuhakikisha watu wote wanapata elimu bora, yenye usawa na kutoa fursa kwa wote kujiendeleza na kufikia vipawa vyao kikamilifu. Ili kufikia lengo hilo, mamlaka zinatakiwa kutoa fursa sana kwa wavulana na wasichana, kuongeza idadi...
DAR ES SALAAM, TANZANIA, 13 Septemba, 2022 – Leo Ubalozi wa Marekani jijini Dar es Salaam na Idara ya Huduma za Biashara ya Marekani umetangaza washiriki wa ziara ya siku mbili ya ujumbe wa Wafanyabiashara wa Kimarekani kutembelea Tanzania Bara na Zanzibar. Ziara hiyo itafanyika kutoka tarehe 27...
Shirika lisilo la Kiserikali la TWAWEZA East Africa limezindua ripoti ya matokeo ya utafiti mpya wa Sauti za Wananchi ulioangazia maoni na uzoefu wa Watanzania kuhusu hali ya taifa kati ya Oktoba 2021 na Julai 2022 ikiwa umejumuisha maoni na uzoefu wa wananchi kuhusu tozo za miamala ya fedha kwa...
Vyombo vya ulinzi na usalama nchini Tanzania vyadaiwa vimeanza uchunguzi dhidi ya Makamu Mwenyekiti wa Kampuni ya Ujenzi ya Yapı Merkezi Bwana Erdem Arioglu.Vyanzo mbalimbali vinaeleza kuwa Arioglu anatuhumiwa kuwa sababu kubwa ya kuchelewa kukamilika kwa mradi wa SGR huku akiwatendea visivyo...
Na Marato Sinda, Dar es Salaam
Kampuni ya Kimataifa ya huduma ya Kontena Tanzania (TICTS) inadaiwa kushindwa kutekeleza makujukumu yake na wadau wa sekta za biashara na usafirishaji ambao wameitaka serikali kutoipa mkabata mpya kampuni hiyo kwa kushindwa kufikia lengo la kuongeza wingi wa mzigo...
Kabla sijaanza kueleza ni kwa namna gani Watanzania watanufaika na mkopo wa shilingi trilioni 2.4 kutoka Shirika la Fedha Duniani, kwanza ifahamike kwamba hakuna nchi duniani ambayo haikopi, nchi zinatofautiana kiwango na sababu za kukopa.
Baada ya hilo, nielekeza kwamba mkopo ambao Tanzania...
Ziara za Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Samia Suluhu Hassan kwenye mataifa mbalimbali duniani zimezaa matunda kwa kufanya idadi ya wawekezaji nchini kuongozeka.
Rais Samia amekua akiwahakikishia wawekezaji kutoka nje kuja nchini kwani kuna mazingira mazuri ya uwekezaji na pia...
Wakati mwingine jitahidi kutumia akili, si vibaya. Yani unaamini kwa sababu labda tulikuwa tunapata watalii 10 kupitia njia 'A' basi hatutakiwi kufanya mipango ya kupata wengine watano kupitia njia 'B'? Ili kuwafanya jumla wawe 10?
Ninyi ndio mnaongoza kuisifu Rwanda inavyojitangaza kwenye jezi...
Mwenyekiti wa Chama Cha Mapinduzi na Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Ndugu Samia Suluhu Hassan amemtumia salaam za pole Mwenyekiti wa Chama Cha Wananchi (CUF ) Profesa Ibrahim Lipumba, familia, ndugu na jamaa kufuatia kifo cha Mbunge wa zamani wa Chama Cha Wananchi (CUF) na Mkurugenzi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.