Mkuu hii kitu (supergro) sio mbolea. Haijatengenezwa kwa ajili hiyo na wala haina maelezo rasmi ya kutumika kama mbolea.
Sijui ilianzaje hii mpaka wauzaji wao (sio kampuni) wakaanza kuitangaza kama mbolea, lkn hakuna popote Supergro imeshauriwa kutumika kama mbolea au kirutubisho kwa mazao...
Mkuu mbolea zipo nyingi sana, zipo hizi za kawaida kama urea n.k, zipo booster (mbolea za majani) za chenga, au za maji. Na zimekuwepo hata kabla ya ujio wa supergro, kwa hiyo supergro haikuja kuchukua nafasi ya mbolea.
Ni vyema kuwashirikisha wataalam wa kilimo juu ya mbolea nzuri za kutumia...
SOURCE: Kilimo cha Kisasa cha Mahindi | Mogriculture Tz
Mbegu Bora za mahindi
Matumizi ya mbegu bora ni muhimu katika upatikanaji wa mavuno mengi na bora. Kuna makundi mawili makuu ya mbegu ambayo ni:
Mbegu za asili: Ni zile ambazo zimetumika miaka mingi katika historia ya kilimo
Mbegu...
Haya hapa majibu yako kaka...
SOURCE: Kilimo cha Kisasa cha Mahindi | Mogriculture Tz
Mbegu Bora za mahindi
Matumizi ya mbegu bora ni muhimu katika upatikanaji wa mavuno mengi na bora. Kuna makundi mawili makuu ya mbegu ambayo ni:
Mbegu za asili: Ni zile ambazo zimetumika miaka mingi katika...
JIFUNZE KILIMO BORA CHA NYANYA
Utangulizi
Nyanya ni zao la mboga linalolimwa sehemu nyingi duniani kwa ajili ya matumizi ya nyumbani na pia kama zao la biashara. Nyanya ni aina ya mboga inayo zalishwa kwa wingi sana duniani. Kwa Tanzania, nyanya ni zao la kwanza katika mazao ya mboga...
Habari mkuu...
MAHITAJI YA MBOLEA KATIKA KILIMO CHA MAHINDI
SOURCE: Kilimo cha Kisasa cha Mahindi | Mogriculture Tz
RELATED ARTICLE: Mahitaji ya Udongo na Mbolea katika kilimo cha Mahindi | Mogriculture Tz
Mbolea za kukuzia mahindi
Ni mbolea zinazotumika baada ya mimea kuota kwa lengo la...
Wakati tunasubiri wataalamu wa masoko, tusome hapa KILIMO CHA MIHOGO
Utangulizi
Zao la muhogo ni muhimu sana kwa Tanzania, zaidi kwa wakulima wadogo wenye kipato cha chini. Wakulima wengi huchanganya zao la muhogo na mazao mengine kama vile kunde, mbaazi, njugumawe, n.k. Umuhimu wa zao hili ni...
Hizi hapa Mbegu Bora za Mahindi....
Katika makala hii utajifunza mbegu bora mpya mabalimbali za mahindi zilizofanyiwa tafiti na vituo vya utafiti wa mazao ya kilimo hapa Tanzania. Kwa kila mbegu utafahamu kituo cha utafiti kilichozalisha hiyo mbegu, mahali kilipo na sifa za mbegu husika...
Kwa anayehitaji kupata ELIMU YA UZALISHAJI WA NANASI (general Knowlegde) mzigo huu hapa kwa kiswahili:
Utangulizi
Nanasi ni tunda la kitropiki, linapendwa na walaji wengi kwa sababu ya ladha yake tamu na harufu yake nzuri. Tunda hili laweza liwa mara tu baada ya kuvunwa, baada ya kulipika, au...
KILIMO CHA KISASA CHA MAHINDI
KUANDAA SHAMBA, KUPANDA NA KUPALILIA
Kuandaa Shamba, Kusafisha, Kulima/Kutifua
Ni vyema mashamba yaandaliwe mapema kabla ya msimu wa kupanda haujaanza ili kumpa mkulima fursa ya kupanda kwa wakati unaotakiwa. Kuna njia mbalimbali zinazotumika kuandaa mashamba. Kati...
JINSI YA KUFANYA KILIMO BORA CHA KARANGA
Utangulizi
Karanga ni mojawapo ya mazao yanayotoa mafuta. Katika Tanzania zao hili hustawi zaid katika mikoa ya Kusini Mashariki, Dodoma na Morogoro. Pamoja na kutoa mafuta vile vile zao hutumika kwa njia nyingine mbali mbali, nazo ni pamoja na: Chakula...
JINSI YA KUFANYA KILIMO CHA MAHINDI
KUANDAA SHAMBA, KUPANDA NA KUPALILIA
Kuandaa Shamba, Kusafisha, Kulima/Kutifua
Ni vyema mashamba yaandaliwe mapema kabla ya msimu wa kupanda haujaanza ili kumpa mkulima fursa ya kupanda kwa wakati unaotakiwa. Kuna njia mbalimbali zinazotumika kuandaa...
MAHITAJI YA MBOLEA KATIKA KILIMO CHA MPUNGA
Mbolea za kupandia mpunga
Kabla ya kuweka mbolea hakakisha kuwa majaruba yanatengenezwa ili kuhakikisha maji hayaingii na kutoka kiholela. Mbolea ya kupandia huwekwa kwa kusia katika jaruba kabla ya kuchavanga. Kuchavanga husaidia kuchanganya udongo...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.