Search results

  1. H

    House4Sale Nyumba na Viwanja vinauzwa

    Nyumba hii Inauzwa na ipo Chamazi shule: [emoji968]vyumba vitatu, [emoji968]Chumba kimoja ni master [emoji968] Ina public toilet [emoji968]sebule [emoji968]Dinning [emoji968]jiko [emoji968]ukubwa wa eneo ni futi 60x50 [emoji968] Ina umeme na maji [emoji968] Umbali meter 500 kutoka barabara kuu...
  2. H

    House4Sale Nyumba na Viwanja vinauzwa

    Vipo chamazi Bei yake ya kawaida sana Hii ipo Na vyumba vitatu Sebule Vyumba viwili master Choo cha public Dining Jiko Full fance Iko MITA 300 kutoka barabara kuu Ina maji tayari Inataka 78 mil
  3. H

    Natafuta Frame

    Natafuta Frame maeneo ya kimara mwisho na kariakoo msimbazi kama unayo. Nicheki inbox
  4. H

    SoC02 Tumia udhaifu kufanikiwa

    Kila jambo linaanza panapokuwa na chanzo, mambo kama maisha, ndoa, mafanikio, umasikini, magonjwa n.k. Wanadamu tuna fursa ya kubadili hasi kwenda chanya, kila mmoja wetu anatamani kubadili lililo tatizo kuwa fursa au faraja. Unapokua na afya mbaya utahangaika ili upone, unapokua huko sawa...
  5. H

    Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

    kama uko serious unahitaji kumsaidia mtu, utaweka effort yako kwenye kumsaidia, usiingie mtandaoni kujaribu kukejeli nani kafanya nini na nani anapitia nini, do not ask unnecessary questions.
  6. H

    Natafuta kazi nimesomea Project Planning, Management and Community Development

    Ni kwa sababu hujui kusoma hiyo CV ndio maana inakupa shida. na hujui imeandikwa kwa version gani.. pia usikariri uandishi wa CV,. Next time try to think before comment.
Back
Top Bottom