Search results

  1. M

    Swala la Kamari rais amelisikia na Waziri mkuu amesikia. Vitabu vya dini zote haviruhusu

    Ukiingiza dini kwenye Mambo haya unakosea nimangapi dini haiyakubali lakini lakini Yana Baraka za serikali ?? Mfano sigara na pombe.
  2. M

    Udhalilishaji aliofanyiwa Profesa Assad kwa maelekezo ya Ndugai ni wa kuhuzunisha sana

    Kuna siku kulikuwa na shuhuli flani Ikulu nikamwona kiranja mkuu anavyo msifia mh Ndungai Nikaondoka na 1 kichwani
  3. M

    Uonevu dhidi ya Waislam UDOM: Msikiti wavunjwa, wafanyakazi wanataaluma 11 wahamishwa

    Kama kujenga msikiti chuoni imeshindikana na imeleta tafsiri mbaya Kama Ni udini achaneni na Jambo Hilo swaliyeni kokote pengine ili kutoleta utengano na watu wa dini nyingine yangu ni hayo
  4. M

    Dkt. Reginald Mengi kuja na simu janja za bei rahisi (IPP TouchMate), uwezo wa kukaa na chaji ni wiki nzima

    Hajipendekezi kwa hiyari Ni mazingira yanamlazimisha kuishi hivyo Yana amesoma alama za nyakati vinginevyo atasoma no
  5. M

    Siamini kumbe Mchumba wangu ni malaya! Wanawake ni hatari!

    Stori ZINGINE minaona Kama za kutunga vile unapataje demu Instagram na ujisifu kabisa umepata mchumba
  6. M

    Kwanini shughuli za uzinduzi wa kitaifa maaskofu wanakuwa wengi kuliko masheikh?

    Kila penye dhuluma malalamiko hayawezikukosekana
  7. M

    Nisaidieni namna ya kumpata mke wangu

    Unaumiza kichwa kutafata msaliti badala umshukuru Mungu kwa kumbaini kweli tunatofautiana SANA.
  8. M

    Fahamu athari ya jina lako katika mapenzi

    Kazi kweli kweli hii Kama sijakosea Ni elimu ya nyota
  9. M

    Style ya "pool table" haifai kwa

    Nahaya ndiyo mawazo ya watu wenye uchumu dhaifu faraja yao nikuongea Mambo Kama haya
  10. M

    Una uhakika kwamba mke wako au mume wako hachepuki?

    Naunga mkono hoja yako usiisemee nafsi ya mwingine
  11. M

    Wanaume wa JF naomba mtazamo wenu kwenye jambo hili

    Hamnaga mwanaume wa hivyo chukua mtoto mwachi huru afanye yake
  12. M

    Una uhakika kwamba mke wako au mume wako hachepuki?

    Naunga mkono hoja yako 100 kwa 100/
  13. M

    Kimenuka Rukwa: Waislam watangaza kutokuwa na imani na Rais Magufuli kutokana na hujuma wanazofanyiwa

    Hiyo hoja yako ni mfuu tafuta nyingine katikati ya mji wa Arusha kuna misikiti 5 sijasiki yeyote akilalamikia kelele za adhana
  14. M

    Nimesitisha kumuombea Rais

    Muomba Mungu hachoki na akichoka kashapata zidisha maombi Mungu kwa rehema zake atambadili awe mpole mwenye huruma kwa wananchi na HEKIMA Kama nabii Suleiman
  15. M

    Tanzania na Serikali ya "Futa, Fungia, Dhibiti, Piga Marufuku, Ongeza Kodi"

    bongo fleva ni kazi kama zilivyo kazi zingine hamna anayekataa kulipa kodi ila kodi sirafiki wa mfanya biashara
  16. M

    Mtwara: Ukabila wa hali ya juu wagubika zoezi la uhamisho wa walimu kwenda shule za msingi

    Umenikumbu mwaka 1983 nikiwa standard one kaseni shule ya msingi chini ya mwalimu Happiness
Back
Top Bottom