Search results

  1. Sanyambila

    TFF wanazidi kujipambanua kwamba Simba ni Kijana wao mpendwa

    Simba kila baada ya siku mbili ya tatu mechi 1,3, 6, 9 13 16, 19 Sasa hiyo ndo ratiba ya mechi za Simba yangu February brother acha ipendeleo na visababu SABABU kila mtu ashinde mechi zake
  2. Sanyambila

    Niliwahi kusema hapa propaganda za viongozi wa Simba kuna siku wataumbuka na sasa arobaini zao zimefika!

    Halafu wanasimba Kama hamjui Hawa Yanga ndo wanaleta mpasuko huko kwa mashabiki kwa kuwaliisha matango pori. Kocha amekuja analipwa Mshahara mkubwa na ni kweli mzuri saana kutokana na profile Ila wanayanga na wachambuzi wameanza mo mbabaishaji Mara wachezaji Mara goli tano. Sasa kwanini Simba...
  3. Sanyambila

    Ushauri: Nimepewa RB kwa kosa la kufanya fujo kanisani

    Sawa Sasa wewe mchungaji unaona sawa kwa MwanaMke kuacha watoto wachanga kwenda kushinda kabisa??? Kwanini hukuwa shauri wake na mabinti zao nje muda fulania anatoka kunyonyesha anarudi Tena na Ibada... Haya Sasa kaondoka Tena na huku nyumbani hajatengeneza hapo Kuna Ibada kweli???????
  4. Sanyambila

    Pauline Gekul ni zao la malezi ya Chadema, rejea Mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar24

    Yaaani aliyefanya Ni CCM Ila lawama zinaenda CHADEMA duuuuuuuuu
  5. Sanyambila

    Wanaotajwa Urais 2025 na 2030. Twende na yupi?

    Samia mbona huja muweka???
  6. Sanyambila

    Pauline Gekul ni zao la malezi ya Chadema, rejea Mahojiano ya Dkt. Slaa na Dar24

    Kwaani tangu mwanzo hamkujua Ni zao la Chadema ???? Leo ameharibu mnasema sio wa kweni na Ni wa Chadema duuu
  7. Sanyambila

    Pauline Gekul anastahili kuvuliwa uanachama na kufikishwa mahakamani haraka sana. Amekichafua na kukipaka matope chama

    Tunasubiri chama kama kitatekeleza hayo uliopendekeza na Ni ya kweli ili kuleta nidhamu kwa watendaji wa serikali
  8. Sanyambila

    Jenerali Ulimwengu: Inanichosha kusikia sifa za Rais kila dakika

    Kwani hapo Ni wapi Huyo mzee sio muoga hata kidogo
  9. Sanyambila

    Dogo aliyekuwa anatembea na mke wa jirani yangu sasa ana mazoea na mwanamke wangu

    Duuuuuh hatari kaa na dogo mchane makavu Kisha Rudi home ongea na mke
  10. Sanyambila

    Ni sahihi kumtoa mama yako kwa baba yako kwa sababu ya kuteswa?

    Hekima Ni muhimu la sivyo utaishia kulaniwa tu
  11. Sanyambila

    Kumfunga Maria jela miaka 22 kisa nyama ya swala ni matokeo ya kuwa na wanasheria waliokosa hekima na busara

    Nini kifanyike Sasa Kwaani humu jamii forum hamna wanasheria na Kama umeumizwa na hiki tuchange tukate rufaaa na huo ndo upendo kwa Masikini mwenzangu
  12. Sanyambila

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Tupeni updates za huko Dodoma je Kuna kutoboa hongerni saana Kwa kujitoa mhanga Chamsingi ukipata furahi ukikosa furahi, maisha Bado yapo Kasi yanaendelea.
  13. Sanyambila

    Kwanini Utumishi wanatumia muda mrefu kuita watu kazini?

    Vp Kuna watu wamefika Dodoma jamani ??
Back
Top Bottom