Search results

  1. Nguva Jike

    Vyakula vipi umekula pindi umepigika vilivyo?

    Niliwahi kula maganda ya maembe ili kutuliza njaa.Yaani nilikuta mtu kamenya maembe mm nikala yale maganda.Mambo mengine ukiyakumbuka unaumia rohoni.
  2. Nguva Jike

    Dodoma ni kutamu jamani

    U.t.i nayo.Asee kutamu lkn hatari
  3. Nguva Jike

    Dodoma ni kutamu jamani

    Ng'ong'ona
  4. Nguva Jike

    Mtu anapomtukana mwenzake anafaidi nini?

    Huku kwetu starehe ya walevi wakishalewa ni kuporomosha matusi non stop [emoji23]
  5. Nguva Jike

    Wale wenye tukio la kusahau tukutane hapa

    Nilisahau kuwa nimefunga Ramadan nikajikuta nabugia baga na juisi matunda nikaendelea kuupongeza mwili.[emoji23]
  6. Nguva Jike

    Nakushauri Rais Samia, achana na huyo haendani na wewe

    Hapa haitoshi napendelea ana kwa ana japo tubadilishane mawazo salamu na mtu muhimu kutoka Jf.Please mommy think twice about it.
  7. Nguva Jike

    Nakushauri Rais Samia, achana na huyo haendani na wewe

    Faizafoxy nawezaje kuonana nawe japo nijidai na Mimi?
  8. Nguva Jike

    Nakushauri Rais Samia, achana na huyo haendani na wewe

    [emoji124][emoji124]Mmh jibu moja tu sawa nimekuelewa my madam my only mommy thanks.
  9. Nguva Jike

    Nakushauri Rais Samia, achana na huyo haendani na wewe

    Kweli kabisa Faizafoxy[emoji23]lkn wale transferred without pay wanateseka sana huko vichakani madam[emoji539]
  10. Nguva Jike

    Nachukiwa na bosi wangu bila sababu

    Mwambie mungu ampe adhabu kali yeyote anaekuchukia bila sababu za msingi utaona boss wako atakavyochezea bakora za kutosha kutoka kwa mungu.
  11. Nguva Jike

    Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

    Sikuwa na lengo hilo
  12. Nguva Jike

    Sijawahi kuona Askari akiwa mjamzito

    Wapo mm nilishuhudia mmoja huyo alikuwa pisi kali nikawa nampelekea matunda kila siku alinipenda balaa kwa maana hakuwa anakaa na mume nusu nitunukiwe lkn sikutaka.
  13. Nguva Jike

    Nipo tayari kulumbana (Debate) na yeyote kuhusu chochote

    MADA:UKOSEFU WA AJIRA. Habari mtoa uzi.Kama mada inavyoonekana hapo juu unaonaje serikali ikaangalia namna iliyo bora ikapunguza wafanyakazi hasa kada ile yenye wafanyakazi wengi kuliko zote(walimu) ili iajiri kundi kubwa la vijana jobless ili nao wale keki ya Taifa? Watakaoajiriwa wataanza na...
  14. Nguva Jike

    Maoni, Mapendekezo na Ushauri kwa Walimu

    Kila weekend wafanye maombi maalum wote nchi nzima ndo watatoboa
  15. Nguva Jike

    Orodha ya Wanawake matajiri Afrika

    Nahisi wapo wanawake matajiri zaidi ya hao hawajatambulika na hawahitaji kutambulika
  16. Nguva Jike

    Roho imeniuma sana

    Nyumbani yako hakuna Tv?
  17. Nguva Jike

    Kama hujawahi kufika jiji la Tanga, basi haya ndio mambo yanayopatikana huko

    TANGA hakuna wasichana kumpata mpaka uende kwa sangoma
Back
Top Bottom